Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

Leo tarehe 28:11:2013 ujenzi wa reli mpya kati ya MOMBASA, SOUTH SUDAN, KAMPALA HADI KIGALI unazinduliwa rasmi.

Tanzani bado top leader anaendeleza promises kama ilivyo kawaida yake na chama chake cha CCM.
 

kumbe yote hayo hayakufanmyika? Sasa walipataje thamani ya mradi? Na waliwezaje kutengeneza mpango kazi?
 

Faiza link uliyoiweka haina mwanga wa kiufundi wala technical conclution ni kama maoni ya mhariri tu.
Kabla sijaifungua nilidhani ndani yake ina upembuzi yakinifu wa miradi ya reli kwa jinsi ulivyo insist.
 
FaizaFoxy,

..kwa uelewa wako, hiyo link yako inasema mradi uko ktk hatua gani?

..vipi kuhusu mapendekezo ya Wajapani kwamba reli ibaki at a current gauge mpaka labda mwaka 2030?

..je, tukikubaliana na ushauri wa wa-Japani, kipande cha Isaka to Kigali, na Keza to Musongati vitajengwa kwa gauge ipi?

cc Nguruvi3, Ritz, Kubwajinga
 
Last edited by a moderator:
Dhahabu yetu...
Gesi yetu.....
Samaki wetu.....
Makaa ya mawe yetu....
Ulanga wetu......
 
sasa tutaisoma namba, wakati mukulu wetu anatembeza bakuli kubwa huku na kule ughaibuni, "kagame, kaguta, kiiza na kenyatta", wameitumia kama fursa na kuanzisha reli mpya kutoka mombasa kwenda kwenye nchi zao! hii kwa mukulu ni kukumbuka shuka asubuhi kweupe!
 
Ndomaana kwa muda wa miaka 50 waTZ bado 2najivunia kujenga BARABARA ambazo hata uimara wake niwa mashaka! 7bu ya UJINGA wakucfia Maneno matupu ya waTAWALA kwavile yy anaSUPPORT CCM basi chochote kitakachosemwa na CCM yy anakubali hata kwaakili ya mtt unaona ni Upuuzi2 Mnashangilia Ahadi leo 2013?!! Hebu tubadilike miaka 50 Mafanikio ni kujenga BARABARA peke yake! TZ inaSafari ndefu sana kufikia Maendeleo ya kweli!
 

Haya ndio mambo tuzungumze yasaidie nchi sio kushadadia watovu wa Nidhamu wanaopiga mayowe kwenye magazeti na Nyaraka za kupindua....ok hilo sawa vipi kuhusu foleni dar mipango ikoje?!!
 
Kura zatafutwa kwa nguvu zote. Lakini akumbuke waTanzania siyo mbumbumbu tena.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 


Chanzo: Kenya reiterates plan to extend high speed railways to Uganda, Rwanda | GlobalPost
 
Haya ndio mambo tuzungumze yasaidie nchi sio kushadadia watovu wa Nidhamu wanaopiga mayowe kwenye magazeti na Nyaraka za kupindua....ok hilo sawa vipi kuhusu foleni dar mipango ikoje?!!
Mpango wa foleni Dar es Salaam mradi wa mabasi yaendayo kasi unaendelea.
 
Salary Slip,

..wakati Raisi Kikwete anatangaza "nia" ya kujenga reli, Raisi Uhuru Kenyatta atakuwa na ground breaking ceremony ya ujenzi wa reli toka Mombasa kuelekea Uganda na Rwanda kesho.

cc Koba, Ritz, Mchambuzi, Kubwajinga

so what exactly is your point...so you think kenyans they just woke up in the morning and started the project....try to to have an open mind with a positive attitude
 
Last edited by a moderator:
Ujenzi wa hii Reli hauhitaji ahadi, tunataka vitendo. Ahadi za nini na uchaguzi bado jamani?
 
Jamani jamani ahadi hizi atazitoa.mpaka siku anaachia madaraka,Jk hii ni aibu kubwa kwako na kwa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…