Rais Macron amfungulia mashtaka Candace Owens wa Marekani kwa kudai mke wa Macron ni mwanaume

Court ruling iko wapi tuisome. Nisome hukumu ya mahakama uko Ufaransa ilisemaje iliandikwa nini itakuwa na vielelezo.

Look, you know how to use search Engines za mtandaoni huko kuna treasure trove kuhusu Macron na huyu tunaye muita mkewe, sasa wewe unaona ugumu gani wa kujitafutia mwenyewe ukajiridhisha au uka-ignore, wengine tuna inbuilt instinct za kuwa soma watu a MEGA miles away, wewe hapa ulikuwa umejipanga kuanzisha league ya kubishana bishana tu,wakati nimekwisha kupa a lead/hint/clue ni wapi pa kuanzia ku-search!!
 
Umedai mahakama ya Ufaransa ilitoa hukumu na aliyedai mke wa Macron sio mwanamke alishinda. Nimeomba hukumu ya mahakama na najua Ufaransa wanaweka kumbukumbu ya hukumu za mahakama zao mtandaoni, kama sisi Tanzania ambavyo baadhi zipo mtandaoni.

Mimi binafsi najua haipo, wala hiyo kesi haijawahi kuwepo hivyo sina haja ya kutafuta kitu kisichokuwepo.
Kwa vile wewe kwenye ulimwengu wako ipo unaijua hii kesi na hukumu yake, badala ya maelezo yako leta hukumu ya mahakama nisome mwenyewe. Ugumu uko wapi mbona unafura?
 
Ndiyo hayo hayo nilikuwa nakwambia tangu mwanzo kwamba nilisha kusoma tangu mwanzo kwamba lengo lako ni kutaka kuanzisha league ya mabishano ambayo kusema kweli ni unhelpful, lakini watu wengine ndivyo walivyo kuwa wired by their MAKER, namely an inflated view of their...,nilicho kwambia wala isn't rocket science, tumia search engines za mtandaoni mbona zipo nyingi tu, mtafute Macron na Mkewe soma kesi zao walizo waburuza baadhi watu Mahakamani kuhusu kashifa hii,je,matokeo ya hukumu yalikuwa vije?
 
Sishangai ..Kuna mengi sana Dunia hii..watu wako kwenye secret cults za kidunia ..you want to be powerful, accumulate wealth, ..lazima ufuate masharti.
 
Candace kasema wakutane mahakamani . Tena hata haogopi. Sijui anatoa wapi huo ujasiri.
Huyo huwa anatafuta attention tu hana lolote ni conspiracy theorists. Huyo mama ana watoto watatu alizaaje kama ni mwanaume? She's 72 come on ulitaka afanane vipi
 
Ndiyo hayo hayo nilikuwa nakwambia tangu mwanzo kwamba nilisha kusoma tangu mwanzo kwamba lengo lako ni kutaka kuanzisha league ya mabishano ambayo kusema kweli ni unhelpful, lakini watu wengine ndivyo walivyo kuwa wired by their MAKER, namely an inflated view of their...,nilicho kwambia wala isn't rocket science, tumia search engines za mtandaoni mbona zipo nyingi tu, mtafute Macron na Mkewe soma kesi zao walizo waburuza baadhi watu Mahakamani kuhusu kashifa hii,je,matokeo ya hukumu yalikuwa vije?
Kushindwa kesi haimaanishi ndio mkewe ni mwanaume. Kuna suala kama statute of limitation, ushahidi wa kuwashtaki hao wanaotoa tuhuma n.k ila sio kwamba alishindwa kesi ya kudai ni mwanamke sababu obvious ni mwanamke.
 
Msikie Candice hapa akiongea kwa confidence 💯%. Hawa mashoga wawili hawatoboi

Candace Owens just poured gasoline on the Macron lawsuit, straight-up telling Brigitte, “You were born a man and you’ll die a man… See you in court.”

She’s pledging to fight “on behalf of the entire world,” daring the French First Family to drag this into discovery.
She's crazy ni sawa na kusema mchukulie kauli ya Mange kimambi kama ushahidi??

Wewe unayedai mtu sio mwanamke si uthibitishe, hivi akiburuzwa mahakamani atajibu nini? Ngozi nyeusi sijui tuna laana gani badala ya kupambania haki za watu weusi yuko busy na nonsense
 
kuna huyu nae, sasa anaishi kama digidigi...

1753485221755.png
 
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amemfungulia mashtaka mwandishi maarufu wa habari kutoka nchini Marekani Candace Owens kwa kutoa taarifa za kupotosha kuwa mke wa Rais Macron , Brigitte Macron ni mwanaume aliyebadili jinsia.

Candace Owens amekuwa mara nyingi akieleza kuwa Brigitte Macron ni mwanaume aliyekuwa akiitwa Jean - Michel Tragnoux na aliyebadili jinsia na kuitwa Veronique kabla ya kuitwa Brigitte
. Candace alikwenda mbali zaidi na kuandaa series iitwayo" Becoming Brigitte" iliyorushwa katika chaneli yake ya YouTube. Kupitia series hiyo, Candace alielezea historia ya Brigitte na historia ya Emmanuel hadi kufikia hatua ya kuwa mke na mume huku akienda mbali zaidi na kudai kuwa Brigitte ni ndugu wa damu wa Emmanuel Macron. Kulingana na Candace Owens, Brigitte aliwahi kuoa akiwa mwanaume na kuwa watoto hao alionao ni watoto aliozaa na mwanamke aliyekuwa mke wake.

Hii si mara ya kwanza kwa madai haya kutolewa, waandishi kadhaa wa habari kutoka Ufaransa wamewahi kushtakiwa na Brigitte kwa kutoa madai yanayofanana na hayo.

Sababu zinazopelekea kusambaa kwa nadharia hii tata ni pamoja na
1. Historia tata ya mahusiano kati ya Brigitte na Emmanuel. Kwamba Brigitte alikuwa mwalimu wa Macron enzi hizo Macron akiwa kijana wa miaka 15, Brigitte akampenda Macron na wakaanza mahusiano. Mahusiano yalivyonoga , Brigitte akatalakiana na mume wake na kisha baadae yeye akafunga ndoa na Macron. Hii stori si ya kawaida.

2. Kukosekana kwa habari za nyuma za Brigitte pamoja na picha zake. Licha ya kuwa Brigitte ni mtu maarufu na anayetoka kwenye familia bora, habari zake za nyuma na picha zake hazipatikani jambo ambalo ni nadra kwa nyakati hizi za mitandao ya kijamii. Shule na vyuo alivyosoma Brigitte havitajwi popote, picha zake za utotoni au ujajani hata alizopiga na marafiki zake hazipatikani popote. Picha za harusi na huyo mumewe wa kwanza hazipatikani na hata picha zake akiwa na watoto wake wakiwa wadogo au akiwa mjamzito hazipatikani. Katika nyakati hizi za mitandao ya kijamii, imezoeleka mtu akishakuwa maarufu basi habari zake na picha zake za zamani hupatikana kwa urahisi kwani hata marafiki zake wa utotoni au ujanani huzipost kama ishara ya ufahari au kujivunia lakini kwa Brigitte ni kinyume chake. Kinachoshangaza zaidi ni kuwa hata tovuti rasmi ya Ikulu ya Ufaransa haitaji Brigitte kasoma wapi kwenye historia yake rasmi iliyochapishwa kwenye tovuti hiyo.
Habari za Brigitte zinazopatikana kwenye vyanzo rasmi zinataja habari zake kuanzia shule aliyofundisha ambapo ndipo alipokutana na Macron na mahusiano yakaanzia hapo.

3. Muonekano wake. Pia muonekano wa Brigitte Macron huchukuliwa kuwa " wa kiume" na baadhi ya watu. Kuanzia kichwani ambapo mara zote Brigitte huvaa wigi tena kwa staili moja kila siku anapoonekana kwenye hadhara hadi miguuni ambapo huonekana kuwa na " wembamba usio wa kawaida" kulingana na mwili wa mwanamke ulivyozoeleka kuwa.

Je muvi itaishia wapi? Je Candace Owens atashinda au atashindwa na kulazimika kulipa fidia itakayotakiwa na familia ya Macron?

=====

CNN

French President Emmanuel Macron and his wife, Brigitte, filed a 22-count defamation lawsuit in the United States against right-wing podcaster Candace Owens Wednesday over the claim that Brigitte could be a man.

The lawsuit filed in Delaware Superior Court alleges Owens has broadcast “a relentless year-long campaign of defamation against the Macrons” according to a statement from Tom Clare, the Macrons’ lawyer.

In March, conservative commentator Candace Owens revived an absurd conspiracy theory with a YouTube video titled “Is France’s First Lady a M according to the complaint. Promoted widely on X, Owens said the conspiracy theory was, “likely the biggest scandal in political history.” Since then, Owens has produced numerous videos about Brigitte Macron for her nearly 4.5 million YouTube subscribers, including a multi-part series called “Becoming Brigitte.” The lawsuit further claims she has also sold merchandise promoting the claim.

The Macrons’ attorney Tom Clare told CNN Wednesday that they had asked Owens to stop making the claim for about a year and filed the lawsuit as a “last resort” after she refused.

The complaint alleges Owens was the first person to bring these baseless claims to the US media and an international audience. The couple are suing for punitive damages and allege that they have suffered “substantial economic damages” including loss of future business opportunities.

On Instagram, Owens posted a screenshot Wednesday of an article referencing the Macrons’ lawsuit and a picture of the couple with the caption: “I will be coming for this wig today. Stay tuned.”

She later posted a video on YouTube saying the lawsuit was “an obvious and desperate public relations strategy.”
Macron-(Macaroni) ndiyo mke kwenye hiyo couple, Brigitte
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amemfungulia mashtaka mwandishi maarufu wa habari kutoka nchini Marekani Candace Owens kwa kutoa taarifa za kupotosha kuwa mke wa Rais Macron , Brigitte Macron ni mwanaume aliyebadili jinsia.

Candace Owens amekuwa mara nyingi akieleza kuwa Brigitte Macron ni mwanaume aliyekuwa akiitwa Jean - Michel Tragnoux na aliyebadili jinsia na kuitwa Veronique kabla ya kuitwa Brigitte
. Candace alikwenda mbali zaidi na kuandaa series iitwayo" Becoming Brigitte" iliyorushwa katika chaneli yake ya YouTube. Kupitia series hiyo, Candace alielezea historia ya Brigitte na historia ya Emmanuel hadi kufikia hatua ya kuwa mke na mume huku akienda mbali zaidi na kudai kuwa Brigitte ni ndugu wa damu wa Emmanuel Macron. Kulingana na Candace Owens, Brigitte aliwahi kuoa akiwa mwanaume na kuwa watoto hao alionao ni watoto aliozaa na mwanamke aliyekuwa mke wake.

Hii si mara ya kwanza kwa madai haya kutolewa, waandishi kadhaa wa habari kutoka Ufaransa wamewahi kushtakiwa na Brigitte kwa kutoa madai yanayofanana na hayo.

Sababu zinazopelekea kusambaa kwa nadharia hii tata ni pamoja na
1. Historia tata ya mahusiano kati ya Brigitte na Emmanuel. Kwamba Brigitte alikuwa mwalimu wa Macron enzi hizo Macron akiwa kijana wa miaka 15, Brigitte akampenda Macron na wakaanza mahusiano. Mahusiano yalivyonoga , Brigitte akatalakiana na mume wake na kisha baadae yeye akafunga ndoa na Macron. Hii stori si ya kawaida.

2. Kukosekana kwa habari za nyuma za Brigitte pamoja na picha zake. Licha ya kuwa Brigitte ni mtu maarufu na anayetoka kwenye familia bora, habari zake za nyuma na picha zake hazipatikani jambo ambalo ni nadra kwa nyakati hizi za mitandao ya kijamii. Shule na vyuo alivyosoma Brigitte havitajwi popote, picha zake za utotoni au ujajani hata alizopiga na marafiki zake hazipatikani popote. Picha za harusi na huyo mumewe wa kwanza hazipatikani na hata picha zake akiwa na watoto wake wakiwa wadogo au akiwa mjamzito hazipatikani. Katika nyakati hizi za mitandao ya kijamii, imezoeleka mtu akishakuwa maarufu basi habari zake na picha zake za zamani hupatikana kwa urahisi kwani hata marafiki zake wa utotoni au ujanani huzipost kama ishara ya ufahari au kujivunia lakini kwa Brigitte ni kinyume chake. Kinachoshangaza zaidi ni kuwa hata tovuti rasmi ya Ikulu ya Ufaransa haitaji Brigitte kasoma wapi kwenye historia yake rasmi iliyochapishwa kwenye tovuti hiyo.
Habari za Brigitte zinazopatikana kwenye vyanzo rasmi zinataja habari zake kuanzia shule aliyofundisha ambapo ndipo alipokutana na Macron na mahusiano yakaanzia hapo.

3. Muonekano wake. Pia muonekano wa Brigitte Macron huchukuliwa kuwa " wa kiume" na baadhi ya watu. Kuanzia kichwani ambapo mara zote Brigitte huvaa wigi tena kwa staili moja kila siku anapoonekana kwenye hadhara hadi miguuni ambapo huonekana kuwa na " wembamba usio wa kawaida" kulingana na mwili wa mwanamke ulivyozoeleka kuwa.

Je muvi itaishia wapi? Je Candace Owens atashinda au atashindwa na kulazimika kulipa fidia itakayotakiwa na familia ya Macron?

=====

CNN

French President Emmanuel Macron and his wife, Brigitte, filed a 22-count defamation lawsuit in the United States against right-wing podcaster Candace Owens Wednesday over the claim that Brigitte could be a man.

The lawsuit filed in Delaware Superior Court alleges Owens has broadcast “a relentless year-long campaign of defamation against the Macrons” according to a statement from Tom Clare, the Macrons’ lawyer.

In March, conservative commentator Candace Owens revived an absurd conspiracy theory with a YouTube video titled “Is France’s First Lady a Man?” according to the complaint. Promoted widely on X, Owens said the conspiracy theory was, “likely the biggest scandal in political history.” Since then, Owens has produced numerous videos about Brigitte Macron for her nearly 4.5 million YouTube subscribers, including a multi-part series called “Becoming Brigitte.” The lawsuit further claims she has also sold merchandise promoting the claim.

The Macrons’ attorney Tom Clare told CNN Wednesday that they had asked Owens to stop making the claim for about a year and filed the lawsuit as a “last resort” after she refused.

The complaint alleges Owens was the first person to bring these baseless claims to the US media and an international audience. The couple are suing for punitive damages and allege that they have suffered “substantial economic damages” including loss of future business opportunities.

On Instagram, Owens posted a screenshot Wednesday of an article referencing the Macrons’ lawsuit and a picture of the couple with the caption: “I will be coming for this wig today. Stay tuned.”

She later posted a video on YouTube saying the lawsuit was “an obvious and desperate public relations strategy.”
Brigitte ni MME halali wa Macron, Brigitte anajulikana kuwa ni dume na Macron ni gay survival ya kwenye ulingo wa siasa ndiyo imesababisha arrangement hiyo, ile kelbu aliyopigwa kwenye ndege haikuwa ya kike ile.
 
She's crazy ni sawa na kusema mchukulie kauli ya Mange kimambi kama ushahidi??

Wewe unayedai mtu sio mwanamke si uthibitishe, hivi akiburuzwa mahakamani atajibu nini? Ngozi nyeusi sijui tuna laana gani badala ya kupambania haki za watu weusi yuko busy na nonsense
Itabidi akaguliwe uchi wake tuone kama ana "K". Kama unadhani ngozi nyeusi ni nonsense basi ni ngozi yako pekee
 
Kumbe hata hujielewi, huyu Candace Owen hajasema Mke wa Macron hana Uke, anadai Mrs Macron alifanyiwa upasuaji kuwa mwanamke ila "alizaliwa" mwanaume.

So mpaka hapa inaonyesha hujui lolote kuhusu madai ya Owens zaidi ya ushabiki tu.
 
Kama unadhani ngozi nyeusi ni nonsense basi ni ngozi yako pekee
Ni upuuzi ndio, huwezi kimbizana na kama mtu ni mwanaume au mwanamke ilihali Black Americans zaidi ya 50% wanaishi maisha ya kimaskini, wanabaguliwa na ni wahanga wa madawa ya kulevya n.k ni kukosa vipaumbele.
 
Sishangai ..Kuna mengi sana Dunia hii..watu wako kwenye secret cults za kidunia ..you want to be powerful, accumulate wealth, ..lazima ufuate masharti.
Sasa shoga alizaaje? Jf imejaa wajuaji sana.
 
Macron-(Macaroni) ndiyo mke kwenye hiyo couple, Brigitte

Brigitte ni MME halali wa Macron, Brigitte anajulikana kuwa ni dume na Macron ni gay survival ya kwenye ulingo wa siasa ndiyo imesababisha arrangement hiyo, ile kelbu aliyopigwa kwenye ndege haikuwa ya kike ile.
Cha ajabu kuna baadhi ya watu humu wanajaribu kumtetea anaye jiita Brigitte huku akionekana ni DUME kabisa!!
 
Mke wa Obama nae si ilikuwa uzushi kama huu?eti hakuna picha zake?Kwanini wasiende kwenye shule aliyofundisha?shule alizosoma kwani hawamjui?Alipozaliwa hapajulikani?
Hata Kim Jong Un alipoteuliwa kuwa Rais wa North Korea mwaka 2011 picha zake za shule hazikuonekana, ilisemekana amesoma Ulaya ila hakukua na uhakika ni nchi ipi wala chuo kipi. Jamaa hakuwa hata na akaunti mitandao ya kijamii
 
Kumbe hata hujielewi, huyu Candace Owen hajasema Mke wa Macron hana Uke, anadai Mrs Macron alifanyiwa upasuaji kuwa mwanamke ila "alizaliwa" mwanaume.

So mpaka hapa inaonyesha hujui lolote kuhusu madai ya Owens zaidi ya ushabiki tu.
unajua huo upasuaji nashindwa kuuelewe
wanatoaje MBOO na Mapumbu waweke KYuMA inakuaje hapo
mambo mengine nikiwaza nashindwa kuelewa

okay tufanye wameweka VAGINA je ule uteute unakuwepo kisimi kinakuwepo au inakuwa vipi mkuu
 
Back
Top Bottom