swalehe shiza
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,616
- 2,386
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nashangaa , hakuna anayeizungumzia hata kidogo , Kama ss wafanyakazi wa private ambao mikataba yetu inaisha ndani ya mda mfupi haingii akilini eti usubiri mpka miaka 55 au upate asilimia 33 ya mshahara kwa mirzi sitaKuna yeyote ambaye kazungumzia Fao la Kujitoa?
raha sana! ukiwa umeajiriwa na serikali au shirika la umma wewe ni kama mtoto wa familia bora usipolizika unajiliza kisha baba anakuja kukubembeleza!
sasa njoo huku sekta binafsi ikiwa mshahara 300,000 ni hiyo tu na haitegemei kupanda na hakuna huduma zingine kama matibabu
changamoto ya maisha haya inakuja pale kazi inapokwisha uishi maisha binafsi kama haukujipanga na kwa bahati mbaya ulikuwa na kipato kidogo na nyongeza ulichelewa kuoa na kujenga familia hivyo mtoto wa kwanza yuko form two!
hivyo nawashauri tumieni fursa ya kuajiriwa kukopa na kuwekeza sio kununua vigari kila kukicha hatuoni wivu lakini ndo ukweli tulioko huku tunaona fursa mnazo sana kuzidi mnavyofikiria.
hivi kuna tabu gani ukakopa ukanunua bajaji ukatumia kama 7,000,000/- mpaka 8,000,000 kwa siku ukapata 20,000 ambazo kwa mwaka ukapata 7,200,000/- inayotosha kusimamisha nyumba ndogo ya kupangisha ya vyumba viwili mpaka linta? tutaendelea nina mteja kwanza
Ataongea ndio ila haitakidhi mahitaji.....Wenda ataongea chochote mkuu
Mie nakubaliana na kuunga mkono kbs mswaada wa serikali.kuna jirani yangu amelipwa ml150.akanunua nyumba 2.akapata na kausafiri,akafungua na biashara,lkn leo hana hata 100.na nyumba moja keshauza tayari.kw ss anateseka,hana hata mia mfukoni.lkn vp angekuwa analipwa laki 8 zake kila mwez?!Ni imani yetu wastaafu watapatiwa mafao yao kwa wakati na wapatiwe 100%
nani kakwambia atasitisha subiri majibu. atakacho fanya labda kuongeza 5%-10% na itakomea hapo.This time around serikali inafanya mchezo wa "hide and seek". Yaani una create tatizo na baadaye unakuja na majibu yake. Baadaye unasimama mbele ya makamera na kusitisha 25%, hii ni serikali ya wanyonge ndugu zangu😂😂😂😂😂
Kaongea vizuriHuyu jamaa wa reli nimempenda yuko real sana kaongea point
Had jiwe naye ni slow leana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hongera Esther Bulaya, hongereni Wapinzani, hongereni Wote mliotetea na kusimama na Wafanyakazi muda Wote. CCM Ni slow learners siku zote. Sheria hiyo imetungwa na serikali JIWE akiwa anafahamu na kutoa maelekezo. Sheria hiyo ilipitishwa kwa wingi wa Kura na Wabunge wa CCM licha ya kupingwa na Wapinzani. CCM msijifanye mnawajali Wanyonge, nyie Ni Kupe na Chawa mnaowamaliza Wanyonge katika Taifa hili. Leo hii JIWE anajadili Nini asichokijua? Au kwakuwa Watanzania wengi wapo gizani basi Ni mwendo wa kutengeneza Tatizo na kulitatua baadae?
Wito kwa Wapinzani! Huu ndio mwaka Mzuri wa kupaza sauti zaidi, ATAFANYA hata Kama Hapendi ili tu, Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu ujao apate kura. Pazeni sauti kwa Maslahi ya Wanyonge wa nchi hii, sauti hii itasikilizwa Sana hii miaka miwili!
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri uone, namuamini sana jembe languhakuna tumaini loLote hapo..
Roho Mbaya tuhh.
Acha siasakweli mkuu, cdm walileta sera ya 25% na kikokotoo cha kipuuzi raisi wa wanyonge katengua
Wenda akawarudishia ile 50%.Si unajua huyu ni mzee wa kutengeneza matatizo na kuyatatua ili ku gain cheap popularityAtaongea ndio ila haitakidhi mahitaji.....
More Pain is ahead us.
Wote wanaongea vizuri.. Ni vile tu hawaongei ki CCM. Ni wafanyakazi.