Rais Kikwete : wimbo wa Salome ni mzuri sana,ndiyo maana mimi ni mshabiki wa Diamond

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Rais wa jumuiya ya Watanzania wanaokaa visiwani Mauritius ndugu Jumanne Kikwete ameonesha mapenzi yake ya dhati kwa kazi nzuri inayofanywa na kijana Diamond Platnumz na kukiri hadharani kuwa yeye ni shabiki yake namba moja,raisKikwete aliyasema hayo alipokuwa akiongelea kazi nzuri ya wimbo mpya wa Salome.
Amedai Diamond ana mashabiki nchini Mauritius ambao wanaweza kujaza ndege sabini za aina Bombardier Q400 na bado wakabaki.
Kila la kheri kaka Platinumz.
 
hahahhahhaha,Raisi wa watanzania waishio Mauritius;Mleta thread umeingiza watu chaka ,wengi wameiamini ni Rais wetu mstaafu wa awamu ya nne wa Tanzania
 
Ni muhimu wasanii kupeana support.
....akiendelea kueleza RAIS HUYO amesema ndege hizo sabini, moja itakuwa reserved kwa ajili ya King of all social media all the way from downtown aliyetunikiwa le degree tatu kwa pamoja. Kuwekwa kwa ndege hiyo only for Le akili kubwaz kumezingatia uzito wa mwili na tabia yake ya kujiachia miguu huku na kule akiwa katika vitanda vya hotel ya double tree hivyo atapewa BOMBADIA ya peke yake. Mhudumu katika ñdege hiyo anatarajiwa kuwa mmarekani wa green card mwenye talaka moja na swahiba wa karibu wa Le baharia Mange Kimambi... Pia rais amefichua furaha yake juu ya kupenda mashati na pens za Le Bàharia Le Mubebez zenye uwezo wa kufunika vitz mbili.
 
Umenivunja mbavu moja
 
haah haha hhaa, u know am humbled
 
Back
Top Bottom