Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

Historia inaonyesha Maprofessor hawadumu sana katika nafasi za uongozi. They don't make good leaders in Tanzania. Mfano:
- Prof Machunda
- Prof Kapuya
- Prof Meena (Mb)
- Prof Msola
- Prof Muhongo
Endelea
-
-
-


Profesa Baregu
Profesa Safari
 
Uteuzi uneanza tarehe 5 Nov, umetangazwa tarehe 1 Dec anaapishwa tarehe 2 Dec.(hii trend ya kutufumba macho hakuna ukweli hapa)

Hii ya kuteuliwa tarehe 5 tunafubwa macho tusiringanishe na matokeo ya Report ya CAG kuhusu ESCROW. Maana halisi hapa kwa mtazamo wangu ni kwamba Mwakapalila anawekwa kando kama punishment (indirect) na CAG mpya atake over na kwa msimamo wa Govt kwamba Pesa sio za UMMA atakuja huyu Prof. Asad a-approve kwamba its not public fund. Hiyo ndo itakuwa asante yake kubwa kwa JK, Ccm na Serikali kwa ujumla. Tumeliwa watanzania.
Acha kupotosha.tarehe 5 ni siku ambayo utouh alitakiwa kustaafu rasmi.hivyo kisheria anatakiwa mtu mpya kuanzia hapo ili kuweka sawa kumbukumbu.hata jk hiyo tarehe 5 sijui kama alikuwepo halafu ripoti inayofanyiwa kazi ni ya utouh Assad ataingiza jambo gani wakati kazi kafanya utouh?
 
Utoh kagonga nyoka kichwani, lazima aondolewe. Ngoja tusubiri na Hosea kama atabaki!?!


Utoh alishafikisha mda wa kustaafu kitambo akaongezewa mkataba na mpaka ripoti inatoka alikua ameshakabidhi ofisi kwa mmoja wa wasaidizi wake. Unaposema Hosea sijui unamaana gano maana mapendekezo ya bunge kuhusiana na richmond yalependekeza Hosea awajibishwe mpaka leo yupo ofisini. Yatafute mapendekezo ya bunge ya richmondi ndo utaona.
 
Hii nchi kwa wataalamu mbona tunao kibao huyu ASSAD hapa tumepata jembe ila sasa wakishaingia kwenye system kimeo nao wanakuwa vimeo zaidi.Ngoja tumuone na huyu yaliyomo yamo?Time will tell.
 
Yule kaimu ESCROW imemponza. Yeye kaibua mambo mazito alifikiri atapandishwa cheo! Thubutu...!


Kabla Utoh hajateuliwa kulikua na mtu anakaimu nafasi hiyo kwa mda tena wa zaidi ya miezi sita, akateuliwa utoh badala ya huyo na ikaundwa timu ya wataalamu kwa ajili ya kuweka mambo sawa ili kumraisishia Utoh kufanya kazi. Kukaimu nafasi siyo kigezo cha kuteuliwa kuchukua nafasi hiyo.
 
Assad ni mwalimu wangu na nimjuavyo mm si mtu wakuyumbishwa na mtu wa msimamo sikuzote husimamia ukweli nakumbuka nilipokua nikisoma udsm 2004 alikua mkemeaji mkubwa wa matumizi mabaya yaliyokua yakifanya na uongozi wa Luhanga makamo mkuu wa chuo by then hakuogopa kufukuzww kazi alikua akiwapa makavu black and white, nimpambanaji nakumbuka alipopambana mpaka darasa lete la AC100 lilipogaiwa into two kutokana na kufurika kwa wanafunzi mpaka wengine wakawa wanasimama na kukaa ktk vidaka vya ngapi vya theatre s
Si dhani kama he can be compromised in any situation given his faith and professional ism and im certain he will rather be step down with respect and dignity than be hiding the truth or intermingled in dirty and culpritic manuevours
 
Amesema hivi utouh aliweza Sana na anatumaini prof Assad hatatuangusha( maana yake hawezi kutuangusha) na kamtakia kila la heri ktk mafanikio mapana ya taifa....

Religious dogma can spoil a prudent! and make him stiff necked!
 
Historia inaonyesha Maprofessor hawadumu sana katika nafasi za uongozi. They don't make good leaders in Tanzania. Mfano:
- Prof Machunda
- Prof Kapuya
- Prof Meena (Mb)
- Prof Msola
- Prof Muhongo
Endelea
-
-
-

Profesa Malima
 
How? Kwa ku-acknowledge kazi nzuri ya Ludovick Utoh na kumtakia mafanikio Prof Mussa Assad?... Ikikupendeza niombe radhi mkuu...
Wewe unasumbuliwa na chuki na roho ya husda tu.
 
Ningeshangaa sana kama watu kama ninyi msingejitokeza... Hivi Beneficiaries wa ESCROW a/c ni wa Mwezi au Msalaba? Waathirika na wahanga wa ukosefu wa Madawa na huduma za afya ni Msalaba au Mwezi?.... Jitambue ndugu ...

Bandua msalaba bandika mwezi ndio mchezo unaoendelea
 
Wewe unasumbuliwa na chuki na roho ya husda tu.

Kwa vile alikuwa akiwapa ya ukweli au tatizo ccm vitu siasa zenu za kiwiziwizi na serikali yenu mnaipeleka kiwiziwizi Mungu hapendi.
 
Back
Top Bottom