Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

 
Hazikufika dk 5 mkuu!! Zingekuwa hizo wangempokonya mic!! Au angesombwa mzobe mzobe kutolewa ukumbuni. Aaaaah sorry kutolewa jukwaaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: SMU
maji yalizidi unga,kama ingekua busara zake basi muswada wa sheria iliyoleta kadhia hiyo asingeisani
 
Watu sijui akili zenu mnawekaga wapi? Yeye ndiye aliyepitisha baada ya kuona hali mbaya akaamua kujifanya kama hajui kinachoendelea!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanashindwa kusoma alama za nyakati kama alivyosoma yeye. Baada ya kuona hii kitu inamkalia vibaya,ndio kaamua kuigeuza icheze upande wake. Hivi sasa anaonekane shujaa ameleta kitu kigeni sana. ”Hii ndio ile unshangilia kulipwa elfu 10 kumbe halali yako ni elfu 2”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIKU HIZI WAO NI WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU NA DEMON-KRASIA
 
Hili tatizo lilibarikiwa na bunge bila boss kutia wino??
 
Haha sa hv wanaanza kusema rais anaogopa cheche za Lisu wanahamisha magoli tu a.k.a wanatapatapa
Wakati Mnyika na Bulaya wanakomalia jambo hilo si ni nyie mlikuwa mnawazodoa na kuwarushia vijembe ?! Juzi kwenye uzinduzi wa barabara, Mnyika aligusia swala hili. Alichofanya mh ni kumkrash Mnyika. Na kuwaambia wananchi wasimuamini !!

Leo kalizungumzia Rais mnampandisha chati huku akiwa mwanzilishi wa picha.

Nchi hii ni yetu sote tuheshimiane tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi si ndiye aliye tia sahihi ikawa sheria?

Lawama zirudi kwa bunge, wao ndio wanaamua sheria iwaje. Rais kazi yake ni kuidhisha ianze kazi, wabunge wakiamua kuinadili watabadili any time.
 
Hilo ni tamko halijulikani liatishi muda gani kumbuka sheria bado iko pale pale

Kama angekuwa na nia njema angerudisha sheria bungeni itenguliwe na iundwe upya kwa kushirikiana na wadau wote



Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu wa kurudisha bungeni ikatenguliwe yuko wapi?. Anatengua yeye mwenyewe na kuwapekekea tu wapige brash kile kitu ulichokiamua yeye. Wabunge wenyewe wa chochote ndioooooo.... ule uwingi wao wa ndioooo.... tayari ameshawafirisi kifkra,anawaona mambwiga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NSSF SECTOR BINAFSI NA SISI MTURUDISHIE FAO LETU LA KUJITOA KAMA ZAMANI ,WAKATI TUKIWA KWENYE KIPINDI CHA MPITO HADI 2023,
KAMA KULIVYOFANYIKA KWA KIKOKOTOZI CHA ASILIMIA25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…