Yee ipo muvi ipakue youtube utaelewa namna HIV ilivyotengenezwa na proffessor mmoja mrusi kule ufaransa jina la movie ni eternal youth for comrade Stalin !Movieeee?
Ohoo....BINARY NO hao wanaopewa maagizo hawana uwezo wa kufikiri? Kama wewe ni mteule na unaenda mwendo bendera hufai. Yaani huwezi kutumia hata common sense na logic kidogo na kuweza kusema hapana kwa kutoa supporting facts!
Kipi hujaelewa hapo? mada ya leo ilikuwa KIKOKOTOZI kwa wastaafu tu....ukiuliza Fao la kujitoa na mwingine atauliza Fao la uzazi ....hajatoa ufafanuzi wowote kuhusu mafao yatolewayo na mifuko.....kwa hiyo unachokijuaa kwenye fao la kujitoa ndo hicho hicho kilichopo..
Ikifika 2023 zinapigwa danadana kidogo kisha kanzu, kikokotoo kinaongezwa asilimia chache MF badala ya 50% kinaboreshwa kidogo hadi 55, 2025 CCM ndani ya nyumba!grace period hadi 2023, uchagusi 2020!
Fao la kujitoa hajalirudisha, ila kasema haridhiki nalo. Kama nimemwelewa hivo Mkuu.mods naomba msiunganishe uzi huu ili nipate majibu sahihi maana hotuba ya Mhe Rais imenichanganya hapa, nachotaka kujua mimi ni je Fao la kujitoa kwa wafanyakazi wa miakataba mifupi hasa wale wa sekta binafsi ambao wana mikataba mifupi
Je fao hili limerudishwa?
Maana naona watu wanashangilia tu pasipo kujua kuhusu fao hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hili ndo na mm nlitaka kuliuliziaPamoja na kikokotozi kuna suala tata la fao la kujitoa, watu wengi wameachishwa kazi na mafao yao hayaeleweki
Ohoo....
Wewe unataka wenzako wafukuzwe kazi sasa.
Bunge ndo mhimili wa kurekebisha. Nalo limejaa maccm wengi.
Mtu mmoja mmoja huwezi.
Acha siasa za kitotoUjinga mtupu alete matatizo yeye unamsifia kwa lipi
We utakua hukuelewa,alipokua anaelezea kazi za miktaba akatolea mfano tulawaka,ndo hapo akasema MTU apewe chake sip asubili 55Mkuu lile halijazungumzwa, ni kama halipo.
Shida ni kwamba 2023 uchaguzi utakuwa umepita na cormula.mpya inaweza ikaja na 10%, ukistaajabu ya jiwe utayaona ya firauniMhe ametoa agizo kwamba kikokotoo kipya kisitumike na badala yake zile formular za zamani zitabaki km zilivyo hadi formular mpya itakapoundwa. Wazee wastaafu mpoooo?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mbona aliongelea kidogo suala kuwa watu wanajenga SGR kwa miezi 36 halafu wasubili miaka 60!!!Mjadala wa leo ulikuwa wa KIKOKOTOO tu....
Kwani yeye kasema atakuwa prezdaa hadi muda huo? Au ni kosa kisheria kufanya hivyo?Rais ametoa grace period mpaka 2023 anajuaje kama ataendelea kuw president?
We jamaa acha kudhinia mfumo wa zaman unaendelea kutumika,hivo FAO la kujitoa limerud na la kukkosa ajira linasubili mjadala mpaka 2023
Kaka umeniacha kwenye mataa kwa ulichoandikaCreate a problem the solve it, hahaha.., hizi ni leadership skills pia...