Pamoja na hayo elewa kuwa hakuna mradi mkubwa unafikiriwa na kuanza ndani ya miaka 5 au 10 mawazo na tathimini vinakuwepo kabatini ila pesa ndio hakuna rais anayekuja anaangalia aanze na kipi aache kipi wakati huo naye anaanzisha mawazo mapya ambayo pengine yatatekelezwa na rais ajaye, Au unataka aseme uongo kama wabunge, wakiletewa barabara kwenye jimbo lake anajidai eti yeye ndiye kasababisha hiyo ije wananchi hawajui hiyo barabara iliombwa pengine miaka 20 iliyopita ila fedha ilikuwa bado haijapatikana.