GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Nawaomba sana hawa Wasanii wa Muziki wa Tanzania kuwa haya Mapato ambayo wanayapata wayatumie hasa katika Kuwekeza ili basi hata Wakistaafu waendelee kuishi vyema kuliko kuja kuishi Kimaskini na kutushangaza Sisi ambao Kutwa walikuwa wanaturingishia Magari yao ya Kifahari, Majumba ya Kifahari na Warembo wao wa kila aina. Hofu yangu Wengi wao kama wasipowekeza sasa huko mbeleni wakija Kuishiwa wataanza kuja Kuuza Magari yao ya Kifahari na Majumba huku wakiyaanza taratibu Maisha mapya ya Kimasikini. Wawaige Wasanii wenzao wakubwa wa huko Ng'ambo ( Ulaya na Marekani ) ambao sasa wamekuwa Wajanja na Wanawekeza mno katika Stock Exchange Market duniani", amesema Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Chanzo: Wasafi Media
Sasa kama Tajiri hadi Kufa Kwake anatushauri hivi Sisi Masikini pate Vihela vyako vya Ngama au vya Kuiba huko Ofisini au vya kula Rushwa halafu Hongea Mademu na fanya Matanuzi yako ya Kishamba kisha huko baadae ukija Kuishiwa / Kufilisika na kuwaona akina GENTAMYCINE na Wenzake wanaojipanga sasa Maisha yao yako kwenye Mstari uanze kusema kuwa Wanauza Unga au Wametoa Kafara au wana Maisha mazuri kwakuwa Wazazi wao tokea enzi na enzi walikuwa katika System ya Nchi hivyo ndiyo maana Wanateleza tu na Maisha hadi Uzeeni.
Najua fika Rais Mstaafu Kikwete huwa Unanisoma mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums naombe niseme Asante sana.