Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

- Ndio maana tunasema tunahitaji katiba mpya makini maana tukiweza kuwa nayo hawa walioteuliwa wangetakiwa kupitia kamati ya Bunge kupitishwa, Wallahi tena wanaofaa hapo ni wawili tu, Mujuma na Shamin, wengine wote ni makatibu kata tu, I mean bongo bwana yaani bora liende tu!

- People the Word here ni Katiba Mpya!


William @..NYC,USA:
 
JK karidhia katiba mpya lakini haya mambo muhimu ya kuyajadili kwenye katiba mpya hataki.
Ukumbuke hii ni sehemu ya kumpunguzia rais power na JK hayuko tayari kwa hilo.
Sijui kajiandaa kuwa presedent wa maisha?
 
So I see.
Kwa hiyo cream ya CCM ni kina Kikwete,
Cha kulialia Pinda, Wasira, Jairo, Nape, Makamba....
Endelea...
My point ni kwamba, hao mnaowaona ni makapi..ni wazuri hata kuliko Slaa aliyekuwa kapi hapo awali..na ukiangalia hiyo list ina phd holderz wa ukweli siyo phd za masuala ya dini!
 

Wewe vipi,unakinzana na hali halisi
 

Mkuu umefunguka kweli kweli!

Bila Katiba mpya yenye kuweka mbele maslahi ya Taifa, "maigizo" na "mazingaombwe" haya yataendelea tu.
 

Umesema kweli maana hata huyo bosi wao inasemekana kashinda lakini hana ubora wowote kulinganisha na kichwa slaa
 
Mkuu EL kwani bado ana influence kwa JK tena?kiasi ya kuathiri/kuingilia power yake ya uteuzi?

Mkuu Jk ni remote, mapacha watatu wakiongozwa na EL ndio wenye Influence kubwa kwenye serikali hii. Kumbuka ni wao, na kwa gharama yao ndiyo waliomwezesha kuingia magogoni. Ukitaka kujua ukweli rejea kauli za buraza K kuhusu ufisadi na action taken on relation to ufisadi.
 
My point ni kwamba, hao mnaowaona ni makapi..ni wazuri hata kuliko Slaa aliyekuwa kapi hapo awali..na ukiangalia hiyo list ina phd holderz wa ukweli siyo phd za masuala ya dini!
Leo haukwenda kutapisha vyoo nini? na lile gari lenu la nyonya nnya..?
 
mkuu hapo ni kweli. ila inaboa sana kuona wanapeana hayo madalaka.
 
Malisa na wenzake wasahau hivi vyeo wataishia makelele tunataka vijana vijana haya wanatoka waee wanaingia wazee kazi kwenu uvccm
anzisheni nchi yenu na nyie mjichague jamani mtaishia kupata uwakili tu kwenye mikono ya majaji
 
My point ni kwamba, hao mnaowaona ni makapi..ni wazuri hata kuliko Slaa aliyekuwa kapi hapo awali..na ukiangalia hiyo list ina phd holderz wa ukweli siyo phd za masuala ya dini!


PHD ya Ukweli.
Kumbe ubongo wako Rejao una Gia ya Rivas tu..!!!!!!!!!.
 
Mbona nilisikia hata wakina Marsha walikuemo? au amewaacha?
Kumbe ina maana nchi zote hizi hatukuwa mabalozi kwao?
 

Masikini MAPURI, Mnamkumbuka huyu jamaa alikuwa Katibu wa CCM na vilevile waziri wa Ulinzi nadhani vile aliondoka na ile Kashfaa ya Kupigwa Wapiga picha na waandishi kwenye lile sakata la Nyumba za Magereza Ukonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…