Rais kutokupokelewa na Rais mwenzake: Tutofautishe kati ya State Visit (Ziara ya Kitaifa) na Working Visit (Ziara ya Kikazi)

Sijasema bila kukaribishwa ila bila kukaribishwa rasmi na Rais wa nchi hiyo kama mgeni wake wa kitaifa!! Unaweza kukaribishwa na wengine labda kuhudhuria kikao cha NGO nk!
 
Makonda katika ubora wako.
Hivi wewe si ndo ulimpigia chapuo mama kipindi kile kuwa atafaa kuwa makam wa rais? Akaukwaa umakamu na hatimaye urais, halafu amekukaushia amekupandishia tinted.

Sema mkitifuana hivi mi ndo napenda
Mimi siyo Makonda tafadhali!!
 
Sijasema bila kukaribishwa ila bila kukaribishwa rasmi na Rais wa nchi hiyo kama mgeni wake wa kitaifa!! Unaweza kukaribishwa na wengine labda kuhudhuria kikao cha NGO nk!
Tupe mifano mingine ya nchi yoyote palipotokea jambo kama hili?
Maana hapa kwetu umesema "ETI NI UKARIMU"

"Kuna story sijui kama ni kweli kwamba Nyerere alipewa mkono na Malkia akiwa amevaa gloves na yeye akampa kifimbo chake" kama ni kweli ni kwamba alihtaji heshima na si vinginevyo
 
Sioni kama ni issue kubwa kivilee. Mara nyingi unyenyekevu unalipa sana. Kama kilichompeleka kina maslahi mapana kwa watu wake haijalishi nani anampokea, muhimu awe salama na afanikiwe kwenye kilichompeleka.
 
Atasema mwenyewe akirudi na tumtakie heri za utafutaji
 
Tunatumia fedha nyingi mno kwenye kuiendesha serikali badala ya kufanya miradi ya maendeleo.
 

25 May 2022
Accra, Ghana

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Shada la Maua kwenye Mnara wa kumbukumbu katika eneo la Makaburi alipozikwa aliyekuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Ghana Hayati Dkt. Kwame Nkrumah wakati alipotembelea eneo la Makumbusho (Kwame Nkrumah Memorial Park and Mausoleum) katika Jiji la Accra nchini Ghana tarehe 25 Mei, 2022

Ghana tarehe 25 Mei, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la aliyekuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Ghana Hayati Dkt. Kwame Nkrumah wakati alipotembelea eneo la Makumbusho (Kwame Nkrumah Memorial Park and Mausoleum) katika Jiji la Accra nchini Ghana tarehe 25 Mei, 2022
 
tarehe 25 Mei, 2022.
Accra, Ghana

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa amesimama mbele ya mnara wa kumbukumbu kwenye Kaburi la aliyekuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Ghana Hayati Dkt. Kwame Nkrumah katika eneo la Makumbusho (Kwame Nkrumah Memorial Park and Mausoleum) Jijini Accra nchini Ghana tarehe 25 Mei, 2022

Source : Picha na habari kwa hisani ya Ikulu blog.
 
Accra nchini Ghana
tarehe 25 Mei, 2022.

Ziara ya kikazi ya rais nchini Ghana 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Mkataba wa eneo huru la Biashara Barani Afrika (The African Continental Free Trade Area), katika Ofisi za (AfCFTA) Jiji la Accra nchini Ghana tarehe 25 Mei, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Katibu Mkuu wa Wamkele Mene katika Ofisi za (AfCFTA) Accra nchini Ghana tarehe 25 Mei, 2022.


Source : picha na habari kwa hisani kubwa ya Ikulu Blog
 
Putin je? Vp kuhusu papa
 
vp TB joshua alivyokuja tanzania akapokewa na rasi kikwete ,rais akamwambia what a suprise.ilikua ni work visit au state visit
 
Sio nchi zote hufata mkondi huo,nchi kama narekani uwe umwalikwa au hujaalijwa rais wao haji eapoti kukupokea
 

Shughuli ktk Ziara ya kikazi yaendelea: Rais Samia azungumzia fursa kibao katika biashara baina ya nchi za kiAfrika

Tanzanian president :AfCFTA presents Africa with opportunity for growth, prosperity​




ACCRA, May 25 (Xinhua) -- The African Continental Free Trade Area (AfCFTA) presents Africa with the biggest opportunity for growth and prosperity, Tanzanian President Samia Suluhu Hassan said here on Wednesday.

Hassan made the remarks during a visit to the AfCFTA secretariat.

The trade area presented an opportunity to accelerate intra-African trade and use trade more effectively as an engine for growth and sustainable development, said Hassan.

"As most African countries are recovering from the economic shocks resulting from COVID-19, the implementation of the AfCFTA will hasten a quick economic recovery with a free-trade area of over 1.2 billion people," Hassan stated.

Wamkele Mene, secretary-general of the AfCFTA Secretariat, welcomed the Tanzanian president and hailed her visit as a further testimony to the seriousness African leaders attached to the implementation of the AfCFTA.

To strengthen the continent's industrial development efforts and boost intra-African trade, Mene said the secretariat had identified four priority value chains, namely the agro-processing industry, automotive sector, pharmaceutical area, and transport and logistics.

"We must develop these sectors to accelerate the implementation of AfCFTA's industrialization. They will also create jobs for young Africans and small-medium enterprises led by women," Mene added.

According to him, the secretariat had successfully secured a 1-billion-U.S.-dollar investment from the African Export-Import Bank for the continent's industrial development
 

25 May 2022

Kuelekea siku ya Afrika tarehe 25/5/2022



Tunapoelekea Siku ya Afrika ambayo ni tarehe 25 Mei Ninawasihi Watanzania Wote, kuendelea kulinda Tunu za Afrika ambazo ni Umoja, Upendo na Ushirikiano. " The Africa, We Want" Urithi wa Ukombozi, Fahari ya Afrika

Source : AfricanLiberation TV
 
Juhudi za Afrika kujikomboa kiuchumi za jadiliwa huko Accra Ghana , taasisi kama AfBD na zingine nyingi zinajaribu kuiinnua Afrika kiuchumi na hatimaye kiusalama kwani uchumi ukiwa mzuri suala la wahamiaji kukimbia nchi zao kutafuta ukimbizi wa kiuchumi na kiusalama litakuwa historia


TOKA MAKTABA:
Afrika imetoka mbali baada ya wazee wetu kutuletea uhuru toka kwa wakoloni

OAU Liberation Committee


The Late Tanzania - Prime Minister Edward Sekoine Praises Freedom Fighters During Speech To OAU Liberation Committee 1978

Source : AfricanLiberation TV
 
Nilitaka shangaa ,huyu ndo selasin nimjuae au , lakin pitia hutuba yake nimejifunza mengi sana
 
Kwahiyo tuseme nchi mwenyeji haiwajibiki chochote kwa Rais aliekuja kwa ziara ya kikazi?Usalama wa Rais katika nchi hiyo inakuweje?unaweza kuwa umeeleza ukweli lakini practically inaweza isiwe hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…