Rais Macron amfungulia mashtaka Candace Owens wa Marekani kwa kudai mke wa Macron ni mwanaume

Kumbe hata hujielewi, huyu Candace Owen hajasema Mke wa Macron hana Uke, anadai Mrs Macron alifanyiwa upasuaji kuwa mwanamke ila "alizaliwa" mwanaume.

So mpaka hapa inaonyesha hujui lolote kuhusu madai ya Owens zaidi ya ushabiki tu.
Mbona unatumia nguvu nyingi Zitto Junior. Yaani wewe mtoa maoni wa Buza unajuwa kuliko Candice Owens na wenzie?? Halafu tambua hii siyo kesi ya kwanza dhidi ya akina Macrons
 
Ni upuuzi ndio, huwezi kimbizana na kama mtu ni mwanaume au mwanamke ilihali Black Americans zaidi ya 50% wanaishi maisha ya kimaskini, wanabaguliwa na ni wahanga wa madawa ya kulevya n.k ni kukosa vipaumbele.
Hata ngozi nyeupe wanaotumia madawa ya kulevya na wasio na makazi wapo pia. Je umewahi kutembea nje ya Tanzania? ukute hata Kenya hapo hujafika. Nenda japo Burundi ili passport ipate mhuri wa Immigration
 
Unapofungua kesi maana yake kila kitu huwekwa hadharani na sizan km brigit macron yuko tyr kuweka kila kitu wazi

Iyo kesi itakua mbaya sana maana ataombwa aoneshe visibitisho kua yeye sio mwanaume na uyo anaedai ni kaka yake itabidi atafutwe ili kusibitisha, na mambo ya mimba , je walikutana na macron wap na km yeye alikua mkubwa kwa macron its mean alkua anashiriki mapenzi na mtoto mdg
Macron na mkwe wana tofauti ya miaka24+
 
nashindwa kuuelewe
wanatoaje MBOO na Mapumbu waweke KYuMA inakuaje hapo
mambo mengine nikiwaza nashindwa kuelewa

okay tufanye wameweka VAGINA je ule uteute unakuwepo kisimi kinakuwepo au inakuwa vipi mkuu
  • Mboo hukatwa na ngozi yake hutumika kutengeneza uke (vagina). Ngozi hiyo huiunda kitu kinachoitwa neovagina, yaani uke bandia.
  • Mapumbu huondolewa (orchiectomy), kwa kuwa hayahitaji tena kazi yao ya uzalishaji homoni za kiume.
  • Mara nyingi, urethra (mrija wa kukojoa) hupunguzwa na kuwekwa vizuri ili aendane na nafasi mpya ya uke.
  • Vagina Bandia
    • Huwa na kina na mwonekano unaofanana sana na uke wa mwanamke wa asili.
    • Uke huu unaweza kuwa na uteute (lubrication) — lakini si wa asili. Baadhi ya wagonjwa hutumia krimu za unyevu au matibabu kusaidia kujilainisha.
    • Daktari anaweza kutumia ngozi ya mboo, utumbo, au ngozi ya mapaja kutengeneza uke — kila njia ina kiwango tofauti cha unyevu na mwonekano.
 
Waswahili husema "uwongo hupanda ghorofa Kwa kutumia lift lakini ukweli hupanda ghorofa Hilo Hilo Kwa kutumia ngazi(zilizojengwa kupandia ghorofa )""" Sasa ukweli WA tabia ya mshumaa alio nayo macroni umeanza kubainika...
 
unajua huo upasuaji nashindwa kuuelewe
wanatoaje MBOO na Mapumbu waweke KYuMA inakuaje hapo
mambo mengine nikiwaza nashindwa kuelewa

okay tufanye wameweka VAGINA je ule uteute unakuwepo kisimi kinakuwepo au inakuwa vipi mkuu
Hahahhaa mkuu mie sio mtaalamu ila ni operation kama operation zingine inaitwa "Sex Reassigmment Surgery" unaweza iangalia youtube. Itakupa majibu ya kitaalamu.
 
Huelewi kitu Bado Mdogo ... ukikua na kuijua Dunia utaambiwa.
Sielewi nini punguzeni ujuaji si mlikua mnasema Chanjo ya covid watu watakua mazombie cha ajabu mwaka wa 4 sasa kimya. Haya imekuja chanjo ya Ukimwi sisikii kelele!! Ina maana ghafla chanjo zimekua halali?

Shoga anazaaje sasa?
 
Huyu Macron atawafungulia mashaka wangapi? Hana tofauti na wale wanaume wanaiwafunia wake zao alafu anataka amtie adabu mgoni wake huku akimuona mke hana hatia .
 
Mbona unatumia nguvu nyingi Zitto Junior. Yaani wewe mtoa maoni wa Buza unajuwa kuliko Candice Owens na wenzie?? Halafu tambua hii siyo kesi ya kwanza dhidi ya akina Macrons
Huwa sipendi fake news maana zinaharibu sana reputation za wengine. Huyo Candace owens ni mtu wa conspiracy theory kama tu Conservative podcasters wengine say Charlie Kirk au PBD.
 
Harafu huku Bongo watu wakishughulikiwa na Serikali Kwa kuleta matusi mnaita wanakandamiza Demokrasia.

Hauna Demokrasia ya kudharirisha utu wa mtu.
 
Hata Kim Jong Un alipoteuliwa kuwa Rais wa North Korea mwaka 2011 picha zake za shule hazikuonekana, ilisemekana amesoma Ulaya ila hakukua na uhakika ni nchi ipi wala chuo kipi. Jamaa hakuwa hata na akaunti mitandao ya kijamii
Alisoma private School huko Uswiss.
 
Alisoma private School huko Uswiss.
Inaweza kuwa ni sawa, ila ndio hivyo hata marafiki zake hawakupost picha zinazoonesha alisoma huko Uswisi na hata Uswiswi wenyewe hawakuthibitisha kuwa alisoma hapo. Yaani wakati anateuliwa hakukuwa na background info ya maana kumhusu jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…