Rais Macron amfungulia mashtaka Candace Owens wa Marekani kwa kudai mke wa Macron ni mwanaume

Rais Macron amfungulia mashtaka Candace Owens wa Marekani kwa kudai mke wa Macron ni mwanaume

Candace kasema wakutane mahakamani . Tena hata haogopi. Sijui anatoa wapi huo ujasiri.
Msikie Candice hapa akiongea kwa confidence 💯%. Hawa mashoga wawili hawatoboi

Candace Owens just poured gasoline on the Macron lawsuit, straight-up telling Brigitte, “You were born a man and you’ll die a man… See you in court.”

She’s pledging to fight “on behalf of the entire world,” daring the French First Family to drag this into discovery.
 
Huyo Macron nyuma ya huyo mke wake kutakuwa na Siri kubwa mno,haiwezekani ukawa RAIS kijana ukaenda kupambana na mwanamke mzee halafu mbaya kama yule!
na mbaya zaidi hajawahi japo kumzalia mtoto..kwahiyo macron hana hata mtoto yaani ufike hadi kuwa rais wa nchi badala aoe mke wa kumzalia watoto akabeba mbibi..hatuwezi jua labda macron ana shida zake kama angeoa hawa wanawake wa kisasa wa haki sawa pengine ingefichua udhaifu au siri yake binafsi tusione watu kwa nje tu kumbe ndani ya nafsi kuna mazito..
 
First Lady of France
Personal details
Macron in 2024
Current
Assumed role
14 May 2017
PresidentEmmanuel Macron
Preceded byValérie Trierweiler (2014)
BornBrigitte Marie-Claude Trogneux
13 April 1953 (age 72)
Amiens, France
Spouses
André-Louis Auzière




(m. 1974; div. 2006)
Emmanuel Macron


(m. 2007)
Children3, including Laurence Auzière-Jourdan
Tuanzie hapa then tuendelee na mjadala,maana wikipedia inaonyesha alishawahi kuolewa na akaishi kwenye ndoa kwa miaka 32 kabla ya kuachika na kuolewa na Macron 2007...
Kulingana na nadharia hii, jina halisi la Brigitte ni Jean Michel Trogneux, alioa mwanamke enzi hizo kabla hajabadili jinsia. Na akazaa na huyo mwanamke. Brigitte ni jina la dada yake alishafariki kitambo kwahiyo yeye alivyobadili jinsia ndo akachukua jina la dada yake.
 
Kulingana na nadharia hii, jina halisi la Brigitte ni Jean Michel Trogneux, alioa mwanamke enzi hizo kabla hajabadili jinsia. Na akazaa na huyo mwanamke. Brigitte ni jina la dada yake alishafariki kitambo kwahiyo yeye alivyobadili jinsia ndo akachukua jina la dada yake.
Thibitisha mkuu
 
Changamoto ya afya ya akili........."obsession" - anafaidika nini na hili hata kama ni kweli ?
1.Kongeza Umaarufu wake: Ushindi unaweza kuongeza umaarufu wake, hasa miongoni mwa wafuasi wake, na usikivu zaidi kwenye mifumo yake ya social media.
2.Fursa za Kifedha: Anaweza kupata fursa za kifedha kupitia uuzaji wa bidhaa, michango, au uongezekaji wa wateja wa podcast yake kutokana na umakini wake.
3. Uhuru wa Maoni: Akishinda anaweza kuimarisha hoja yake kwamba anatumia haki yake ya uhuru wa maoni, hasa nchini Marekani
 
Kuna mwandishi wa Ufaransa anadai alitafuta hizo picha akakosa. Huyo mwandishi aliwahi kuhojiwa na Candace Owens. Kwenye mahojiano akadai kule Ufaransa wanafunzi huwa wanapiga picha za kumbukumbu zinatunzwa kwenye maktaba. Kwenye maktaba ya mji aliposoma Brigitte picha zake huyo mwandishi alizikosa. Ni madai ya mwandishi huyo wa Ufaransa kwahiyo anaweza kuwa anadanganya au yuko sahihi.
Huyo mwandishi kaandika kitabu kamili kuonyesha kuwa ni mwanaume na mambo ya ajabu ya familia hiyo. Kwanza wanadai ni babake yake emmanuel macron mwenyewe achilia mbali kuwa ni mwanaume tu.
Kesi ambayo walikuwa wamefungua dhidi ya watu waliokuwa wanasema hivyo huko ufaransa wameshindwa.
 
Mahakama itataka huyo mwandishi atoe evidence kuwa mke wa Macron sio mwanamke. Tutaanzia hapo
Si kesi hii hii ya akina Macroni iliwahi kufunguliwa Mahakamani huko huko Ufaransa lakini Macron na Mkewe wakashindwa kesi!!

Nadhani kuna wakina mama watatu ndiyo walikuwa wanadai kwamba mkewe Macron ni mwana mume na wakashinda KESI.
.
 
Si kesi hii hii ya akina Macroni iliwahi kufunguliwa Mahakamani huko huko Ufaransa lakini Macron na Mkewe wakashindwa kesi!!

Nadhani kuna wakina mama watatu ndiyo walikuwa wanadai kwamba mkewe Macron ni mwana mume na wakashinda KESI.
.
Mahakama ikaamuru jinsia ya mke wa Macron ni ipi?
 
Back
Top Bottom