The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Hahahaha huyu jamaa ni wa kumuombea tu ngoja nimtafutie mafuta ya mwamposa nimpake ili aponeYaan nipigwe ban sababu yako?tuko na mambo mengi ya kufanya kaka sio kushinda huku jf .
Kwanza unaamini siasa za upande wa kushoto so kutofautiana na wewe ni kawaida mkuu.Mimi niko right wing wewe left weng sasa si unaona kazi hapo
Wewe mdogo uniwezi hata kidogo, yaani tena usijaribu kabisa kunizoea hao hao wanaokuchekea hapa utapotea.Siku nzima umehangaika kuwaambia Mods wanipe BAN ili ulipize Kisasi cha kupigwa BAN kwa ajili yangu ila umeshagundua kwanini Mods wamekupuuza? Jibu ni rahisi sana tayari walishakusoma Uchokozi wako juu yangu na una Historia mbaya ya kupenda Kunichokoza, Kunishambulia, Kunitukana na Kunidhalilisha hivyo ulichokuwa unawalazimisha wakifanye Kwangu kilikuwa ni sawa na Kupaka tu Rangi Upepo. Pole sana.
BAN zimekukomesha hadi sasa unashindwa Kutukana kama Kawaida yako na unaishia tu Kufumba kama Mashangingi.Yaan nipigwe ban sababu yako?tuko na mambo mengi ya kufanya kaka sio kushinda huku jf .
Kwanza unaamini siasa za upande wa kushoto so kutofautiana na wewe ni kawaida mkuu.Mimi niko right wing wewe left weng sasa si unaona kazi hapo
Uzi wa kumhusu GENTAMYCINE au Mumeo?baada ya spana za kutosha ukaamua kufunga uzi kujiona ulivyo mweupe kichwani tazama hapa chini👇
Pathological liar, sikiliza na huu,"Nawaomba sana hawa Wasanii wa Muziki wa Tanzania kuwa haya Mapato ambayo wanayapata wayatumie hasa katika Kuwekeza ili basi hata Wakistaafu waendelee kuishi vyema kuliko kuja kuishi Kimaskini na kutushangaza Sisi ambao Kutwa walikuwa wanaturingishia Magari yao ya Kifahari, Majumba ya Kifahari na Warembo wao wa kila aina. Hofu yangu Wengi wao kama wasipowekeza sasa huko mbeleni wakija Kuishiwa wataanza kuja Kuuza Magari yao ya Kifahari na Majumba huku wakiyaanza taratibu Maisha mapya ya Kimasikini. Wawaige Wasanii wenzao wakubwa wa huko Ng'ambo ( Ulaya na Marekani ) ambao sasa wamekuwa Wajanja na Wanawekeza mno katika Stock Exchange Market duniani", amesema Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Chanzo: Wasafi Media
Sasa kama Tajiri hadi Kufa Kwake anatushauri hivi Sisi Masikini pate Vihela vyako vya Ngama au vya Kuiba huko Ofisini au vya kula Rushwa halafu Hongea Mademu na fanya Matanuzi yako ya Kishamba kisha huko baadae ukija Kuishiwa / Kufilisika na kuwaona akina GENTAMYCINE na Wenzake wanaojipanga sasa Maisha yao yako kwenye Mstari uanze kusema kuwa Wanauza Unga au Wametoa Kafara au wana Maisha mazuri kwakuwa Wazazi wao tokea enzi na enzi walikuwa katika System ya Nchi hivyo ndiyo maana Wanateleza tu na Maisha hadi Uzeeni.
Najua fika Rais Mstaafu Kikwete huwa Unanisoma mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums naombe niseme Asante sana.
Hivi Kwanini huyu jamaa anakuwaga muongo?Pathological liar, sikiliza na huu,
Lugha zako ni lile za lamada hotel kabisa bro.BAN zimekukomesha hadi sasa unashindwa Kutukana kama Kawaida yako na unaishia tu Kufumba kama Mashangingi.
Yuko Lamada hotel mkuu ngoja akitoka huko.Mkuu wewe ni rafiki yake ukimwambia anaweza kukusikiliza, maana uzi ule wa Dkt matola aliukimbia kwa aibu kubwa aliyoipata
mkuu naomba umwambie GENTAMYCINE kwamba kwanini alipopigwa spana za mbavu na Dr Matola PhD alikimbilia kwa moderator wafunge uzi wake na akapotea kwa siku mbil? Naomba umwambie GENTAMYCINE afungue uzi wa kumuomba radhi Dr Matola PhD na watanzania wote kwa ujumla kwa aibu kubwa alitupatia kama nchiYuko Lamada hotel mkuu ngoja akitoka huko.
Mbona unatumia Nguvu kubwa sana ya Kutufahamisha kuwa hata hiyo nayo ni ID yako? Wenye Akili tuna ID moja tu JF.mkuu naomba umwambie GENTAMYCINE kwamba kwanini alipopigwa spana za mbavu na Dr Matola PhD alikimbilia kwa moderator wafunge uzi wake na akapotea kwa siku mbil? Naomba umwambie GENTAMYCINE afungue uzi wa kumuomba radhi Dr Matola PhD na watanzania wote kwa ujumla kwa aibu kubwa alitupatia kama nchi
Wao wànawekeza kwa Wanawake tu"Nawaomba sana hawa Wasanii wa Muziki wa Tanzania kuwa haya Mapato ambayo wanayapata wayatumie hasa katika Kuwekeza ili basi hata Wakistaafu waendelee kuishi vyema kuliko kuja kuishi Kimaskini na kutushangaza Sisi ambao Kutwa walikuwa wanaturingishia Magari yao ya Kifahari, Majumba ya Kifahari na Warembo wao wa kila aina. Hofu yangu Wengi wao kama wasipowekeza sasa huko mbeleni wakija Kuishiwa wataanza kuja Kuuza Magari yao ya Kifahari na Majumba huku wakiyaanza taratibu Maisha mapya ya Kimasikini. Wawaige Wasanii wenzao wakubwa wa huko Ng'ambo ( Ulaya na Marekani ) ambao sasa wamekuwa Wajanja na Wanawekeza mno katika Stock Exchange Market duniani", amesema Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Chanzo: Wasafi Media
Sasa kama Tajiri hadi Kufa Kwake anatushauri hivi Sisi Masikini pate Vihela vyako vya Ngama au vya Kuiba huko Ofisini au vya kula Rushwa halafu Hongea Mademu na fanya Matanuzi yako ya Kishamba kisha huko baadae ukija Kuishiwa / Kufilisika na kuwaona akina GENTAMYCINE na Wenzake wanaojipanga sasa Maisha yao yako kwenye Mstari uanze kusema kuwa Wanauza Unga au Wametoa Kafara au wana Maisha mazuri kwakuwa Wazazi wao tokea enzi na enzi walikuwa katika System ya Nchi hivyo ndiyo maana Wanateleza tu na Maisha hadi Uzeeni.
Najua fika Rais Mstaafu Kikwete huwa Unanisoma mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums naombe niseme Asante sana.
Na UKIMWI / Dally Kimoko nao wanauokota huko na Kuuwekeza kwa Wanawake wengine.Wao wànawekeza kwa Wanawake tu