Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha kwanza kwa mwaka huu wa 2015 Ikulu jijini Dar es salaam leo January 16, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda
unadhani kwanini kiti cha kwanza kabla ya pinda kipo wazi!!!
Mbona Waziri Kivuli Shein simuoni?
Yuko Baraza la Mawaziri.Jamani Shein ni rais wa Zanzibar na wala.siyo waziri wa Tanganyika acheni kumdhalilisha.