Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

raha sana! ukiwa umeajiriwa na serikali au shirika la umma wewe ni kama mtoto wa familia bora usipolizika unajiliza kisha baba anakuja kukubembeleza!

sasa njoo huku sekta binafsi ikiwa mshahara 300,000 ni hiyo tu na haitegemei kupanda na hakuna huduma zingine kama matibabu

changamoto ya maisha haya inakuja pale kazi inapokwisha uishi maisha binafsi kama haukujipanga na kwa bahati mbaya ulikuwa na kipato kidogo na nyongeza ulichelewa kuoa na kujenga familia hivyo mtoto wa kwanza yuko form two!

hivyo nawashauri tumieni fursa ya kuajiriwa kukopa na kuwekeza sio kununua vigari kila kukicha hatuoni wivu lakini ndo ukweli tulioko huku tunaona fursa mnazo sana kuzidi mnavyofikiria.

hivi kuna tabu gani ukakopa ukanunua bajaji ukatumia kama 7,000,000/- mpaka 8,000,000 kwa siku ukapata 20,000 ambazo kwa mwaka ukapata 7,200,000/- inayotosha kusimamisha nyumba ndogo ya kupangisha ya vyumba viwili mpaka linta? tutaendelea nina mteja kwanza
Wana bahati sana yaani!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama kutatokea jipya hapo, zaidi ya kupigilia msumari katika ishu yenyewe.
 
Rais Dkt. John Magufuli anatarajia kukutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), vyama shiriki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF & NSSF) na SSRA Asubuhi hii, Ikulu jijini Dar es salaam. Ni kuhusu Mafao ya wafanyakazi hususani KIKOKOTOO.View attachment 979324

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaenda kuwanyamazisha kwa biti moja kaliiiiiiiiiiiiiii sana wasipinge tena masuala ya KIKIOKOTOOOOOOOOOOOOOOOO. Kama alivyowazima mwaka jana kuhusu stahiki za watumishi.

=====================================

 
Headlines za gazeti la Uhuru kesho: "Magufuli awapa wastaafu zawadi ya mwaka mpya" Asema hatasaini sheria mpya inayowanyonya wafanyakazi, aagiza kikokotoo cha zamani kiendelee kutumika. Aahidi kuendelea kuboresha maslahi ya wafanyakazi
 
Back
Top Bottom