Rais Kikwete amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Hongera ndugu kwa kutujuza TZ haina Udini Bali wachache wetu roho zimejaa choyo za Kishetani
 
expected.....sasa na yeye akaite wengine tumbili aone cha moto....
 
kumbe ameteua FISADI ALIYEKUWA KAIMU WA WEREMA

ANATOKA FISADI ANAINGIA FISADI ( HUYU MWENYE SUTI ALIYEKAA KARIBIA NA WHITEMAN)

 
Hongera sana AG mpya Mhe. Masaju, umeingia ktk nafasi hiyo katika kipindi chenye changamoto lukuki! Usihofu kuwa makini sana na ueledi wa Kazi uuongeze, usijisahau pia siasa ipo!!! Kikubwa kuwa muwazi katika mambo yote yenye public interest
 


NI mtu mwenye akili zisizo mtosha anaweza kuongelea udini, kumteuwa huyu bwana hakukutokana na udini bali ni ufisadi unao nuka vibaya sana nchi nzima... anzia hapo kajadili
 
Na huyo ni mtu wa musoma tena kama werema..kikwete ni mkabila sana. Anapendelea watu wa musoma kama nini sijui

Unajua sisi Watanzania alieturoga sijui ni nani, angechaguliwa Ahmed Shaaban Ally mada inehama tungesema Kikwete anajaza Waislamu sasa amechaguliwa George umekimbilia kwenye ukabila, wewe huwezibebeka hata kwa mbeleko ya chuma
 
watasema tu...kwani wanakosaga la kusema? usishangae wakasema masaju ni mkwe wake Mheshimiwa
 
Hongera ndugu kwa kutujuza TZ haina Udini Bali wachache wetu roho zimejaa choyo za Kishetani

Hivi jina linaonesha dini ya mtu? Au ww unamjua huyu bwana kuwa anaabudu wapi?
 
Unajua sisi Watanzania alieturoga sijui ni nani, angechaguliwa Ahmed Shaaban Ally mada inehama tungesema Kikwete anajaza Waislamu sasa amechaguliwa George umekimbilia kwenye ukabila, wewe huwezibebeka hata kwa mbeleko ya chuma

Mi mtanzania halisi sikosi sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…