Angalia kiroja ulichoandika hapa ... hizi ndizo mnaita hoja huko madrassa!? kutetea mafisadi kama Kikwete kwataka moyo yahe
Komiko Ali wa baghdadi bwana, hawezi hata kuweka data kusapoti anachoandika!
Commoro wapi best, kumkimbiza mgambo ndo unamsifia? Kwanza wale jamaa walikuwa kama sungusungu wa Mh. Mrema! Mwabie aende Somalia au Afghanistan akapambane na wanaume wa kazi!
Just a question for the JK apologists, Hivi JK alichaguliwa kuwa raisi ili afanye nini? Na so far aliyotakiwa kuyafanya yametekelezeka kwa % ngapi??
Nilienda mahali kidogo nimerudi namuandalia majibu mlalahoi
Ha ha ha ha ... wanathubutu hata kutaja kilimo kwanza (mabilioni ya fedha yametumbuliwa) - mradi wa kifisadi wa wana ccm
Good point but before i answer your question nikuulize maswali yafuatayo.
a. CCM ina majimbo mangapi vijijini ?
b. Wapinzani nao je?
c. Mkataba wa buzwagi nani alikuwa rais? Na hivi unajua kwamba Mkapa alikuwa ni Bully leader?
Acheni kujenga hoja za kwamba JK before nijibu maswali haya
Fedha zimefika kila wilaya na matrekata yamenunuliwa kama hutaki kushiriki kujenga nchi endelea kulalamika
Another innovations: JK loans, wajasiriamali wadogo wadogo wamepewa mkopo wengi wa access funds kuendesha project zao..
Komiko Ali wa baghdadi bwana, hawezi hata kuweka data kusapoti anachoandika!
Hivi kweli kuna mtu asiyejua kuwa mkata ulisainiwa ughaibuni tena hotelini? hivi ata ili huyu Jf Senior Expert member ajuhi? Hivi huu hu expert mnapeana vipi? Jamani wadau mimi nawasiwasi na kuwa huu u senor expert ni fake kama vile vyeti vya waheshimiwa!!
Watu wanafanya ufisadi hadi JF? aahhh hii sasa kali mana aiwekani huwe senior member hujuhi hii kasfa kuwa JAMAA WALISAINI MKATA HUKU WALISHATANGAZA KUWA NI MARUFUKU MIKATABA MIPYA.
Lord Resistance Army Joni Garang hawezi weka data kusapoti anachoandika!
Nafahamu mkataba ulisainiwa katika kijiwe cha kahawa but jamani ndio mnataka kutwambia Kikwete aka Vasco Da Gama wetu hajafanya zuri hata mmoja!!!!
Mwafrika usiwe na shaka kaka sio mwana CCM kama unavyofikiri tazama thread zangu nyuma utaona kuna mahali ccm nawasulubu kama wewe unavyosulubu leo but najaribu kuanisha kuwa JK ana mambo anajitahidi lazima tumpe kajicredit.
Mie sio siri akisimama mtu kama Dr Slaa kama yeye mwenyewe ana kura yangu lakini kama chadema sorry siwataki maana ni NARC nyengine in the making .
Mie naomba mungu muswada wa mgombea binafsi kwani utatusaidia sana sie independent voters tumechoka na CCM na kuitoa hatuwezi bora tuwape watu tusiowajua ambao tunakubaliana nao kisera.
Mkapa era: Nyezi, BsctimesJamboforums ilibadilishwa jina kuwa jamii forums sometimes kati ya 2007 na 2008 (sina hakika zaidi katika hili) baada ya kutokea mgongano kati ya waanzilishi wa forums kuhusu umiliki wa jina jamboforums.
Mgogoro unaouongelea kati ya jamboforums (jamiiforums) na serikali, umetokea wakati wa serikali ya Kikwete na sio Mkapa. Mimi nimeijua hii forum mwaka 2006. Sina hakika kama ilikuwepo mwaka 2005 au kabla ya hapo. Kina Julius (au wale members tuliokuwa nao toka enzi za Bsctimes) wanaweza kudhibitisha hili.
Kama Kikwete sio msafi kama walivyo wengine uliowataja hapo juu, kwanini waona kuwa bora Kikwete na sio wao?
Ufisadi wa Kikwete una tofauti gani na ufisadi wa Lowasa au Sitta?
Miaka mitano ya urais wa JK ndio hiyo inaelekea kuisha. Kuna kila dalili kuwa atapendekezwa na chama chake kugombea nafasi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Na pengine akaendelea kuwa Rais wetu kwa kipindi kingine cha miaka mitano.
Katika kipindi chake cha uongozi kwa hakika kumetokea mambo mengi tu na mengi mengine yanaendelea kutokea. Kama Rais, JK anawajibika kwa yote yanayotokea (mabaya na mazuri) katika nchi yetu. Kuna mengi mabaya kumuhusu JK tumekuwa tukijadiliana sehemu mbalimbali hususani hapa JF. Kuna wengine walienda mbali zaidi na kuorodhesha sababu zaidi ya hamsini, ni kwa nini JK hafai kuiongoza Tanzania.
Pamoja na mabaya yake, naamini kuna mambo mazuri amefanya. Kwa kutambua mazuri yake amewahi kutunukiwa PhD (ya heshima) huko Kenya na kuna taarifa kuwa atapewa PhD nyingine huko Uturuki.
Nadhani si vibaya tuanze pia kujadili mazuri aliyoyafanya kwa nchi yake (badala ya kutizama mabaya na kulaumu muda wote!). Unadhani ni kitu gani kizuri amekifanya katika kipindi cha utawala wake?
Wazo la sekondari za kata ni zuri lakini wameboronga sana kwenye implementation. Hawakujipanga na pia walilichukulia suala zima kisiasa zaidi. Ndio hapo unaona tuna shule nyingi (majengo) lakini hazina walimu na vifaa vya kufundishia. Pengine wangeweza kumerge baadhi hizi shule na kutumia resources ndogo za walimu walionao huku wakijiandaa kuongeza idadi ya walimu wenye sifa na kuwa motivate waliopo.1. Elimu ya Sekondari kwa wote... (Shule za Kata)... soon will be there!
Nakumbuka hili suala liliwahi kuzua mtafaruku bungeni. Kuna mbunge mmoja alisema serikali ya JK haijajenga/tengeneza barabara hata moja. Project zote imerithi tu kutoka kwa serikali iliyotangulia. Baadae nakumbuka mbunge huyohuyo alimshukuru mtgeule wa JK, Bw Chenge kwa kusaidia kufanikisha ujenzi wa moja ya barabara katika jimbo lake.2. Road constructions + (however few new surveyed and designed)
3. University of Dodoma + (the biggest in East & Central Africa)
Nakubaliana na wewe. Kwenye afya infant/child mortality rate imeshuka kutoka around 73 (2006) hadi 69 (2009).5. National Stability (as a result of freedom of expression), if u despute this ask yourself if Six or Edo was the chairman of CCM during this period what could have happened?
6. Cammander in Chief - our Army got enough exposures - Somali, Comorro, Beirut et
7. Health -- Campaigne against Aids, medicines are now found at health centres, now Malaria.
8. Habours --- eliminated monopoly of TICTS
9. Airports --- almost all big airports are under renovation or expansion.
14. TANESCO at list remain standstill but it was to be bankcrupt
15. Sports at least we managed to be "hawavumi lakini wamo"
17. Corruptions: He has done a lot, review of PCCB act, stregnthen the institution; election funding act etc etc.
Hili linanipa shida kulikubali. Ukiangalia bunge letu bado ni 'kibaraka' wa serikali. Mahakama nazo ndo hivyo hazina sauti mbele ya serikali. Bado 'wanyonge' wanakosa haki zao mahakamani.10. Good governance: --- at least Tanzanians can see the difference btn parliament, judiciary.
11. Judiciary... appointed quite a big number of judges.
Too early to give any credit.12. Housing: Bill of mortgage passed etc
13. Kilimo kwanza, coming
.16. International Affairs: We have no "bifu" with anybody. he has done his part but nobody to leverage on the opportunies