Ntozi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 226
- 300
Ni kweliRais ni Rais tu, state visit na work visit ni jambo lile lile tu, tuache ujuaji mwingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweliRais ni Rais tu, state visit na work visit ni jambo lile lile tu, tuache ujuaji mwingi.
Hata kama ni working visit ndio apokelewe na watu kama hawa?Wewe ndio mjinga unafahamishwa unaleta ujuwaji, una chuki na rais samia lakini chuki zako ni za bure mama anakata mbuga na anafanya kazi ambao wote waliomtangulia walishindwa huyo malaika wako unayemuabudu ndio kashindwa kabisa akabakia kunyang'anya pesa matajiri.
ndyo maana marais wenye kuelewa tofauti ya hii kituhawasafiri hovyo mkuu.Kwahiyo rais wa Marekani akija kwa work visite, Samia atauchuna ikulu hata enda kumpokea??
Labda kama mtu ukiamua kujitoa ufahamu!! Wala hakuna anayesema kuwa Rais akiwa kwenye work visit anakoma kuwa rais. Ila ukweli ni kwamba akiwa kwenye work visit asitegemee kupewa heshima anayostahili kama rais wa nchi kama kupokelewa na mkuu wa nchi mwenzake nk
Umeongea kidiplomasia. ila ukweli ni kwamba, UMASIKINI NI TATIZO KUBWA. Alieendelea/tajirika ni boss wako upende usipende!Hatalazimika kwenda kumpokea, wala rais wa marekani akija kwa work visit hatadai kupokelewa na Rais! Lakini kwa kawaida sijui kwa nini (labda kwa ajili ya ukarimu), ikulu hapatakalika itabidi tu aende kumpokea! Si unajua sisi waafrika tunajisikiaga vizuri kupokea wageni!
Kwani tatizo hapa ni umasikini au ungozi nyeusi (inferiorty complex)???Umeongea kidiplomasia. ila ukweli ni kwamba, UMASIKINI NI TATIZO KUBWA. Alieendelea/tajirika ni boss wako upende usipende!
OkDah, swali fikirishi kweli hili.