gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Halafu hapo wateule waache kwenda kutafuta uhuru wao kupitia nafasi za ubunge?Mbona kama maamuzi ya hasira sana?Mara gari ya DED igeuzwe ambulance,huku tena watu wakajisaidie kwa DC, aisee
Yote tisa, alipokuwa Kilwa akaelezwa changamoto ya stendi akasema tatizo wamechagua mbunge wa upinzani ila hapo Kibiti hakuna vyoo tatizo limekuwa Dc na DED, Meko kwa double standards hajambo.