babu ibrahim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 253
- 108
tutaelewana kidogo kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hospitali ipigwe kufuli kwani imevunja sheria gani?Hospital gani itakubali ku take risk ya kupigwa kufuli kwa kukuchukua Daktari toka serikalini?
hii lugha yako na maneno yako humu!!!.. hata kwa Biblia hutakiwi kuwa hivi.. unahitaji msaada kulingana na yote..Ndiyo maana tunajadili. Tutapata njia tu ya kumuondoa tu huyu mental case. Ni suala la muda tu.
Yeye mbona alikimbia ualimu akaingia kwenye siasa!
Huyu mtu anajisahau sana na ndio maana hata mishahara haoni umuhimu wa kuiongeza.
Wanaomkubali huyu mtu huwa siwaelelwei kabisa!!
Lakini hawa watu, Madaktari wana chombo chao kinachosimamia mambo yao wasivurugwe na watu kama huyu. Hawa wangeweza kusimama na kukataa kuyumbishwa, hawa wana nguvu zaidi na ungekuwa mwanzo wa kusukuma huu ukuta uanoingilia haki za wengine.HAKUNA mwenye uwezo wala ujasiri wa kumwambia mzee kuwa "HAIWEZEKANI KWA SABABU NI KINYUME NA KATIBA/SHERIA" Mikutano ya kisiasa na shughuli nyinginezo zilipigwa marufuku kimasikhara masikhara ila ndo ilishatoka hiyo, pamoja na kwamba ilikuwa kinyume kabisa na katiba ya nchi...
Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Swali ni kwamba wakati anapewa mkopo alipewa hilo sharti? Na kwanini walimruhusu aondoke kama alikuwa kwenye hicho kifungo?Siyo tunakoelekea bali tangu awali ndivyo ilivyokuwa. Unasomeshwa na serikali; ukihitimu unafanya kazi serikalini au kwenye shirika la umma kufuatana na utakavyopangiwa, kwa miaka mitano kipindi ambacho kinachukuliwa kinatosha kufidia gharama za kukusomesha. Ukitaka kwenda kwinginepo kabla ya utumishi wa miaka mitano ulikopangiwa, ruksa lakini ulipe gharama za kukusomesha. Mtu 'objective' hawezi kukosoa hilo. Agizo la JPM katika bandiko hili linafuata kanuni hii.
Hii ndio ilikuwa trial balloon.... tulipimwa kama tuna uwezo wa kudai haki zetu, tukaonesha kuwa hatuna. Tutulie tu sasa, ngoja tuone moto utakaomshukia huyu daktari, kama hatujasikia kapewa kesi ya kuhujumu uchumiMikutano ya kisiasa na shughuli nyinginezo zilipigwa marufuku kimasikhara masikhara ila ndo ilishatoka hiyo, pamoja na kwamba ilikuwa kinyume kabisa na katiba ya nchi
Siku za mwisho mwisho hizo za mwenda zakeRais lazima asaidiwe na wasaidizi wake kauli zake za siku hizi hata chekechea anashangaa. Kuwekeana masharti mtu anatafuta maisha yake ni ujinga, ajirini wengine wapo mtaani kibao tu. what if alijisomesha mwenyewe hakutumia huu mkopo ambao umeturudisha kwenye Ukoloni aliopambana nao Nyerere.