Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,951
- 9,977
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule kaimu ESCROW imemponza. Yeye kaibua mambo mazito alifikiri atapandishwa cheo! Thubutu...!
Historia inaonyesha Maprofessor hawadumu sana katika nafasi za uongozi. They don't make good leaders in Tanzania. Mfano:
- Prof Machunda
- Prof Kapuya
- Prof Meena (Mb)
- Prof Msola
- Prof Muhongo
Endelea
-
-
-
Acha kupotosha.tarehe 5 ni siku ambayo utouh alitakiwa kustaafu rasmi.hivyo kisheria anatakiwa mtu mpya kuanzia hapo ili kuweka sawa kumbukumbu.hata jk hiyo tarehe 5 sijui kama alikuwepo halafu ripoti inayofanyiwa kazi ni ya utouh Assad ataingiza jambo gani wakati kazi kafanya utouh?Uteuzi uneanza tarehe 5 Nov, umetangazwa tarehe 1 Dec anaapishwa tarehe 2 Dec.(hii trend ya kutufumba macho hakuna ukweli hapa)
Hii ya kuteuliwa tarehe 5 tunafubwa macho tusiringanishe na matokeo ya Report ya CAG kuhusu ESCROW. Maana halisi hapa kwa mtazamo wangu ni kwamba Mwakapalila anawekwa kando kama punishment (indirect) na CAG mpya atake over na kwa msimamo wa Govt kwamba Pesa sio za UMMA atakuja huyu Prof. Asad a-approve kwamba its not public fund. Hiyo ndo itakuwa asante yake kubwa kwa JK, Ccm na Serikali kwa ujumla. Tumeliwa watanzania.
Utoh kagonga nyoka kichwani, lazima aondolewe. Ngoja tusubiri na Hosea kama atabaki!?!
Yule kaimu ESCROW imemponza. Yeye kaibua mambo mazito alifikiri atapandishwa cheo! Thubutu...!
Francis aliyekuwa anakaimu kapigwa chino. Je ni kwa sababu ya taarifa ya escrow?
Bandua msalaba bandika mwezi ndio mchezo unaoendelea
Amesema hivi utouh aliweza Sana na anatumaini prof Assad hatatuangusha( maana yake hawezi kutuangusha) na kamtakia kila la heri ktk mafanikio mapana ya taifa....
Bandua msalaba bandika mwezi ndio mchezo unaoendelea
Historia inaonyesha Maprofessor hawadumu sana katika nafasi za uongozi. They don't make good leaders in Tanzania. Mfano:
- Prof Machunda
- Prof Kapuya
- Prof Meena (Mb)
- Prof Msola
- Prof Muhongo
Endelea
-
-
-
Wewe unasumbuliwa na chuki na roho ya husda tu.
Bandua msalaba bandika mwezi ndio mchezo unaoendelea
Wewe unasumbuliwa na chuki na roho ya husda tu.