MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Rais wa jumuiya ya Watanzania wanaokaa visiwani Mauritius ndugu Jumanne Kikwete ameonesha mapenzi yake ya dhati kwa kazi nzuri inayofanywa na kijana Diamond Platnumz na kukiri hadharani kuwa yeye ni shabiki yake namba moja,raisKikwete aliyasema hayo alipokuwa akiongelea kazi nzuri ya wimbo mpya wa Salome.
Amedai Diamond ana mashabiki nchini Mauritius ambao wanaweza kujaza ndege sabini za aina Bombardier Q400 na bado wakabaki.
Kila la kheri kaka Platinumz.
Amedai Diamond ana mashabiki nchini Mauritius ambao wanaweza kujaza ndege sabini za aina Bombardier Q400 na bado wakabaki.
Kila la kheri kaka Platinumz.