Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,239
- 3,933
Kweli wewe ndie Yohana Mbatizaji? Unajua siamini kabisa!!Only in Tanzania!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wewe ndie Yohana Mbatizaji? Unajua siamini kabisa!!Only in Tanzania!
Hongera sana rais wetu kwa kusimama upande wa watumishi ambao wengi wao walikuwa wameanza kupoteza matumaini.Tunaomba pia ulishughulikie suala la nyongeza ya mishahara.Maneno yako yalidhihirisha nia njema uliyo nayo kwa Tanzania na watu wake wote.Viva JPJM.
Kupinga kila kitu na kusifia kila kitu ni upungufu wa fikra pevu.
Be blessed abundantly my president.
Mheshimiwa Rais tunakupenda sana kwa kutujali sisi Wafanyakazi, lakini kuna tatizo jingine kwa Wafanyakazi waliopo kwenye miradi inayoendelea hivi sasa nchini ikiwemo mradi wa ujenzi wa reli ya Standard Gauge hawa Waturuki hawatulipi mishahara yetu hasa sisi Madereva yapata miezi minne sana hatujalipwa na pia wamekuwa na wakidaiwa maeneo mengi pamoja na watoa huduma mbalimbali kama wanaoleta wanaokodisha magari tunaomba Serikali ifuatilie kwa kina huku Standard Gauge hali si nzuri kwa kweli.
Watu sijui akili zenu mnawekaga wapi? Yeye ndiye aliyepitisha baada ya kuona hali mbaya akaamua kujifanya kama hajui kinachoendelea!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hazikufika dk 5 mkuu!! Zingekuwa hizo wangempokonya mic!! Au angesombwa mzobe mzobe kutolewa ukumbuni. Aaaaah sorry kutolewa jukwaaani.Mtaje tu huyo waziri kivuli. Tuwape moyo wenzetu hawa wanaotutetea. Wakifanya vema, tuwape credits zao. Hiyo itatupa haki ya kuwananga pale wanapoboronga au kushindwa kutimiza wajibu wao.
Hata Mh Mnyika pia anastahili pongezi maana naye hakusita kuchagiza kuhusu kikokotoo pale alipopata dk 5 za "kusalimia" (sote tunajua alivyonangwa baada ya hapo!)
Halafu kuna watu wanatamani "upinzani" ufe!!!
Watu wanashindwa kusoma alama za nyakati kama alivyosoma yeye. Baada ya kuona hii kitu inamkalia vibaya,ndio kaamua kuigeuza icheze upande wake. Hivi sasa anaonekane shujaa ameleta kitu kigeni sana. ”Hii ndio ile unshangilia kulipwa elfu 10 kumbe halali yako ni elfu 2”Watu sijui akili zenu mnawekaga wapi? Yeye ndiye aliyepitisha baada ya kuona hali mbaya akaamua kujifanya kama hajui kinachoendelea!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyetia Saini hiyo Sheria ya Kikokotoo ni nani?
Ni msikivu? au amebanywa hadi amesalimu amri?. Maana hali ilishakuwa mbaya huku makazini.Uzuri ni kwamba Rais Magufuli ni msikivu!
Wakati Mnyika na Bulaya wanakomalia jambo hilo si ni nyie mlikuwa mnawazodoa na kuwarushia vijembe ?! Juzi kwenye uzinduzi wa barabara, Mnyika aligusia swala hili. Alichofanya mh ni kumkrash Mnyika. Na kuwaambia wananchi wasimuamini !!Haha sa hv wanaanza kusema rais anaogopa cheche za Lisu wanahamisha magoli tu a.k.a wanatapatapa
Hivi si ndiye aliye tia sahihi ikawa sheria?
Mmmhhhmmmhh! Point of correction! Sema only in ccm!Only in Tanzania!
Mtu wa kurudisha bungeni ikatenguliwe yuko wapi?. Anatengua yeye mwenyewe na kuwapekekea tu wapige brash kile kitu ulichokiamua yeye. Wabunge wenyewe wa chochote ndioooooo.... ule uwingi wao wa ndioooo.... tayari ameshawafirisi kifkra,anawaona mambwiga tuHilo ni tamko halijulikani liatishi muda gani kumbuka sheria bado iko pale pale
Kama angekuwa na nia njema angerudisha sheria bungeni itenguliwe na iundwe upya kwa kushirikiana na wadau wote
Sent using Jamii Forums mobile app
endelea kushangilia ujinga wa mropokaji wenuIli usiropoke
Lekudute ndo kitu gan mkuu? Nadhan ulitaka kuandika leka dutigiteKikokoto Cha ZZK ni lekudute , Cha Sumaye kujikopesha yeye Mwenyewe, kikokoto Cha mwenyekiti wa saccos ni kujikopesha kwa ajili ya Biashara zake.
Duuuh, kwahiyo FAO LA KUJITOA hakuna Tena ??