Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Sisi waTanzania bwana! Sometimes nadhani Ndivyo Tulivyo!! Yaani katika post hii yote nobody even bothered to look further than the opinions forwarded by kinepi_nepi...and I find that to be quite amazing.
Has anyone bothered to ask what is DICOTA? Lengo, madhumuni, etc etc? So why the hell do we go and start rambling about a thing that many of us up in here don't even seem know? Come, come, Tanzanians, this is too much now!! Khaaa!!! (BTW, Some of the ideas that people have been circulating on this topic seem to be sound to a certain degree, though)
Si kweli waTanzania waishio Marekani hawajaalikwa - as far as I know information hizi zilitumwa kwa mailgroups kibao zilizopo Marekani kama vile ile ya waishio Dallas, TX - www.dallasbongo.com; ile ya waishio Houston, TX, wa Minnesota, DC etc. Kwa wale members wa Face Book habari hizi zimo mule and I think Michuzi alitoa kama sijakosea. Humu ndani ya JF I sincerely think some people got it individuallyly - I did.
http://www.dicotaus.org/
Pole ndugu yangu, naona hujui wana JF ni watu wa aina gani - DICOTA wengine tunaijua kuliko unavyofikiri. Na hiyo ndiyo sababu kubwa wengi humu ndani tuna wasiwasi nayo na tunai'question'. Jina Houston linatukumbusha mengi ambayo WaTz tungependa kuyasahau - ni jina linalohusishwa na utapeli na wizi wa hali ya juu.