Tetesi: Rais kuanza ziara ya siku 6 Canada mwezi ujao

Tetesi: Rais kuanza ziara ya siku 6 Canada mwezi ujao

Yaani Mkulima atoke MidWest USA Iowa aje kuishi na kulima kwenye tropical savanah heat la Afrika ? Avuke South Amerika yooote aje Tanzania kwenye ardhi ngumu ambayo hata mashine inaweza kata jembe? Unaota nafikiri!

Wale wakoloni waliolima mashamba makubwa ya katani, kahawa, tumbaku nk walikuwa hawajui hayo?
 
Northen hemisphere kuna majangwa na mabarafu ya kufa mtu Southen hemisphere ndio maeneo mazuri kwa hali ya hewa

Nani amekudanganya ? Unafikiri kwa nini Wakulima wa Kizungu hawa kuseto Afrika badala yake wakahamia Bara Amerika ? Hata Afrika yenyewe sehemu pekee waliohamia ni Afrika Kusini ambaye climate yake ni tofauti kabisa na Tanzania!
 
Mpaka mwaka ukiisha atakuwa ameshamaliza nchi zote na kurudisha muungano[emoji849]. Kwa namna hii [emoji848]
 
Boss wakulima wengi especially from Midwest hawategemei mvua, wanatumia na wanategemea sana irrigation wells, na kwa midwest mvua sio nyingi sana kupita mikoa yetu ya kusini, maji yapo mengi tuu TZ lakini yapo chini na ninavyosikia water table iko juu sana kwa hiyo ni swala la investment tuu
Hivi kusini unayoiongelea yenye mvua ni Southern Highlands au ni kusini ya Lindi na Ntwara?
 
Tulitaka uhuru wetu wakaona isiwe tabu, leo hii mashamba yote waliyoacha yamegeuka mashamba pori, au kuzalisha kwa kiwango duni sana.

Siyo kweli, mbona Afrika Kusini hawakuondoka kwani huko hawakutaka huo Uhuru ?
 
Nafasi ya urais naona imekaimiwa mara nyingi miaka ya hivi karibuni.

Kiti cha moto kile aisee.
 
Siyo kweli, mbona Afrika Kusini hawakuondoka kwani huko hawakutaka huo Uhuru ?

Unaijua historia ya Afrika Kusini? Unajua walipata uhuru lini? Kwa taarifa yako akina Mandela hawakuwa wanapigania uhuru bali walikuwa hawataki ubaguzi wa rangi. Kinachawaondoa wazungu huku Afrika ni sera a ardhi zinazobadilika kila mara kutokana na viongozi waliopo madarakani.
 
Back
Top Bottom