Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakukua na ulazima wa wewe kufungua huu uzi kama usemacho unamaanishaSiwezi kusikiliza upuuzi wa mtu anayetengeneza tatizo na kulitatua.
Sent using Jamii Forums mobile app
raha sana! ukiwa umeajiriwa na serikali au shirika la umma wewe ni kama mtoto wa familia bora usipolizika unajiliza kisha baba anakuja kukubembeleza!
sasa njoo huku sekta binafsi ikiwa mshahara 300,000 ni hiyo tu na haitegemei kupanda na hakuna huduma zingine kama matibabu
changamoto ya maisha haya inakuja pale kazi inapokwisha uishi maisha binafsi kama haukujipanga na kwa bahati mbaya ulikuwa na kipato kidogo na nyongeza ulichelewa kuoa na kujenga familia hivyo mtoto wa kwanza yuko form two!
hivyo nawashauri tumieni fursa ya kuajiriwa kukopa na kuwekeza sio kununua vigari kila kukicha hatuoni wivu lakini ndo ukweli tulioko huku tunaona fursa mnazo sana kuzidi mnavyofikiria.
hivi kuna tabu gani ukakopa ukanunua bajaji ukatumia kama 7,000,000/- mpaka 8,000,000 kwa siku ukapata 20,000 ambazo kwa mwaka ukapata 7,200,000/- inayotosha kusimamisha nyumba ndogo ya kupangisha ya vyumba viwili mpaka linta? tutaendelea nina mteja kwanza
Huyu great political leader ni the greatest comedian!!!Aliyetengeneza tatizo eti leo anatafuta kiki kwa kujifanya anatatua ! poor Tanzania !
Nimecheka SanaMwizi anapopelekewa malalamiko kwa nini kaiba
UPDATES:
Viongozi wa Vyama vya wafanyakazi wametoa historia ya walikotoka hadi walikofika. Aidha, wamedokeza kuwa wapo waliozimia kwenye ofisi za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Rais Magufuli anawasikiliza na anataka kila mtu aongee na kutoa dukuduku ili aweze kuongea.
Viongozi wa vyama vya wafanyakazi (upande wa walimu) wanadai kikokotoo kimekuwa ni suala kubwa na Rais Magufuli kama mwalimu anatambua changamoto za walimu. Wanamwomba Rais aliangalie suala la kikokotoo kwa jinsi atakavyoweza kwakuwa wanajua anaweza na kwa wanavyomsaidia Mungu atamsaidia alitatue hili.
TUGHE: Tunakupongeza Mhe. Rais, lakini tunapenda ufahamu kuwa wastaafu wengi hawakuwa wameandaliwa na mabadiliko haya yametokea ghafla na kusababisha negative impact. Morali ya kazi imeshuka!
Bure kabisaHuyu muhindi hana la kusema kaenda kufanya nini!??
Kapigilia msumari wa moto saana,sijui aliagizwa.Huyu mama Ireen mbeya sana halafu anamuita rais mwenyekiti