Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

kwanini amteue mwingine?

Yaani tungelimuona wa maana kama angemteua AG mpya na siyo CAG.

Hapa kuna uozo unafichwa, amshaona jamaa kawaharibia dili kwa kutoa Report ya ESCROW sasa wanamtimua kibarua ili amuweke atakayeficha uozo wake na MAFISADI.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

ludovik amestaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria. hata hivyo aliongezewa miaka 2 nayo imeisha pia. mna swali lingine? hou uozo unaosema unafichwa ni pumba tu zimekujaa kichwani kwako badala ya ubongo.

HAYA NDIO MAMBO TUNAYO PINGA YAANI KILA KITU NI MPAKA ATEUE BABA RIZ... me nadhani tukubaliane na RASIMU ya WARIOBA KUWA RAIS APUNGUZIWE MADARAKA ikiwemo na ya uteuzi wa vviongozi watendaji.
na hili lingefanyika na kukubaliwa leo hii tusingekuwa na sintofahamu ya ni nini JAKAYA ataamua kuhusiana na HUKUMU YA VIBAKA WA TEGETA.
kwani huo uteuzi umeanza kipindi cha JK tu? hiyo katiba ni ya nyerere 1977; mbona hamumsemi muanzilishi wake? ungekuwa na akili usingeandika kuwa ni uteuzi wa kikwete ungetumia neno rais, maana kila aliyepita pale magogoni alifanya hivyo hivyo. au imekuwa nongwa kwa Kikwete?
 
hawa jamaa wanashangaza sana. miaka zaidi ya 50 ya uhuru TZ ni miongoni mwa nchi masikini kabisa duniani na wao wako madarakani kwa zaidi ya watendaji wa umma 70%. halafu leo hii wakiona muislam hata mmoja tu makamasi yanawatoka. sasa tuwaeleweje hawa watu? mbona wamekaa kisharishari kiasi hiki? hata hapo NSSF ambako ndo the leading security fund kwa mafanikio kama ulivyosema lakini kila siku wanaongoza kulitukana mitandaoni. hivi hawa jamaa tuwaeleweje? nashindwa kuelewa kama wanataka hii nchi yetu sote tuongoze wote na keki ya taifa iliwe na wote. hebu cheki mfano wa hili sakata la escrow. kuanzia benki, viongozi wa dini mpaka waumini wao wameiba na wamegawana pesa za umma. tena bila hata ya aibu. sijui hawa jamaa wanfundishwa kudhulumu humo makanisani hata siwaelewi kabisa.
Kaka Abunuwas mwambie NSSF ni moja ya mashirika ya umma ya kupigiwa mfano kwa utendaji nzuri. Halina ufisadi kama TANESCO au BOT ambako kunaongozwa na wagalatia wasioogopa Mungu. Shirika liko chini ya Alhaj Dr. Dau. Big up sana huyu Daktari. Anaibeba sana serikali iliyojaa mafisadi. Makanisa yanamchukia sana huyu jamaa kwa sababu hawana nafasi ya kufisidi pale wamebakia kusema wadini haoo.
 
Just thinking out aloud,

Je unajua Utouh pia alikuwa mwalimu pale IFM akifundisha na walisomeshwa na utouh wanakuambia walikuwa hawamwelewi na mbona leo mnafagilia kuwa ni mkaguzi mzuri wa mahesabu? Kabla hajateuliwa hebu tupe machapisho yake extensively aliyoandika kuhusu sekta ya uhasibu au kwavile sasa ameteuliwa mwislamu ndio unaanza kuchokonoa wasifu wa Professor Assad? Nikikuuliza kipi cha maana alichokifanya utouh pale National Audit Office unaweza kuniambia? Managerial skills gani alizo nazo utouh ambazo zina tofautiana na Assad?

Acheni udini wenu nyie endeleeni kuchokonoa tu mtakuja kulamba matapishi yenu siku ikifika mnaona kinachoendelea Kenya na Central Africa ni kutokana na haya haya kuwafanya watu wengine wawe second class citizen katika nchi yao wenyewe na matokeo yake ni kunaibuka wendawazimu na mwisho wa siku hali inakuwa mbaya .

Mwacheni Assad afanye kazi na nyie fanyeni kazi kwa maendeleo ya familia zenu. Tuachane na hizi tabia za udini tutaishia kuwa kama Kenya au Afrika ya kati.

Myopic mind sees shorter distance

Hayo ndio matatizo yenu unasoma post moja ya mtu unakurupuka na mambo ya udini mtu akisema Utoh kashindwa kufanya A,B and C ina maana himself lacked the necessary skills to move forward the organization. Sasa uboreshi taasisi kwa kum-replace mtu with a candidate with almost exact skills and similar background; utegemee ataboresha sector.

Unless you are happy with the current benchmark and what you expect is based on historical information from previous candidate the current one would do the same. And if you ask me CAG atakiwi kufanya ukaguzi tu wa fedha za umma kama Utoh alivyofanya bali anatakiwa kuishauri na serikari jinsi ya kutatua matatizo ya ubadhirifu na kuziba mianya ya utapeli that's how frame works of scrutiny evolve, efficiency are improved and money is spent appropriately. Lakini sio kila mwaka report ina matatizo yale yale ina maana serikari aija-improve chochote katika utendaji na kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za umma.

Tafadhali mimi sichangii kwa misingi ya dini, bali challenge nazoziona zinahitaji addressing kama ukubali hoja sio tatizo matter of fact your entitled to your own opinion na unaweza kupinga kwa hoja. Lakini usitumbukize mambo ya dini kwa mtu ambae ajagusia dini mahala popote zaidi ya wasifu wa huyo professor.
 
Assad ana historia ya udini sana. Watendaji kama hawa Ccm tusiwape madaraka

Deaaan yeetuuu
Hebu elezeni huo udini wa Prof. Asad na sisi wengine tuujue. au mlitaka akae pale kilaini japokuwa hana sifa? mbona nyie watu washari sana? mbona mmeiba pesa za umma kupitia benki yenu ya mkombozi, na mkagawana kuanzia viongozi wenu mpaka waumini na sisi hatuwasemi kwa dini zenu zaidi ya kutumia neno wahaifu? hivi nyie wagalatia mnamataizo gani kwenye hii nchi? mnafikiri niya kwenu peke yenu? mbona mpo madarakani kwa zaidi ya miaka 50 na nyinyi mkiwa over 70% ya waajiriwa kwenye taasisi za umma lakini nchi hii ni miongoni mwa nchi masikini kabisa duniani? zaidi ya kuiba mnafanya nini cha maana? nyie wapumbavu mnamatatizo sana vichwani mwenu. siku hizi hata mnavyojinasibisha kuwa mmesoma huwa nawaona wapuuzi tu na wezi. sijui mnafundishwa kuiba na kudhulumu huko makanisani? halafu hela za wizi mnaenda kutoa sadaka; napata shida hata kuelewa fedha ya wizi inakubalika vipi kwenye ibada nyumba za ibada.
halafu leo hii mpo bize kumkejeli Professor Asad ambaye kiuhalisia kuswali kwake ni shida kwenu. mbona sisi tunawaona kila siku mnaenda makanisani na hatuwaiti wadini?
ama kweli nyie ni zaidi ya wapumbavu
 
na hiki ndo kinachowagusa watu wa upande wa pili maana wanajua hawatapiga dili na huyu jamaa. jamaa ni wa haki bin haki. ukiiba atakuita mwizi bila kupepesa macho. upande wa pili wanaiba kuanzia maaskofu mpaka na waumini wao ikiwa ni pamoja na kutumia benki yao, tena bila hata aibu.

Musa Juma Assad, kwa nimfahamuvyo mimi ni jembe na hayumbishwi na ni mwenye msimamo wa kitaaluma na wa kidini pia. Kama sikosei alikuwa NBAA kwahiyo atakuwa kafuata nyayo za Ludovick Utoh hawa wote ni waalimu wangu.
 
naona unaandika kwa kutumia hisia badala ya facts.
kwanza ludovick hakustaafishwa bali alistaafu kwa mujibu wa sheria za nchi na bado walimuongezea mkataba wa miaka 2 nayo imekwisha.
pili; aliyekuwa anahusika na ukaguzi na hata aliyewapa ripoti akina Zitto ni aliyekuwa akikaimu ndugu fransis na wala sio ludovick
tatu; inaonekana hujui chochote kuhusu Prof. Asad; so better you shut up your unpleasant mouth.
nne; naungana na wewe kuwa hao wezi wa escrow sio kwamba uteuzi wao utenguliwa tu bali wafikishwe kwenye vyombo vya sheria kwa kwenda kuiba pesa zetu kwa viroba, mabox, magunia na rumbesa.

kwa kweli nimekatishwa tamaa.hilo ni changa la macho sisi kama wananchi tunataka atengue mara moja waziri wa nishati mh.muhongo,AG na wangine walo husika na escrow.tujiulizeni hapa,WHY CAG?ndo yeye aliyeiba ama ndo aliyesaidia kufichua maovu?hili ni changa la macho kwa watanzania.hukumu imetoka kwa asiye husika,kww taarifa zilizopo ni kwamba ameteuliwa assad ili achunguze mchakato wa escrow na atoe majibu yayayoonesha kwamba hela ile haikuchukuliwa na sio ya umma pia inasemekana cag ndo aliyetoboa siri juu ya kashfa hii ya escrow ndo maana ameondolewa mara moja kama ni adhabu na inasemekana kwamba hakuna azimio lililopitishwa na bunge ambalo mh.raisi atalikubali ndo maana amefanya maamuzi ambayo hatukuyatarajia wananchi,jee hii ni haki kweli,mwizi amesamehewa aliyekamata wizi ndo aliye hukumiwa.tutakua nawe cag daima.
 
huyo jamaa alistaafu miaka miwili nyuma na wakamuongezea mkataba wa miaka 2 ambao nao pia umeisha.

Kwa nnavyoijua mimi hii serikali sometimes hata kama muda wako wa kustaafu haujafika utafikishwa na wakikukubali kwa maslahi yao hata kama muda wako umefika hautostafu mpaka watake wao.
 
ludovik amestaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria. hata hivyo aliongezewa miaka 2 nayo imeisha pia. mna swali lingine? hou uozo unaosema unafichwa ni pumba tu zimekujaa kichwani kwako badala ya ubongo.

kwani huo uteuzi umeanza kipindi cha JK tu? hiyo katiba ni ya nyerere 1977; mbona hamumsemi muanzilishi wake? ungekuwa na akili usingeandika kuwa ni uteuzi wa kikwete ungetumia neno rais, maana kila aliyepita pale magogoni alifanya hivyo hivyo. au imekuwa nongwa kwa Kikwete?

wewe ndo walewale.. kwahiyo unasifia hii miuteuzi yake Huyu BABA YENYU BABA RIZZ??
 
hebu elezeni huo udini wa prof. Asad na sisi wengine tuujue. Au mlitaka akae pale kilaini japokuwa hana sifa? Mbona nyie watu washari sana? Mbona mmeiba pesa za umma kupitia benki yenu ya mkombozi, na mkagawana kuanzia viongozi wenu mpaka waumini na sisi hatuwasemi kwa dini zenu zaidi ya kutumia neno wahaifu? Hivi nyie wagalatia mnamataizo gani kwenye hii nchi? Mnafikiri niya kwenu peke yenu? Mbona mpo madarakani kwa zaidi ya miaka 50 na nyinyi mkiwa over 70% ya waajiriwa kwenye taasisi za umma lakini nchi hii ni miongoni mwa nchi masikini kabisa duniani? Zaidi ya kuiba mnafanya nini cha maana? Nyie wapumbavu mnamatatizo sana vichwani mwenu. Siku hizi hata mnavyojinasibisha kuwa mmesoma huwa nawaona wapuuzi tu na wezi. Sijui mnafundishwa kuiba na kudhulumu huko makanisani? Halafu hela za wizi mnaenda kutoa sadaka; napata shida hata kuelewa fedha ya wizi inakubalika vipi kwenye ibada nyumba za ibada.
Halafu leo hii mpo bize kumkejeli professor asad ambaye kiuhalisia kuswali kwake ni shida kwenu. Mbona sisi tunawaona kila siku mnaenda makanisani na hatuwaiti wadini?
Ama kweli nyie ni zaidi ya wapumbavu
hawa watu wanachuki sana kinachowauma ni kuona muislam anaongoza kwani kubalance kwenye ajira kumefichua maovu mengi waliyokuwa wanayafanya ikiwemo hili la mkombozi benki
 
kwann asinge mwacha huyo aliyekuwa anakaim ili ampromoti au ameweka kama kumkomoa rwakapalila? mbona kasubiri hadi maamuzi ya bunge yafanyike?
sikilize we bwe'ge;
kwanza sio kweli kuwa Prof Asad kateuliwa juzi bali uteuzi wake ulikuwa tangia November 5
pili suala la kumuapisha isingewezekana kwa sababu Kikwete hakuwepo nchini karibia mwezi akiuguza pumb zake na hilo halina uhusiano na maamuzi ya bunge
tatu; sio kila anayekaimu anasifa za kuwa hapo; mfano; AMO (assistant medical officer) anaweza kaimu nafasi ya daktari kama hayupo lakini haina maana kuwa anafiti for a long run. mfano huu unaaply sehemu nyingi mfano technician na engineer.
kwa heri bwe'ge wewe.
 
Ndugu unanipa majukumu yaliyo juu ya uwezo wangu mimi nitajuaje nani anafaa kwa sasa na nani afai au kuweza kupanga safu za watu wa kuteuliwa kushika nafasi. Kwanza sina ata track records za watanzania 20 leo unipe majukumu ya kusema nani anafaa na yupi afai naanzia wapi kuchagua katika watanzania wote wenye sifa za shahada inayohitajika na kuanza kutafuta matching skills.

Nachojua mimi hayo maswala yanataka washauri waliye karibu na mteuzi kujua ukweli na kumwambia changamoto za sector zilizopo. Na kikubwa kwenye kujua changamoto za taasisi/wizara/wilaya/mkoa ni kufanya sector performance auditing based on needs and goals. Baada ya hapo unaangalia mapungufu yalipo na kulenga kuajiri mtu anae match hizo skills; .
Sasa wewe unafikiri rais hakushauriwa na hao washauri wake?
Nini hasa kimekusukuma kuhoji uteuzi wa huyu mteuliwa kama huna uwezo wa kujua?

Wewe unafikiri Rais ametoka tu kwenye operesheni ya tezi dume na kutamka "Assad kamata nafasi hiyo"?
 
Hebu elezeni huo udini wa Prof. Asad na sisi wengine tuujue. au mlitaka akae pale kilaini japokuwa hana sifa? mbona nyie watu washari sana? mbona mmeiba pesa za umma kupitia benki yenu ya mkombozi, na mkagawana kuanzia viongozi wenu mpaka waumini na sisi hatuwasemi kwa dini zenu zaidi ya kutumia neno wahaifu? hivi nyie wagalatia mnamataizo gani kwenye hii nchi? mnafikiri niya kwenu peke yenu? mbona mpo madarakani kwa zaidi ya miaka 50 na nyinyi mkiwa over 70% ya waajiriwa kwenye taasisi za umma lakini nchi hii ni miongoni mwa nchi masikini kabisa duniani? zaidi ya kuiba mnafanya nini cha maana? nyie wapumbavu mnamatatizo sana vichwani mwenu. siku hizi hata mnavyojinasibisha kuwa mmesoma huwa nawaona wapuuzi tu na wezi. sijui mnafundishwa kuiba na kudhulumu huko makanisani? halafu hela za wizi mnaenda kutoa sadaka; napata shida hata kuelewa fedha ya wizi inakubalika vipi kwenye ibada nyumba za ibada.
halafu leo hii mpo bize kumkejeli Professor Asad ambaye kiuhalisia kuswali kwake ni shida kwenu. mbona sisi tunawaona kila siku mnaenda makanisani na hatuwaiti wadini?
ama kweli nyie ni zaidi ya wapumbavu

Mkuu mimi siwezi ongeza hapo,

Umemaliza kila kitu,hawa jamaa chuki zao za kdini hazina kaibsa,

Na hii haijaanza leo ni tokea zama zile zilee za kafir nyerere,

Na slogans zao nyiingi ukiwauliza kwann mmejaa wengi huko serikalin wana sema waislam hawana shule,

Wakimuona Mtu kama Dk Dau Nssf wanasema kuna udini,

Wakimuona mtu Kama Rished Bade Tra wanasema udini,

Wakimuona huyu Prof Assad hiv sasa wanasema ni udini sasa sijui wao wakita nchi hii wawe peke yao kwenye hizo nyadhifa??

AJABU NAFASI WANAZOCHKUA WAO HAKUNA WANACHOFANYA ZAID ZAID YA KULIIBIA TAIFA HILI,

MFANO NI HUU WA KINDA ADREW CHENGE,PROF TIBAIJUKA RUGEMALIA NA KADHALIKA,

SASA SIJUI HUKO MAKANISANI WANAFUNZWA WIZIII AU MIMI SIELEWI...

MAANA SASA NAONA WAMEONA HAITOSHI WAMEANZA KUINGIZA HADI MAASKOFU KATIKA KULIIBIA TAIFA HILI,

HAWA JAMAA NI DISGRACE KWA TAIFA HILI,EVEN THOUGH SIO WOOTE LAKIN UKWELI HUU UNAUMIZA SANA
 
si naskia waislam hawana shule?
Sasa wanasema hawana uzoefu"experience".

Kwa Dr. Dau pia walisema jamaa hafai kuongoza pale.

Hawa wala najisi wanalao jambo.

"Na nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hachuei; kwenu huyo ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama zao wala msiguse mizoga yao" (Walawi 11: 7 - 8).
 
ludovik amestaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria. hata hivyo aliongezewa miaka 2 nayo imeisha pia. mna swali lingine? hou uozo unaosema unafichwa ni pumba tu zimekujaa kichwani kwako badala ya ubongo.

Swali lingine ninalo na hayatoweza kuisha.

SWALI:

(1) je ni lini CCM na Serikali yenu kipof itkapoacha kuiba mali za umma.

(2) Je MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA uliyotuahidi miaka TISA iliyopita, ndiyo haya wanayotuonyesha MAFISADI wenu ambao wanakula TUNU ya taifa peke yao. Au tuyategemee kuyapata lini na ikiwa miaka kumi inakaribia kuisha??

Skeleton.jpg

View attachment 207821

Ndugu Abunuas kwa muda huu binafsi naomba majibu ya haya nategemea kupata ya kuuliza zaidi kwa sababu umeniruhusu nikuulize.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mimi siwezi ongeza hapo,

Umemaliza kila kitu,hawa jamaa chuki zao za kdini hazina kaibsa,

AJABU NAFASI WANAZOCHKUA WAO HAKUNA WANACHOFANYA ZAID ZAID YA KULIIBIA TAIFA HILI,

MFANO NI HUU WA KINDA ADREW CHENGE,PROF TIBAIJUKA RUGEMALIA NA KADHALIKA,

SASA SIJUI HUKO MAKANISANI WANAFUNZWA WIZIII AU MIMI SIELEWI...

MAANA SASA NAONA WAMEONA HAITOSHI WAMEANZA KUINGIZA HADI MAASKOFU KATIKA KULIIBIA TAIFA HILI,

HAWA JAMAA NI DISGRACE KWA TAIFA HILI,EVEN THOUGH SIO WOOTE LAKIN UKWELI HUU UNAUMIZA SANA

Mkuu mimi ninalo la kuongeza.

Hivi mnaelewa kuwa bila ya mh. Rais kuruhusu zile pesa zitoke BOT kwa njia ya Panya hawa Wakristo tuliowaona katika orodha wasingezipata pesa za ESCROW.

SWALI:

Je, Rais naye ni Mkristo??

Je, mnataka kumkana Mh. Rais kuwa siyo mwenzenu kiimani??

Je, kama yeye asinge ruhusu zitoke kwa njia ya panya wale wakristo wangezipataje??

Naomba Majibu:

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
na hiki ndo kinachowagusa watu wa upande wa pili maana wanajua hawatapiga dili na huyu jamaa. jamaa ni wa haki bin haki. ukiiba atakuita mwizi bila kupepesa macho. upande wa pili wanaiba kuanzia maaskofu mpaka na waumini wao ikiwa ni pamoja na kutumia benki yao, tena bila hata aibu.

Wizi wa ESCROW una baraka zote za ofisi ya mkuu wa nchi.

Na bila shaka na ushauri wa wapi pa kwenda kuzitakatisha pia ni ushauri wa ofisi hiyo.
 
Back
Top Bottom