Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Mifuko kufa inahusu nini kwa mfanyakazi , mifuko inaenda kuwekeza kwenye upumbavu usiokuwa na faida.

Tena huyu mama wa SSRA asifikiri zile fedha zinazochangiwa zinaenda kukaa, zinaenda kuwekezwa.

Wafanyakazi wakidai riba hiyo mifuko inaweza kulipa.

Mama Irene asifikirie yale mafao ni hisani.
 
Ila Waziri wa kazi Mama Mhagama kaongea vizuri sana nafikiri uenda kuna kitu yamikini hakiko sawa.
 
Mheshimiwa Raisi anaongea na viongozi wa vyuma wafanyakazi,nimelipongeza sana,yani moyo wangu umesuuzika sana. Asante sana Mpendwa rais wetu. Pia tuangalie tulio sekta binafsi kwani sisi mkataba wetu mrefu miaka miwili,fao la kujitoa pia liangaliwe.
Kweli kwa hili umenigusa sana.
Sawa mtoto Wa kike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MI binafsi nimepata ugumu kuuelewa, huyu si ndo alienda Clouds fm akatoa ufafanuzi flani hivi

Unapotetea kitu ambacho kina walakini unajikuta hujui itumie point gani.

Anarukaruka tu.
 
Naona kila kitu serikali hii ni confusion. Sijui hawaellewi maana ya regulation? Regulation inafanyaka upon competion. If there is a monopoly no regulation is required
 
Sasa watu wamewekeza kwenye utumbo, kitu cha sh 10 wamenunua kwa sh 100, sh 90 wameipiga, sisi inatuhusu nini?

Ingekuwa inakufa kwa sababu hatujachangia hapo sawa.
 
Back
Top Bottom