Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

katibu mkuu wa TUCTA YAHAYA MSIGWA, TALGWU WAPO WAKIONGOZWA NA KM WAO EKINGO YUPO MKUNDA, WAPO TUIKO WAKIONGZWA NA PAUL SENGEZE, RAU WANAONGOZWA NA KM WAO, CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA MADINI, CHAMA CHA RELI CHINI YA YUSUFU MANDAO, CHAMA CHA WAMILIKI WA MITANDAO YA SIMU, CHAMA CHA TAASISI ZA VYUO VIKUU, VIONGOIZ WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII CHINI YA ADAMU MAYINGU NA ADAM MSANGI
 
Hii yote ni katika ule mkakati wa kutafuta sifa. Tatizo kalitengeneza mwenyewe sasa anataka alitatue ili asifiwe. Anataka kila mara kuwa live ila bunge kuwa live hataki kusikia kabisa. kiumbe selfish kupitiliza
 

Naona awamu ya Wafanyakazi imefika

Watu wanahitaji kura zenu 2020.

Wataambiwa watumie kikokotoo cha zamani mpaka muafaka upatikane.
Wafanyakazi kupata nyoongeza ya Mishahara kuanzia mwakani.

Jiwe amechanga karata zake vizuri tu,wapinzani wamepewa magalasa tu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
FAO LA KUJITOA + KIKOKOTOZI.

WANGERUHUSU NA SIMU ZA WAFANYAKAZI LIVE..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…