Rais Kikwete, Mbowe, Dr .Slaa na media, nawaomba mnisikilize kilio changu

Status
Not open for further replies.

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
834
Reaction score
140
Waheshimiwa nawasalim, poleni na Majukumu,

Mimi naitwa Mohamed Edward Malele ni Mkazi wa Mwanza.

Waheshimiwa, hii ni mara yangu ya tatu najitokeza hadharani Kuomba Kuonana nanyi Uso Kwa Uso Ili niwaelezee Ukweli halisi wenye Ushahidi wa Wazi Kuhusu Tukio la Kifo Cha Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza marehemu Liberatus Barlow.

Nimewahi Kuhojiwa na Gazeti la Jamhuri Tolea No:81 la Tarehe 21-27, Mei, 2013 na Toleo No:83 la Tarehe 28 Mei-3 June 2013 lililokuwa na Kichwa Cha Habari "MTANDAO WA MAUAJI YA BARLOW WATAJWA NA IGP MWEMA AMPA HIFADHI MUUAJI WA BARLOW". Lakini baadaye nilisikitishwa na Kauli ya Jeshi la Polisi Kupitia Kwa Msemaji wa Jeshi hilo Advera Senso Kwa Vyombo vya Habari Iliyodai Kwamba Mimi nilikuwa na Matatizo ya Kiakili.

Nakanusha leo hadharani mbele ya Umati wa Watanzania wa Eneo la Kemondo Jijini Mwanza Kwamba "Mimi Sikuwa na Matatizo ya akili, mimi nina akili timamu Isipokuwa Waliyasema hayo Ili Kufunika Ushahidi nilionao Kuhusu hili tukio nyeti".

Ni Mimi Mohamed Edward Malele wa Mwanza.

====================

*Mada imefungwa hadi pale itakapo bainika madai ni ya kweli na mrusha mada ndiye Mohamed Edward Malele ni Mkazi wa Mwanza.

JamiiForums.

===================
 
Chochea kuni mbichi moto uwake...
 
Hakikisha unaacha usia wakikukamata watakumwangosi mchana peupe polisi wa Tanzania kazi yao ni kunyamazisha wananchi kwa kuwatanguliza mbele ya haki
 
Tumpe Ushirikiano wa Karibu huyu Kamanda...
 
Ulianza vizuri, baada ya jeshi la polisi kusema kuwa ww una matatizo ya akili ungewapeleka mahakamani wakati taratibu zingine zinaendelea
 
Pia nakushauri mwaga ushahidi wako hapa. Au unatafuta umaarufu kwa kina kikwete na mbowe na hao uliowataja?
 
Wakuu Yericko Nyerere, Ben Wa Saanane, Tumaini Makene, Kurugenzi ya Habari, Dr.W.Slaa, Simiyu Yetu, mohamed Mtoi, Gamba Sugu, KAMnda Mawazo nawe GODbles Lema Mpeni huyu Kamanda Ushirikiano Ili aweze Kuonana na Watajwa hapo juu Ikiwa ni pamoja na Kutoa Taarifa yake Kwa Vyombo vya Habari.
Ni vigumu kuonana na mkulu kama hayo mauwaji yana mkono wao. Kumbuka mabomu ya Arusha kina Mbowe wanasema iundwe tume ya kimahakama ili wampe ushahidi wa nani alilipua bomu lakini imeshindikana, eti mkulu anataka polisi ndo wajichunguze wapi na wapi! sasa kama umeshatangazwa kwamba una ugonjwa wa akili unafikiri nani atakusikiliza best?
 
Waheshimiwa nawasalim, poleni na Majukumu,

Mimi naitwa Mohamed Edward Malele ni Mkazi wa Mwanza.

Waheshimiwa, hii ni mara yangu ya tatu najitokeza hadharani Kuomba Kuonana nanyi Uso Kwa Uso Ili niwaelezee Ukweli halisi wenye Ushahidi wa Wazi Kuhusu Tukio la Kifo Cha Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza marehemu Liberatus Barlow.

Nimewahi Kuhojiwa na Gazeti la Jamhuri Tolea No:81 la Tarehe 21-27, Mei, 2013 na Toleo No:83 la Tarehe 28 Mei-3 June 2013 lililokuwa na Kichwa Cha Habari "MTANDAO WA MAUAJI YA BARLOW WATAJWA NA IGP MWEMA AMPA HIFADHI MUUAJI WA BARLOW". Lakini baadaye nilisikitishwa na Kauli ya Jeshi la Polisi Kupitia Kwa Msemaji wa Jeshi hilo Advera Senso Kwa Vyombo vya Habari Iliyodai Kwamba Mimi nilikuwa na Matatizo ya Kiakili.

Nakanusha leo hadharani mbele ya Umati wa Watanzania wa Eneo la Kemondo Jijini Mwanza Kwamba "Mimi Sikuwa na Matatizo ya akili, mimi nina akili timamu Isipokuwa Waliyasema hayo Ili Kufunika Ushahidi nilionao Kuhusu hili tukio nyeti".

Ni Mimi Mohamed Edward Malele wa Mwanza.

Slaa na Mbowe hawana msaada hapo , media ipi Jamhuri? kama anataka media aitishe mkuano na waandishi wa habari......haya magazeti ya propaganda chafu hayafai, asipo fanya hivyo huyu ni mzushi na anatumka auni mgonjwa wa akili nakutuma mtoa mada umpe habari hii!
 
Waheshimiwa nawasalim, poleni na Majukumu,

Mimi naitwa Mohamed Edward Malele ni Mkazi wa Mwanza.

Waheshimiwa, hii ni mara yangu ya tatu najitokeza hadharani Kuomba Kuonana nanyi Uso Kwa Uso Ili niwaelezee Ukweli halisi wenye Ushahidi wa Wazi Kuhusu Tukio la Kifo Cha Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza marehemu Liberatus Barlow.

Nimewahi Kuhojiwa na Gazeti la Jamhuri Tolea No:81 la Tarehe 21-27, Mei, 2013 na Toleo No:83 la Tarehe 28 Mei-3 June 2013 lililokuwa na Kichwa Cha Habari "MTANDAO WA MAUAJI YA BARLOW WATAJWA NA IGP MWEMA AMPA HIFADHI MUUAJI WA BARLOW". Lakini baadaye nilisikitishwa na Kauli ya Jeshi la Polisi Kupitia Kwa Msemaji wa Jeshi hilo Advera Senso Kwa Vyombo vya Habari Iliyodai Kwamba Mimi nilikuwa na Matatizo ya Kiakili.

Nakanusha leo hadharani mbele ya Umati wa Watanzania wa Eneo la Kemondo Jijini Mwanza Kwamba "Mimi Sikuwa na Matatizo ya akili, mimi nina akili timamu Isipokuwa Waliyasema hayo Ili Kufunika Ushahidi nilionao Kuhusu hili tukio nyeti".

Ni Mimi Mohamed Edward Malele wa Mwanza.

Unatafuta sifa za kijinga wewe. MBOWE NA SLAA ndiyo akina nani mpaka uonane nao, au ndo wanakutumia?
 
Hakikisha unaacha usia wakikukamata watakumwangosi mchana peupe polisi wa Tanzania kazi yao ni kunyamazisha wananchi kwa kuwatanguliza mbele ya haki

Huyu bado atakuwa mgonjwa wa akili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom