Rais Kikwete aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri mwaka huu

Rais Kikwete aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri mwaka huu

unadhani kwanini kiti cha kwanza kabla ya pinda kipo wazi!!!
 
Mbona kutoka Jk mpaka pinda Kuna kiti katikati ni cha nani.?
 
Hicho kiti ni Shen, alikataa kabisa kuudhuria vikao vya mawaziri couse anasema yeye si Waziri.
 
Naona Kiti cha Shein kipo wazi hadi leo kama kawaida, alikataa kuburuzwa huyu. Kama yupo basi macho yangu yanazeeka
 
Kiti cha mama Tibaijuka hapo naona kipo wazi JK kawekea makaratasi yake
 
Shein jeuri tu lakini alikula kiapo na aliye muapisha ni Kikwete. mnakumbuka?
 
attachment.php

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha kwanza kwa mwaka huu wa 2015 Ikulu jijini Dar es salaam leo January 16, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda
..picha zinaongea sana...ukiwatizama tu unaona walivyokuwa na frustrations....mana huko kwenye mawizara yao hakuna hela....na mambo hayaendi.....mbaya zaidi wanajua nani wezi wao..maana wamekaa nao hapo na hawana cha kuwafanya....inasikitisha sana...
 
inawezekana ikawa kweli sio ya mwaka huu. hebu angalieni huyo aliyekaa kati ya mzee sitta na wasira sio prof. anna tiba?
au naye anaendelea kuhudhuria baraza la mwaka huu mpaka hapo waziri mwengine atakapotangazwa?
attachment.php

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha kwanza kwa mwaka huu wa 2015 Ikulu jijini Dar es salaam leo January 16, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda

Hii picha sina imani nayo naona kama ni ile ya mwaka jana sidhani kama ni ya leo kweli.

na mimi pia.. Tafuta upande wa kushoto au kulia wa rais halafu nioneshe pinda na bilal.. Anyway labda simu yangu!
 
Back
Top Bottom