Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

BINARY NO hao wanaopewa maagizo hawana uwezo wa kufikiri? Kama wewe ni mteule na unaenda mwendo bendera hufai. Yaani huwezi kutumia hata common sense na logic kidogo na kuweza kusema hapana kwa kutoa supporting facts!
Ohoo....

Wewe unataka wenzako wafukuzwe kazi sasa.

Bunge ndo mhimili wa kurekebisha. Nalo limejaa maccm wengi.

Mtu mmoja mmoja huwezi.
 
Fao la kujitoa je

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipi hujaelewa hapo? mada ya leo ilikuwa KIKOKOTOZI kwa wastaafu tu....ukiuliza Fao la kujitoa na mwingine atauliza Fao la uzazi ....hajatoa ufafanuzi wowote kuhusu mafao yatolewayo na mifuko.....kwa hiyo unachokijuaa kwenye fao la kujitoa ndo hicho hicho kilichopo..



OVA
 
mods naomba msiunganishe uzi huu ili nipate majibu sahihi maana hotuba ya Mhe Rais imenichanganya hapa, nachotaka kujua mimi ni je Fao la kujitoa kwa wafanyakazi wa miakataba mifupi hasa wale wa sekta binafsi ambao wana mikataba mifupi

Je fao hili limerudishwa?

Maana naona watu wanashangilia tu pasipo kujua kuhusu fao hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fao la kujitoa hajalirudisha, ila kasema haridhiki nalo. Kama nimemwelewa hivo Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohoo....

Wewe unataka wenzako wafukuzwe kazi sasa.

Bunge ndo mhimili wa kurekebisha. Nalo limejaa maccm wengi.

Mtu mmoja mmoja huwezi.

Ushaweka negativity. Nothing is impossible under the sun bruh! Think positive and stay positive.
 
kiongozi wa chama cha wafanyakazi anapiga makofi kumshangilia mwajir katili kabisa kuwahi kutokea
hajapandisha mishahara miaka mitatu sasa
watumishi wanadharirishwa kila uchao
 
Mhe ametoa agizo kwamba kikokotoo kipya kisitumike na badala yake zile formular za zamani zitabaki km zilivyo hadi formular mpya itakapoundwa. Wazee wastaafu mpoooo?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Shida ni kwamba 2023 uchaguzi utakuwa umepita na cormula.mpya inaweza ikaja na 10%, ukistaajabu ya jiwe utayaona ya firauni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walioanzisha unafiki hawakumaanisha utakuwa wa kiwango hiki. Wangekuwepo wangekata rufaa
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Waandishi Wa habari wanapopata fursa wamuulize vizuri J. Mhagama na wabunge hasa Wa CCM kuona wana maoni gani juu ya maamuzi ya Rais na ni kwa nini walichotuaminisha awali kwamba ni kweli imekuja kuonekana si kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom