Msikie Candice hapa akiongea kwa confidence 💯%. Hawa mashoga wawili hawatoboiCandace kasema wakutane mahakamani . Tena hata haogopi. Sijui anatoa wapi huo ujasiri.
Hashindwi, msikilize hapaCandace Owen’s wakati mwingine huwa anajitoa akili kwa makusudi kabisa!
Kwenye hili atashindwa vibaya.
na mbaya zaidi hajawahi japo kumzalia mtoto..kwahiyo macron hana hata mtoto yaani ufike hadi kuwa rais wa nchi badala aoe mke wa kumzalia watoto akabeba mbibi..hatuwezi jua labda macron ana shida zake kama angeoa hawa wanawake wa kisasa wa haki sawa pengine ingefichua udhaifu au siri yake binafsi tusione watu kwa nje tu kumbe ndani ya nafsi kuna mazito..Huyo Macron nyuma ya huyo mke wake kutakuwa na Siri kubwa mno,haiwezekani ukawa RAIS kijana ukaenda kupambana na mwanamke mzee halafu mbaya kama yule!
Binadamu jamaniOtea nani hapo mke wa Macron? Jamaa kaoa shemale kmmk kitandani wanageuzana zamu zamu 🤮🤮🤮
View attachment 3416824
Kulingana na nadharia hii, jina halisi la Brigitte ni Jean Michel Trogneux, alioa mwanamke enzi hizo kabla hajabadili jinsia. Na akazaa na huyo mwanamke. Brigitte ni jina la dada yake alishafariki kitambo kwahiyo yeye alivyobadili jinsia ndo akachukua jina la dada yake.Tuanzie hapa then tuendelee na mjadala,maana wikipedia inaonyesha alishawahi kuolewa na akaishi kwenye ndoa kwa miaka 32 kabla ya kuachika na kuolewa na Macron 2007...
First Lady of France Personal details Macron in 2024 Current Assumed role
14 May 2017President Emmanuel Macron Preceded by Valérie Trierweiler (2014) Born Brigitte Marie-Claude Trogneux
13 April 1953 (age 72)
Amiens, FranceSpouses André-Louis Auzière
(m. 1974; div. 2006)
Emmanuel Macron
(m. 2007)Children 3, including Laurence Auzière-Jourdan
Thibitisha mkuuKulingana na nadharia hii, jina halisi la Brigitte ni Jean Michel Trogneux, alioa mwanamke enzi hizo kabla hajabadili jinsia. Na akazaa na huyo mwanamke. Brigitte ni jina la dada yake alishafariki kitambo kwahiyo yeye alivyobadili jinsia ndo akachukua jina la dada yake.
Mtoa nadharia ni huyo Candace Owens aliyeshtakiwa, sio mimi. Siwezi kuthibitisha madai ya mtu mwingine.Thibitisha mkuu
Changamoto ya afya ya akili........."obsession" - anafaidika nini na hili hata kama ni kweli ?
Bora vyeo na pesa kuliko mbususu.😆😆😆 Bora upate vyeo na hela kuliko kupiga mbususu?
Macron ni mpuuuzi sana
1.Kongeza Umaarufu wake: Ushindi unaweza kuongeza umaarufu wake, hasa miongoni mwa wafuasi wake, na usikivu zaidi kwenye mifumo yake ya social media.Changamoto ya afya ya akili........."obsession" - anafaidika nini na hili hata kama ni kweli ?
Kweli Kuna maagano yapo tuHuyo Macron nyuma ya huyo mke wake kutakuwa na Siri kubwa mno,haiwezekani ukawa RAIS kijana ukaenda kupambana na mwanamke mzee halafu mbaya kama yule!
😁😁🤣🤣 Haya maisha haya Kmmk wallahiOtea nani hapo mke wa Macron? Jamaa kaoa shemale kmmk kitandani wanageuzana zamu zamu 🤮🤮🤮
View attachment 3416824
🤣🤣Yale majamaa yote masenger yanapigana yenyewe kwa yenyewe. Jamaa kaogopa kusema huu ukweli.
Huyo mwandishi kaandika kitabu kamili kuonyesha kuwa ni mwanaume na mambo ya ajabu ya familia hiyo. Kwanza wanadai ni babake yake emmanuel macron mwenyewe achilia mbali kuwa ni mwanaume tu.Kuna mwandishi wa Ufaransa anadai alitafuta hizo picha akakosa. Huyo mwandishi aliwahi kuhojiwa na Candace Owens. Kwenye mahojiano akadai kule Ufaransa wanafunzi huwa wanapiga picha za kumbukumbu zinatunzwa kwenye maktaba. Kwenye maktaba ya mji aliposoma Brigitte picha zake huyo mwandishi alizikosa. Ni madai ya mwandishi huyo wa Ufaransa kwahiyo anaweza kuwa anadanganya au yuko sahihi.
Si kesi hii hii ya akina Macroni iliwahi kufunguliwa Mahakamani huko huko Ufaransa lakini Macron na Mkewe wakashindwa kesi!!Mahakama itataka huyo mwandishi atoe evidence kuwa mke wa Macron sio mwanamke. Tutaanzia hapo
Mahakama ikaamuru jinsia ya mke wa Macron ni ipi?Si kesi hii hii ya akina Macroni iliwahi kufunguliwa Mahakamani huko huko Ufaransa lakini Macron na Mkewe wakashindwa kesi!!
Nadhani kuna wakina mama watatu ndiyo walikuwa wanadai kwamba mkewe Macron ni mwana mume na wakashinda KESI.
.
Ni "neither NOR like a BAT" if you know what I mean.Mahakama ikaamuru jinsia ya mke wa Macron ni i🏩
Court ruling iko wapi tuisome. Nisome hukumu ya mahakama uko Ufaransa ilisemaje iliandikwa nini itakuwa na vielelezo.Ni "neither NOR like a BAT" if you know what I mean.