kwanini amteue mwingine?
Yaani tungelimuona wa maana kama angemteua AG mpya na siyo CAG.
Hapa kuna uozo unafichwa, amshaona jamaa kawaharibia dili kwa kutoa Report ya ESCROW sasa wanamtimua kibarua ili amuweke atakayeficha uozo wake na MAFISADI.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
ludovik amestaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria. hata hivyo aliongezewa miaka 2 nayo imeisha pia. mna swali lingine? hou uozo unaosema unafichwa ni pumba tu zimekujaa kichwani kwako badala ya ubongo.
kwani huo uteuzi umeanza kipindi cha JK tu? hiyo katiba ni ya nyerere 1977; mbona hamumsemi muanzilishi wake? ungekuwa na akili usingeandika kuwa ni uteuzi wa kikwete ungetumia neno rais, maana kila aliyepita pale magogoni alifanya hivyo hivyo. au imekuwa nongwa kwa Kikwete?HAYA NDIO MAMBO TUNAYO PINGA YAANI KILA KITU NI MPAKA ATEUE BABA RIZ... me nadhani tukubaliane na RASIMU ya WARIOBA KUWA RAIS APUNGUZIWE MADARAKA ikiwemo na ya uteuzi wa vviongozi watendaji.
na hili lingefanyika na kukubaliwa leo hii tusingekuwa na sintofahamu ya ni nini JAKAYA ataamua kuhusiana na HUKUMU YA VIBAKA WA TEGETA.
