Rais Kikwete: Nabii asiyekubalika nyumbani kwake?

Rais Kikwete: Nabii asiyekubalika nyumbani kwake?

Angalia kiroja ulichoandika hapa ... hizi ndizo mnaita hoja huko madrassa!? kutetea mafisadi kama Kikwete kwataka moyo yahe

Umeshaanza usizifute maana wewe ukiishiwa ndio zako ...kama unabisha siyo innovations unaleta data...siyo makelele na malalamishi nchi haiongozwi kwa kulalamika
 
SMU,JK hajafanya lolote la maana.Pamoja na Mkapa kuandamwa na ufisadi bado JK ameshindwa kumfunika kwa utendaji.Wewe mwenyewe Tutajie mambo kumi ya maana ambayo unaamini JK amelifanyia Taifa hili.
 
Ha ha ha ha ... wanathubutu hata kutaja kilimo kwanza (mabilioni ya fedha yametumbuliwa) - mradi wa kifisadi wa wana ccm

Kaka hauja muelewa ni innovation ya ufisadi huoni wamepiga 25 bilioni, unafikiri awajuhi wanachokifanya wanazichanga kwa ajili ya uchaguzi. Hi serekali kwa ubunifu we cha tuu, Wanakuambia hela walizo rudisha mafisadi zote zimeenda kwenye kilimo kwanza, watu wana uliza nani kaziona hizo hela zilizorudishwa?
 
Good point but before i answer your question nikuulize maswali yafuatayo.
a. CCM ina majimbo mangapi vijijini ?

b. Wapinzani nao je?

c. Mkataba wa buzwagi nani alikuwa rais? Na hivi unajua kwamba Mkapa alikuwa ni Bully leader?

Acheni kujenga hoja za kwamba JK before nijibu maswali haya


Hivi kweli kuna mtu asiyejua kuwa mkataba ulisainiwa ughaibuni tena hotelini? hivi ata ili huyu Jf Senior Expert member ajuhi? Hivi huu hu expert mnapeana vipi? Jamani wadau mimi nawasiwasi na kuwa huu u senor expert ni fake kama vile vyeti vya waheshimiwa!!
Watu wanafanya ufisadi hadi JF? aahhh hii sasa kali mana aiwekani huwe senior member hujuhi hii kasfa kuwa JAMAA WALISAINI MKATA HUKU WALISHATANGAZA KUWA NI MARUFUKU MIKATABA MIPYA.
 
Fedha zimefika kila wilaya na matrekata yamenunuliwa kama hutaki kushiriki kujenga nchi endelea kulalamika

Another innovations: JK loans, wajasiriamali wadogo wadogo wamepewa mkopo wengi wa access funds kuendesha project zao..

Ndio maana mwanzo nilikuambia kuwa jamaa ni wazuri kwa innovation za madili kwani raisi wetu mtoto wa town, Mabilioni yale ni wizi mtupu aibu paka leo wamegawana mawakala wa ufisadi mikoani.

Huo mradi wa matrekta jamaa wanauwana tena wale mapapa wa ufisadi patashika nguo kuchanika huko maofisini kwa ajili ya hili dili.

access ni nini hiyo?
 
Komiko Ali wa baghdadi bwana, hawezi hata kuweka data kusapoti anachoandika!

Na wasiwasi na huo u JF Senior Expert amepataje? au ni feki? kafanya ufisadi kuupata aiwezekani jamaa vitu vingi ajuhi kabisa ata redio, kusoma, wala kuona aoni.
 
Hivi kweli kuna mtu asiyejua kuwa mkata ulisainiwa ughaibuni tena hotelini? hivi ata ili huyu Jf Senior Expert member ajuhi? Hivi huu hu expert mnapeana vipi? Jamani wadau mimi nawasiwasi na kuwa huu u senor expert ni fake kama vile vyeti vya waheshimiwa!!
Watu wanafanya ufisadi hadi JF? aahhh hii sasa kali mana aiwekani huwe senior member hujuhi hii kasfa kuwa JAMAA WALISAINI MKATA HUKU WALISHATANGAZA KUWA NI MARUFUKU MIKATABA MIPYA.

Nafahamu mkataba ulisainiwa katika kijiwe cha kahawa but jamani ndio mnataka kutwambia Kikwete aka Vasco Da Gama wetu hajafanya zuri hata mmoja!!!!

Mwafrika usiwe na shaka kaka sio mwana CCM kama unavyofikiri tazama thread zangu nyuma utaona kuna mahali ccm nawasulubu kama wewe unavyosulubu leo but najaribu kuanisha kuwa JK ana mambo anajitahidi lazima tumpe kajicredit. Mie sio siri akisimama mtu kama Dr Slaa kama yeye mwenyewe ana kura yangu lakini kama chadema sorry siwataki maana ni NARC nyengine in the making .

Mie naomba mungu muswada wa mgombea binafsi kwani utatusaidia sana sie independent voters tumechoka na CCM na kuitoa hatuwezi bora tuwape watu tusiowajua ambao tunakubaliana nao kisera.
 
Nafahamu mkataba ulisainiwa katika kijiwe cha kahawa but jamani ndio mnataka kutwambia Kikwete aka Vasco Da Gama wetu hajafanya zuri hata mmoja!!!!

Unaweza tu kuyaweka hapa hayo mazuri ya Kikwete kama unayo

Mwafrika usiwe na shaka kaka sio mwana CCM kama unavyofikiri tazama thread zangu nyuma utaona kuna mahali ccm nawasulubu kama wewe unavyosulubu leo but najaribu kuanisha kuwa JK ana mambo anajitahidi lazima tumpe kajicredit.

Kwangu haijalishi kama wewe ni mwanaccm or not ... suala la kudai kuwa wewe ni independent voter (at the same time kusema kuwa Kikwete ni bora kuliko kila mtu mwingine) ndilo linaleta utata.

Mie sio siri akisimama mtu kama Dr Slaa kama yeye mwenyewe ana kura yangu lakini kama chadema sorry siwataki maana ni NARC nyengine in the making .

Kwa hiyo unamshauri hata Kikwete agombee kama mgombea binafsi ili asije kuleta mambo ya KANU au sio?

Mie naomba mungu muswada wa mgombea binafsi kwani utatusaidia sana sie independent voters tumechoka na CCM na kuitoa hatuwezi bora tuwape watu tusiowajua ambao tunakubaliana nao kisera.

Ha ha ha independent waliochoka na CCM wote except Kikwete
 
JK:-

1. Elimu ya Sekondari kwa wote... (Shule za Kata)... soon will be there!
2. Road constructions + (however few new surveyed and designed)
3. University of Dodoma + (the biggest in East & Central Africa)
4. Democracy and Freedom of Expression + (big plus)
5. National Stability (as a result of freedom of expression), if u despute this ask yourself if Six or Edo was the chairman of CCM during this period what could have happened?
6. Cammander in Chief - our Army got enough exposures - Somali, Comorro, Beirut et.
7. Health -- Campaigne against Aids, medicines are now found at health centres, now Malaria.
8. Habours --- eliminated monopoly of TICTS
9. Airports --- almost all big airports are under renovation or expansion.
10. Good governance: --- at least Tanzanians can see the difference btn parliament, judiciary.
11. Judiciary... appointed quite a big number of judges.
12. Housing: Bill of mortgage passed etc.
13. Kilimo kwanza, coming
14. TANESCO at list remain standstill but it was to be bankcrupt
15. Sports at least we managed to be "hawavumi lakini wamo"
16. International Affairs: We have no "bifu" with anybody. he has done his part but nobody to leverage on the opportunies.
17. Corruptions: He has done a lot, review of PCCB act, stregnthen the institution; election funding act etc etc.

Setbacks & Failures:
1. ATCL
2. TRL
3. Lack of vision and strong leadership... hence can be termed as "everage leader" in reality Tanzania needs a GREAT LEADER to turn things around.
4. appointment of ministers e.g. SS.
 
Jamboforums ilibadilishwa jina kuwa jamii forums sometimes kati ya 2007 na 2008 (sina hakika zaidi katika hili) baada ya kutokea mgongano kati ya waanzilishi wa forums kuhusu umiliki wa jina jamboforums.

Mgogoro unaouongelea kati ya jamboforums (jamiiforums) na serikali, umetokea wakati wa serikali ya Kikwete na sio Mkapa. Mimi nimeijua hii forum mwaka 2006. Sina hakika kama ilikuwepo mwaka 2005 au kabla ya hapo. Kina Julius (au wale members tuliokuwa nao toka enzi za Bsctimes) wanaweza kudhibitisha hili.



Kama Kikwete sio msafi kama walivyo wengine uliowataja hapo juu, kwanini waona kuwa bora Kikwete na sio wao?

Ufisadi wa Kikwete una tofauti gani na ufisadi wa Lowasa au Sitta?
Mkapa era: Nyezi, Bsctimes
Kikwete: Bsctimes/Jambo/Jamii (baada ya Bsctimes kuwa hacked tuliamia maoni, tukaenda kwa ile ya Simba ndiyo ikaja Jambo).
Mwafrika you are very right.
Hamna dictator yeyote anayeweza kuizuia Jamii forum kwa kuwa hizi katika registration hazina uhusiano wowote na Tanzania authorities; kwa hiyo kiwkwete hata angefanya nini hawezi kufunga hii.
 
Miaka mitano ya urais wa JK ndio hiyo inaelekea kuisha. Kuna kila dalili kuwa atapendekezwa na chama chake kugombea nafasi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Na pengine akaendelea kuwa Rais wetu kwa kipindi kingine cha miaka mitano.

Katika kipindi chake cha uongozi kwa hakika kumetokea mambo mengi tu na mengi mengine yanaendelea kutokea. Kama Rais, JK anawajibika kwa yote yanayotokea (mabaya na mazuri) katika nchi yetu. Kuna mengi ‘mabaya’ kumuhusu JK tumekuwa tukijadiliana sehemu mbalimbali hususani hapa JF. Kuna wengine walienda mbali zaidi na kuorodhesha sababu zaidi ya hamsini, ni kwa nini JK hafai kuiongoza Tanzania.

Pamoja na mabaya yake, naamini kuna mambo mazuri amefanya. Kwa kutambua mazuri yake amewahi kutunukiwa PhD (ya heshima) huko Kenya na kuna taarifa kuwa atapewa PhD nyingine huko Uturuki.

Nadhani si vibaya tuanze pia kujadili mazuri aliyoyafanya kwa nchi yake (badala ya kutizama mabaya na kulaumu muda wote!). Unadhani ni kitu gani kizuri amekifanya katika kipindi cha utawala wake?

Mkataa pema pabaya panamwita.
 
Amepigwa picha nyingi na wasanii wetu akiwemo bibi KIDUDE
 
Asante Kasheshe umetusaidia ku focus zaidi:

1. Elimu ya Sekondari kwa wote... (Shule za Kata)... soon will be there!
Wazo la sekondari za kata ni zuri lakini wameboronga sana kwenye implementation. Hawakujipanga na pia walilichukulia suala zima kisiasa zaidi. Ndio hapo unaona tuna shule nyingi (majengo) lakini hazina walimu na vifaa vya kufundishia. Pengine wangeweza kumerge baadhi hizi shule na kutumia resources ndogo za walimu walionao huku wakijiandaa kuongeza idadi ya walimu wenye sifa na kuwa motivate waliopo.

2. Road constructions + (however few new surveyed and designed)
Nakumbuka hili suala liliwahi kuzua mtafaruku bungeni. Kuna mbunge mmoja alisema serikali ya JK haijajenga/tengeneza barabara hata moja. Project zote imerithi tu kutoka kwa serikali iliyotangulia. Baadae nakumbuka mbunge huyohuyo alimshukuru mtgeule wa JK, Bw Chenge kwa kusaidia kufanikisha ujenzi wa moja ya barabara katika jimbo lake.

Lakini kimsingi, bado hali ya barabara zetu ni mbaya sana. Mwezi Januari nilitembelea makao makuu ya nchi yetu (Dodoma). Hali ya barabara inasikitisha. Ukienda huko mikoani hali ni mbaya zaidi.

3. University of Dodoma + (the biggest in East & Central Africa)

Kwa hili anastahili credit. Lakini issue siyo ukubwa tu (kama tunavyoona kwenye sekondari) waende zaidi kwenye quality. Unaweza kuwa na majengo mazuri lakini kama huna waalimu wa kutosha ni kazi bure. Utaishia kuwa na graduates vilaza tu.

4. Democracy and Freedom of Expression + (big plus)
Nimepitia posts mbalimbali naona baadhi wanajaribu kumdiscredit kwenye hili. Lakini kusema ukweli amejitahidi kuwa mstahimilivu. Ni kweli kuna baadhi ya magazeti yamewahi kufungiwa katika kipindi chake. Lakini hata hivyo ukiangalia namna waandishi wanavyoandiaka habari za kisiasa sasa na kipindi cha miaka sita nyuma kuna tofauti kubwa tu (wa sasa wanaandika kwa uhuhru mkubwa zaidi). Tujaribu kufuatilia front pages, kwa mfano tu, za gazeti la Mwanahalisi. Hata ile 'List of Shame' kwa kipindi cha Mkapa pengine ingekuwa ngumu kuitoa kwa namna ilivyotolewa.

5. National Stability (as a result of freedom of expression), if u despute this ask yourself if Six or Edo was the chairman of CCM during this period what could have happened?
6. Cammander in Chief - our Army got enough exposures - Somali, Comorro, Beirut et
7. Health -- Campaigne against Aids, medicines are now found at health centres, now Malaria.
Nakubaliana na wewe. Kwenye afya infant/child mortality rate imeshuka kutoka around 73 (2006) hadi 69 (2009).

8. Habours --- eliminated monopoly of TICTS
9. Airports --- almost all big airports are under renovation or expansion.
14. TANESCO at list remain standstill but it was to be bankcrupt
15. Sports at least we managed to be "hawavumi lakini wamo"
17. Corruptions: He has done a lot, review of PCCB act, stregnthen the institution; election funding act etc etc.

Bado anakazi kubwa sana ya kufanya. Tunatia aibu kwenye sekta hizo!

10. Good governance: --- at least Tanzanians can see the difference btn parliament, judiciary.
11. Judiciary... appointed quite a big number of judges.
Hili linanipa shida kulikubali. Ukiangalia bunge letu bado ni 'kibaraka' wa serikali. Mahakama nazo ndo hivyo hazina sauti mbele ya serikali. Bado 'wanyonge' wanakosa haki zao mahakamani.

12. Housing: Bill of mortgage passed etc
13. Kilimo kwanza, coming
Too early to give any credit.
Kwenye kilimo suala la uozo kwenye vocha za mbolea ndo kwanza tu limeanza kufumuka. Tusubili mengine yanakuja.

16. International Affairs: We have no "bifu" with anybody. he has done his part but nobody to leverage on the opportunies
.
Ni kweli amejitahidi.
 
Ndugu SMU Heshima mbele
Kutunukiwa Degree ya heshima sio garantee ya kufanya mema kwa Kikwete ndani ya nchi yake. Martin Luther Kinng aliwahi kusema nanukuu
"The ultimate measure of a man is not where he stands in moments of comfort and convenience, but where he stands at times of challenge and controversy."
Msimamo wa Mheshimiwa JK kwenye ufisadi ni upi hasa? Nchi imeyumba utafikiri hatuna Rais. Ni yapi mazuri aliyoyafanya zaidi ya uchumi wa nchi kuporomoka, mfumuko wa bei kuwa juu na madeni kuongezeka?
 
Back
Top Bottom