ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Narudia tena, Kwa Tanzania organization structure Iko hivi
Mungu - Rais wa JMT/Rais - wengine
Kiufupi kiutawala Tanzania , ukiacha Mungu alie Mbinguni, katiba yetu imetupa Mungu Binadamu ambaye ni Rais wa Tanzania.
Ambaye kila mtu, raia, majengo, bahari, mahakama, bunge, jeshi, raia, ardhi, ndani ya nchi hii vipo chini yake.
Nadiriki kusema unafiki wa wabunge na mahakama ni wa kikatiba , Kwa maana hawana namna ingine ya kufanya,
Madaraka ya Urais ni makubwa kiasi kwamba hata akiamua kuua watanzania wote , akabaki labda yeye na zenji Hakuna kitakachotokea, ulitakuwa tu hostoria mbaya kama ya Hitler au Joseph Stalin.
Katiba imempa Rais absolute power, na chochote atakacho anapata, hakuna wa kumfanya chochote, yeye akimchukia mtu anamshughulikia, kumfukuza kazi, kumuangamiza. Sisi wananchi na democrasia ya uwongo hata tusipompenda Kiongozi hatuna Cha kumfanya, tunavumilia tukitegemea one day mambo yatakaa sawa