Rais Magufuli aamrisha wananchi kwenda kujisaidia nyumbani kwa mkurugenzi na DC Kibiti

Rais Magufuli aamrisha wananchi kwenda kujisaidia nyumbani kwa mkurugenzi na DC Kibiti

ZERO BRAINS yet your fear them in a FREE and FAIR elections because you know the results will mean the end of maccm in this country.
BAK, uchaguzi huu hamuwezi kushinda hata mtumie mbinu zote mnazozijua. October nitakukumbusha tena na usije hapa kusema mmeibiwa
 
Kwa mwenye akill fupi tu na anayeamini kwamba Tumeccm inataka uchaguzi HURU na wa HAKI. Jiulize kwanini maccm wanaogopa TUME HURU? Ukipata jibu lake la kweli utakuwa umetia akili kichwani.

Sasa kumbe unaujua ukweli halafu umekazana utashinda, utashindia wapii.
 
Duuhhhh!!! Kujenga vyoo sokoni hadi Rais aseme? Hii nchi hatari sana. Yaani rais anapotezewa muda kusimamishwa na kuambiwa kuwa kero SOKO HALINA CHOO? Aiseee...... We have a long way to go.
Inaonesha Tanzania kulivyo na ombwe la uongozi, hakuna mifumo inayotenda kazi kwa kujitegemea.

Rais anaongelea vyoo? Na hii one man show ndio inauwa kabisa mifumo ya utawala bora.

Ni lini na wapi kiongozi wetu alisoma strategic management, tuanzie hapo kwanza.
 
Hapa tunazungumzia watumishi wa serikali wanaoteuliwa wapo wasiokidhi viwango wanahitaji in service training.
Pesa inakusanywa ndio ila inaenda serikali kuu. Hawana pesa hao anawaonea tu.
 
Hah Hah siasa haihitaji hasira, ndiyo tatizo la kukosa mfumo kila kitu wateuliwa kama ma-RC, DC, DED hawajiamini kutoa maamuzi wanasubiri Mh. Rais atatue. Hili pia lipo ktk mhimili wa Bunge ambapo wabunge wa CCM wanashindwa kuiwajibisha serikali wanawaachia mawaziri watoe maswali na majibu kwa niaba ya wabunge wa CCM.

Uchaguzi wa Oktoba 28 , 2020 wagombea wa CCM watakuwa wapweke hakuna wa kuwabeba kutoka mhimili wa serikali kuu (dola) wala spika kuwalinda dhidi ya maamuzi magumu ya wananchi kuchagua wabunge kutoka upinzani wenye uwezo wa kusema kwa niaba ya wananchi na kuibana serikali ili iweze kuamka toka usingizini ipate kuwajibika.
Mimi ninauhakika serikali za majimbo zingeleta maendeleo haraka sana.mkuu wa mkoa apigiwe kura.apewe mkoa apange na kusimamia bajeti za maendeleo.akusanye kodi etc
 
Kama kura zenu za kupata wagombea mlihesabu hadharani ni kipi mnachoogopa October 28 pia kura Tanzania nzima zihesabiwe hadharani?

Mahali mnafeli ni pale mnapoanza matusi badala hoja. Unaelewa ukweli kwamba Tume siyo huru, lakini bado unajiaminisha utashinda. ushindi wako utaupitishia mlango upi.
 
Kama kura zenu za kupata wagombea mlihesabu hadharani ni kipi mnachoogopa October 28 pia kura Tanzania nzima zihesabiwe hadharani?
Ule ulikuwa utaratibu wa Chama. Labda sasa ombi hili wapelekewe NEC maana wao nao wana maamuzi yao, ingawa ni jambo zuri pia
 
Soma hiyo link niliyokuwekea hapo juu. Watanzania wengi wanataka kura zihesabiwe hadharani. Eti utaratibu wa chama! Kama ni utaratibu ambao maccm yameuona ni bora kwanini yaogope kutumia utaratibu huo huo kuhesabu kura za uchaguzi Mkuu? 😳😳

Ule ulikuwa utaratibu wa Chama. Labda sasa ombi hili wapelekewe NEC maana wao nao wana maamuzi yao, ingawa ni jambo zuri pia
 
CCM haiwezi kuwapangia NEC utaratibu wa kuendesha uchaguzi. Hata kama wengi wanaona hiyo ndiyo njia nzuri, lakini bado CCM haina mandate ya kuamua nini NEC wafanye kwa mujibu wa KATIBA.

Sasa kama NEC wataona inafaa, ni jambo zuri.
 
😂😂😂😂😂😂 ila inaweza kuwapangia waibe kura siyo kwa sababu wameteuliwa na yesu fake wa lugola, anawalipa mishahara, kawapa nyumba na kawapa usafiri hivyo ni MARUFUKU kumtangaza mshindi wa upinzani.

Wewe bado sana. Uliishia la ngapi shuleni? Au ulisomea ujinga!? 😜😜😜

Nadhani anayefikiri kushinda uchaguzi bila tume huru, huyu anapaswa kuulizwa aliishia darasa la ngapi.
 
Mwenyekiti wa CCM ambaye ni mkuu wa NEC anaweza
 
Naam inawezekana kabisa ali mradi tu kura zinahesabiwa hadharani, lakini hilo pia hulitaki eti utaratibu wa maccm 😂😂😂 Sasa kama maccm yanataka UWAZI na HAKI kwenye kura zao kwanini yaogope UWAZI NA HAKI kwenye Uchaguzi Mkuu!? 😜😜

Tume Huru MNAIOGOPA, Kura zihesabiwe hadharani MNAOGOPA kwa sababu mnajua nini itakuwa HATIMA yenu nchi nzima baada ya kumaliza kuhesabu kura zote 😷

Nadhani anayefikiri kushinda uchaguzi bila tume huru, huyu anapaswa kuulizwa aliishia darasa la ngapi.
 
Nakiri kuwa Rais na Mwenyekiti wangu CCM Taifa Dkt. Magufuli ni Mtu wa Jazba ila tukiacha Unafiki kwa 99% anaangushwa tu na Watendaji wake.
Yaani kila wilaya matatizo waliokuanayo yangewezwa kutatuliwa na ma DC pammoja na wabunge wao.
Hapa kinachotakiwa wapinzani watie nguvu bungeni iletwe sheria mpya kwa mahindi,wizi na wazembe, wapatiwe adhabu kali sana ili hawa watu watambue kwamba wakichezea mali ya umma tu wanaishia mahali pabaya na ifutwe hiyo sheria ya mtu kununua kifungo, mtu akihukumiwa miaka 10 ni jela tu, hakuna kilipia sijui milioni 5 au 10 ni jela tu.
 
Back
Top Bottom