Rais Macron amfungulia mashtaka Candace Owens wa Marekani kwa kudai mke wa Macron ni mwanaume

Sitaki ulichomaanisha, nimetaka hukumu ya mahakama ya Ufaransa iliyosema yeye si mwanamke. Si ni wewe umesema kulikuwepo kesi mahakamani na ukataja maamuzi ya kesi. Sasa nataka nijisomee mwenyewe.

Mbona unachafukwa wakati sihitaji huo mtazamo wako.
 
Huyo Macron nyuma ya huyo mke wake kutakuwa na Siri kubwa mno,haiwezekani ukawa RAIS kijana ukaenda kupambana na mwanamke mzee halafu mbaya kama yule!
Sasa huyo mwanamke ndio sbb ya yeye kupewa kura
 
 
Basi jamaa ana shida au kaamua kutozaa tu
Kulingana na nadharia hii tata, Macron ni shoga na ndio maana hata ufunguzi wa Olympiki mwaka jana ilikuwa full kusherehekea mambo ya upinde. Macron na mumewe aliyejibadili jinsia walikuwa wanasherehekea wanachama wenzao wa chama pendwa.
 
Sishangai ..Kuna mengi sana Dunia hii..watu wako kwenye secret cults za kidunia ..you want to be powerful, accumulate wealth, ..lazima ufuate masharti.
Kwenye hiyo series ya Becoming Brigitte, episode 1 inaelezea mambo ya cult yaliyopo hapo kwenye ikulu ya Ufaransa. Mi nina roho ndogo nilishindwa kumalizia,inatisha na kuogopesha kwa kweli, ushetani nje nje. Imagine picha rasmi ya Macron ilikuwa inspired na kitabu cha jamaa mfaransa aliyekuwa anabaka na kulawiti watoto huko Algeria enzi za ukoloni. Cover ya hicho kitabu ndo ilitumika kutengeneza official portrait ya Macron. Mi niliishia hapo hapo Episode 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…