Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Katengeneza TATIZO halafu anakuja na suluhu ya TATIZO. That's great in African perspective
 
Tumpende tusipende shujaa wa mchezo huu ni ESTER BULAYA ndiye aliyeibua mapambano ha ya na akasaidiwa na wabunge wa upinzani na wanaharakati kupigania.
Nakumbuka wale wa ccm waliunga mkono mswada na juzi eti na Lusinde akaitisha press anatetea jambo hili mpaka nikahoji hivi ccm wanamtumia mpaka Lusinde siku hizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taratibu za Serkali ziko wazi kabisa na zinatambua kuwa Rais ni MTU mmoja hata awe na uwezo gani hawezi kufanya kila kitu ndo maana amepewa madaraka ya kuteua mamia ya wasaidizi wake ili majukumu take yatekelezwe kwa ufanisi. Ni juu yake kuwathibiti, kuwaongoza na kuwatathimini kuhakikisha wanatekeleza Yale kwayo amewateua. Kwa hiyo kama atateua wasaidizi wabovu na mambo yakaenda vibaya wa kulaumiwa ni yeye Rais na lazima abebe lawama hizo bila visingizio.
 
Hii ni habari njema, mtujuze yanayojiri

Bado FAO LA Kujitoa

Private sector wapewe fungu MTU anapofukuzwa au kujiuzulu

FAO LA kukosa ajira ni ngumu sana, na kanuni zake hazitekelezeki....

Mfano: ukiresign umepoteza haki zote

Hizi kazi kwa viwanda vya wahindi ngumu sana, manyanyaso

Pia kuna viwanda vinatoa mionzi na powdered mbaya kwa afya
 
Wanatumwa wakaseme kikinuka anaibuka mwenyewe kutengua maamuzi ya aliowatuma... Unaunda tatizo kisha unalitatua mwenyewe

Jr[emoji769]

Halafu anapongwezwa mwenyewe na kuonekana "mkombozi" mwenyewe. Hii michezo ya kikenge sijui itaisha lini....?
 
Na lile jingine Bashe! Mbona hawakujijumlisha na wao kama sheria ilikuwa nzuri kiasi hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakaza Umenikumbusha mapinduzi ya Zanzibar aliyaongoza mjomba wangu Okelo. Lakini waZanzibari leo hawamtambui, anayetambulika ni Karume mtu aliyeitwa baada ya kazi kwisha.[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787]

Kule kwenye kusifu na kuabudu sasa ni Rais tu [emoji87][emoji40]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…