anajua anaongea na wajingaHii thinking ya ajabu sana! Yaani kwa sababu mmempa mkopo 100% ndio haruhusiwi kutafuta kazi yenye maslahi zaidi? Kwani huo mkopo si analipa? Au mikopo wanalipa walioko serikalini tu?
Sorry to say this but rais hapa umeteleza!!Rais Magufuli amenukuliwa akisema
“Madaktari wanapata mkopo 100% wakiwa Chuoni, halafu tunawapa ajira Serikalini wanakimbia kisa maslahi, si ungekimbia wakati unasoma?, hela yetu umekula halafu unakimbia kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi, ni kukosa uzalendo”
“Mtafuteni huyo Daktari aliyekimbia Hospitali ya Serikali na hiyo Hospitali binafsi aliyokimbilia, ikiwezekana tunamfungia Daktari, tunaifungia na Hospitali aliyoenda, wakati wa kusomesha hawatuchangii, tukishawasomesha wanakwenda kuwaiba, sio sawa”
Na yeye inabidi arudishwe darasani!!Yeye mbona alikimbia ualimu akaingia kwenye siasa!
Kwani akiwa huko hospitali binafsi, si anarejesha mkopo!? Ama mimi ndiye nimeingia kwenye uwanja wa mpira na shoka!!!“Madaktari wanapata mkopo 100% wakiwa Chuoni, halafu tunawapa ajira Serikalini wanakimbia kisa maslahi, si ungekimbia wakati unasoma?, hela yetu umekula halafu unakimbia kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi, ni kukosa uzalendo”
Unamuuliza nani huku? mtafute huyo role model wako umuulize.Kwani akiwa huko hospitali binafsi, si anarejesha mkopo!? Ama mimi ndiye nimeingia kwenye uwanja wa mpira na shoka!!!
Ingekua sahihi kama angaelipa kwanza 100% ya mkopo wa Serikali aliokopa na riba yake ndio atokeView attachment 1689777
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali na kuhamia Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe.
Rais Magufuli amenukuliwa akisema
“Madaktari wanapata mkopo 100% wakiwa Chuoni, halafu tunawapa ajira Serikalini wanakimbia kisa maslahi, si ungekimbia wakati unasoma?, hela yetu umekula halafu unakimbia kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi, ni kukosa uzalendo”
“Mtafuteni huyo Daktari aliyekimbia Hospitali ya Serikali na hiyo Hospitali binafsi aliyokimbilia, ikiwezekana tunamfungia Daktari, tunaifungia na Hospitali aliyoenda, wakati wa kusomesha hawatuchangii, tukishawasomesha wanakwenda kuwaiba, sio sawa”
Ha ha haaa! Nina wasiwasi ninyi mnaweza kuwa mmefanya hila kupotosha kauli za rais. Ngoja nitafute chanzo halisi nijiridhishe.Unamuuliza nani huku? mtafute huyo role model wako umuulize.
kama vile huko private anaenda kutibu mawe sio watanzania. insanityHuu ni upumbavu,Rais lazima asaidiwe na wasaidizi wake.....kauli zake za siku hizi hata chekechea anashangaa .kuwekeana masharti mtu anatafuta maisha yake ni ujinga,ajirini wengine wapo mtaani kibao tu...........what if alijisomesha mwenyewe hakutumia huu mkopo ambao umeturudisha kwenye Ukoloni aliopambana nao Nyerere.
Kumbe ni mkopo, tena anaulipa kwa interest, ingekuwa wanasoma bure hapo ningeelewa.“Madaktari wanapata mkopo 100% wakiwa Chuoni,
Kwani kaanza leo kutoa kauli zenye ukakasi? Endeleeni kumtetea ila ipo siku mtajua huyu mtu sio.Ha ha haaa! Nina wasiwasi ninyi mnaweza kuwa mmefanya hila kupotosha kauli za rais. Ngoja nitafute chanzo halisi nijiridhishe.
Tena kasema kuwa wanapata mkopo, ambao wanaulipa kwa interest. Yani hii nchi inafurahisha, kama anataka wasihame basi wawasomeshe bure na kwenye mkataba wasaini kabisa lazima ufanye kazi kwenye hospital za serikali kwa muda flani. Kama ilivyo kwa scholarship baadhi za kwenda kusoma nje, unaambiwa kabisa kuwa baada ya kuhitimu lazima urudi kwenu ukfanye kazi kwa kipindi cha miaka kadhaa.Hivi kumbe kuna watu wanalazimishiwa kazi ili hali hawaitaki dah, hii nchi hata nikifa ikatokea maisha ya pili duniani nitaomba nirudi Tanzania
Huu sasa ni Udikteta uliokamilika. Asante Mungu kwa kumfunua Dikteta huyu anayejificha kwenye kisingizio cha uzalendo.View attachment 1689777
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali na kuhamia Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe.
Rais Magufuli amenukuliwa akisema
“Madaktari wanapata mkopo 100% wakiwa Chuoni, halafu tunawapa ajira Serikalini wanakimbia kisa maslahi, si ungekimbia wakati unasoma?, hela yetu umekula halafu unakimbia kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi, ni kukosa uzalendo”
“Mtafuteni huyo Daktari aliyekimbia Hospitali ya Serikali na hiyo Hospitali binafsi aliyokimbilia, ikiwezekana tunamfungia Daktari, tunaifungia na Hospitali aliyoenda, wakati wa kusomesha hawatuchangii, tukishawasomesha wanakwenda kuwaiba, sio sawa”
Hebu waambie na private sector wachukue mtaani, twende sawaHuu ni upumbavu,Rais lazima asaidiwe na wasaidizi wake.....kauli zake za siku hizi hata chekechea anashangaa .kuwekeana masharti mtu anatafuta maisha yake ni ujinga,ajirini wengine wapo mtaani kibao tu...........what if alijisomesha mwenyewe hakutumia huu mkopo ambao umeturudisha kwenye Ukoloni aliopambana nao Nyerere.
Kuna watu/ wafanyakazi wakienda masomoni, wanawekeana bond na mwajiri/ serikali tena kwa viapo mbele ya shahidi mwana sheria kuwa akimaliza masomo lazima arudi hapa kwenye kituo cha kazi afanye kazi miaka mitano ndipo ahame kutafuta marisho ya kijani ama aendelee pale. Na wanafanya hivi kwa sababu mfanyakazi wao huyo anakuwa analipwa mshahara akiwa kwenye likizo ya masomo.Ingekua sahihi kama angaelipa kwanza 100% ya mkopo wa Serikali aliokopa na riba yake ndio atoke