Tetesi: Rais kuanza ziara ya siku 6 Canada mwezi ujao

Hatari umeme wenyewe wa tabu watamwagilia na jenereta sijui huyo mwekezaji atakua chizi kujibebesha gharama za uzalishaji za kijinga.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Maji yapo na ardhi nzuri ipo, wakulima wengi wa midwest hawategemei mvua maji yao wanayapata chini wanachimba visima vya umwagiliaji na snow inasaidia kwa kiasi kikubwa, amini inawezekana especially mikoa ya kusini na magharibi labda central ukame unaweza kuwa issue
 
Ni kweli Ila hata siku moja tusije kujiongopea tutajengewa nchi na wengine.
Tunapasea kuwa na sera ambazo zitatuongoza ili kupata Maendeleo, hii ya kusema sijui watakuja watu kutoka Canada au US ni akili mbovu tu na ndio sababu zinatufanya Hadi leo hii nchi za Africa ni maskini.
Mwinyi alikuja na sera ya kuruhusu kila aina ya watu kuja, tukafeli Hakuna Cha maana kiliendelea.
Mkapa akaja na sera hizohiz na akawapa hadi mashirika karibu yote, lakini mwisho wa siku tukafeli.
Ukweli ni kuwa nchi hii hatuwezi kujengewa Wala kuletewa Maendeleo na wa nje, sanasana watatumia udhaifu wetu kuchota kila chenye thamani.
 
Hii tusubilie mapokeo yake
 
Mama kasema tz ni choo tu kwake anakula chakula USA na ana rudi kunya tz...kwa hiyo tuvumilie tu hadi tutakapo mpata kiongozi mzalendo atakaye washikisha adabu watu kama hawa wahuni wa nchi
 
Huko ndiko kulikuwa au yapo makao Makuu ya Barrick ambao hawakuelewana kabisa na awamu iliyopita
 
Sasa turudi hapa kama sera ni hizi za kulazimishiwa na wanachukua chako mapema (ccm) zaidi sera kama za awamu ya ilee tusitarajie wazo la ntu mmoja litatujengea taifa,na kuona malengo ya taifa na malengo yanayozungatia mahitaji ya Karne hii na Karne zijazo zijazo yanaandaliwa katika namna ambayo ni shirikishi na yenye kuangazia mchango wa wataalamu na SII wanasiasa ambao wanahitaji TU kuwa na elimu ya darasa la ili kuwa mfanya maamuzi Kwa ajili ya Leo kesho na miaka mitano ijayo,hapa ndio taifa linapo kwama zaidi katika katiba hii tuliyonayo.
 

Maji yapo? Wapi ? Niambie sehemu yenye maji ya uhakika Tanzania ? Unaposema hawategemei mvua unamaanisha nini ? Northern Hemisphere mvua zinanyesha karibia kila siku, hakuna mvua za msimu kama nchi za tropics kama zetu, hivyo Northern Hemisphere maji ni ya uhakika kwa maana mito imejaa mwaka mzima, udongo laini mwaka mzima, hakuna mambo ya sijui masika na vuli huko ni full year mvua.

Unafikiri kwa nini Mzungu aliondoka Ulaya kuhamia Amerika na siyo Afrika? Nchi pekee ambayo iko vizuri Afrika ni Afrika Kusini na ndio maana Mzungu kaseto huko, kuna maji mengi, hali ya hewa inaruhusu, kila kitu kipo, …
 
Kama nawaona walinzi wa JPM.Kweli walikosa mengi per diem n.k.Sasa Msigwa ashindwe kujenga magorofa maana kama msemaji wa serikali nae anaponeamo.
 
Boss wakulima wengi especially from Midwest hawategemei mvua, wanatumia na wanategemea sana irrigation wells, na kwa midwest mvua sio nyingi sana kupita mikoa yetu ya kusini, maji yapo mengi tuu TZ lakini yapo chini na ninavyosikia water table iko juu sana kwa hiyo ni swala la investment tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…