Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
BAK, uchaguzi huu hamuwezi kushinda hata mtumie mbinu zote mnazozijua. October nitakukumbusha tena na usije hapa kusema mmeibiwaZERO BRAINS yet your fear them in a FREE and FAIR elections because you know the results will mean the end of maccm in this country.
BAK, uchaguzi huu hamuwezi kushinda hata mtumie mbinu zote mnazozijua. October nitakukumbusha tena na usije hapa kusema mmeibiwa
Nmecheka mpaka nmejamba dah umenikonga moyoYaani ningekuwa Kibiti leo ningekula makande ya njugu harafu kesho uharo wake angeushudia huyo DC si kwa uzembe huo.
Sasa kumbe unaujua ukweli halafu umekazana utashinda, utashindia wapii.Kwa mwenye akill fupi tu na anayeamini kwamba Tumeccm inataka uchaguzi HURU na wa HAKI. Jiulize kwanini maccm wanaogopa TUME HURU? Ukipata jibu lake la kweli utakuwa umetia akili kichwani.
Inaonesha Tanzania kulivyo na ombwe la uongozi, hakuna mifumo inayotenda kazi kwa kujitegemea.Duuhhhh!!! Kujenga vyoo sokoni hadi Rais aseme? Hii nchi hatari sana. Yaani rais anapotezewa muda kusimamishwa na kuambiwa kuwa kero SOKO HALINA CHOO? Aiseee...... We have a long way to go.
Pesa inakusanywa ndio ila inaenda serikali kuu. Hawana pesa hao anawaonea tu.Hapa tunazungumzia watumishi wa serikali wanaoteuliwa wapo wasiokidhi viwango wanahitaji in service training.
Mimi ninauhakika serikali za majimbo zingeleta maendeleo haraka sana.mkuu wa mkoa apigiwe kura.apewe mkoa apange na kusimamia bajeti za maendeleo.akusanye kodi etcHah Hah siasa haihitaji hasira, ndiyo tatizo la kukosa mfumo kila kitu wateuliwa kama ma-RC, DC, DED hawajiamini kutoa maamuzi wanasubiri Mh. Rais atatue. Hili pia lipo ktk mhimili wa Bunge ambapo wabunge wa CCM wanashindwa kuiwajibisha serikali wanawaachia mawaziri watoe maswali na majibu kwa niaba ya wabunge wa CCM.
Uchaguzi wa Oktoba 28 , 2020 wagombea wa CCM watakuwa wapweke hakuna wa kuwabeba kutoka mhimili wa serikali kuu (dola) wala spika kuwalinda dhidi ya maamuzi magumu ya wananchi kuchagua wabunge kutoka upinzani wenye uwezo wa kusema kwa niaba ya wananchi na kuibana serikali ili iweze kuamka toka usingizini ipate kuwajibika.
Mahali mnafeli ni pale mnapoanza matusi badala hoja. Unaelewa ukweli kwamba Tume siyo huru, lakini bado unajiaminisha utashinda. ushindi wako utaupitishia mlango upi.
Ule ulikuwa utaratibu wa Chama. Labda sasa ombi hili wapelekewe NEC maana wao nao wana maamuzi yao, ingawa ni jambo zuri piaKama kura zenu za kupata wagombea mlihesabu hadharani ni kipi mnachoogopa October 28 pia kura Tanzania nzima zihesabiwe hadharani?
Ule ulikuwa utaratibu wa Chama. Labda sasa ombi hili wapelekewe NEC maana wao nao wana maamuzi yao, ingawa ni jambo zuri pia
Ushuru unakatwa kwa EFD, hawana hela kwenye halmashauri, kick tu hizoHayana akili hayo manyumbu ndio maana Mbowe anatafuna ruzuku zao menyewe yamekaa yakizodoa macho kama mandondocha
CCM haiwezi kuwapangia NEC utaratibu wa kuendesha uchaguzi. Hata kama wengi wanaona hiyo ndiyo njia nzuri, lakini bado CCM haina mandate ya kuamua nini NEC wafanye kwa mujibu wa KATIBA.
Sasa kama NEC wataona inafaa, ni jambo zuri.
Bila kuiba CCM hashindiBAK, uchaguzi huu hamuwezi kushinda hata mtumie mbinu zote mnazozijua. October nitakukumbusha tena na usije hapa kusema mmeibiwa
Nadhani anayefikiri kushinda uchaguzi bila tume huru, huyu anapaswa kuulizwa aliishia darasa la ngapi.ππππππ ila inaweza kuwapangia waibe kura siyo kwa sababu wameteuliwa na yesu fake wa lugola, anawalipa mishahara, kawapa nyumba na kawapa usafiri hivyo ni MARUFUKU kumtangaza mshindi wa upinzani.
Wewe bado sana. Uliishia la ngapi shuleni? Au ulisomea ujinga!? πππ
Mwenyekiti wa CCM ambaye ni mkuu wa NEC anawezaCCM haiwezi kuwapangia NEC utaratibu wa kuendesha uchaguzi. Hata kama wengi wanaona hiyo ndiyo njia nzuri, lakini bado CCM haina mandate ya kuamua nini NEC wafanye kwa mujibu wa KATIBA.
Sasa kama NEC wataona inafaa, ni jambo zuri.
Nadhani anayefikiri kushinda uchaguzi bila tume huru, huyu anapaswa kuulizwa aliishia darasa la ngapi.
Yaani kila wilaya matatizo waliokuanayo yangewezwa kutatuliwa na ma DC pammoja na wabunge wao.Nakiri kuwa Rais na Mwenyekiti wangu CCM Taifa Dkt. Magufuli ni Mtu wa Jazba ila tukiacha Unafiki kwa 99% anaangushwa tu na Watendaji wake.