Rais Magufuli aagiza magari 130 yaliyotaifishwa yagawanywe kwenye Taasisi za Serikali

Moja kwa moja kwenye pointi, mzee ameamua magari 130 yaliyokamatwa kutokana na shughuli za uwindaji haramu, uhujumu uchumi pamoja na matukio mbalimbali kupelekwa kwenye idara za serikali yakafanye kazi.

Ndio imeisha hivyo.

Nikisemaga JP MAGUFULI ni mwamba watu wananitukana na kunishangaa. Huyu mzee ni zawadi ya watanzania kutoka kwa Mungu.
 
Hivi kule Mkuranga mkuu wa wilaya alisema wilaya hakuna ambulance siyo eee
 
Kawatemesha bilioni 250, kuwafunga halafu wale bure walitoka watanue?
 
Lazima yatahujumiwa spare parts kabla ya kupewa hizo taasis!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…