Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Mhe ametoa agizo kwamba kikokotoo kipya kisitumike na badala yake zile formular za zamani zitabaki km zilivyo hadi formular mpya itakapoundwa. Wazee wastaafu mpoooo?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata kama ajisafishe namna gani,mimi kama mtumishi ninamwelewa huyo jamaa kama mtu mwenye roho mbaya dhidi ya wafanyakazi.

Lenyewe liliacha Ualimu kwa sababu ya maslahi duni,likakimbilia Kemikali ambako hapo napo halikukaa sana likaibukia kwenye Siasa,hiyo yote linatafuta 'green pasture'.Halafu leo linawahadaa wengine.

Mbona lenyewe halikubaki kwenye Ualimu hadi likafia huko kama Ualimu unalipa?...Kichwa kama dafu!
Boss umekasirika sana tuendelee kutengeneza mirija na sisi tutafika tu
 
Punguza Umama
Huyu jamaa ni muhini sana. Alichowafanyia wafanyakazi ni kma machinga. Yan katuma wakuu wa mikoa awafukoze, wapigwe na wabomolewe mabanda yao, alafu baada ya wiki akaibuka kuwatetea.

Leo wafanyakaz wamekuwa affected psychologicaly. Ndyo anakuja kujisemesha. Siku zote alkuwa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka Wafanyakazi wengi Serikalini ni Walimu na hao hao Walimu ndiyo Waratibu Wakuu wa Uchaguzi kwa miaka mingi nchini na ndiyo Watu ambao wapo karibu sana na Jamii Kubwa ya Kitanzania hivyo ukiwagusa au kuwaudhi kuna hatari kubwa ama mwaka 2020 au 2025 wakakuangusha vibaya sana Wewe au na Chama chako hivyo njia pekee ya Kujikosha Kwao ni Kuwafurahisha katika hili lakini pia hapo hapo Sifa aipate Mtu fulani kwamba anawajali Wafanyakazi na Watumishi wa Umma hasa kuelekea mwakani 2019 ambako kuna Chaguzi kabla ya ule wa 2020. Wenye akili na maono waliposikia tu kuwa leo kuna Kikao / Mkutano huo walijua kuwa una Agenda Kuu mbili 1. Kujikosha na 2. Kuwahadaa Wafanyakazi baada ya Kuiona hatari iliyokuwa inakuja hasa kwa upande wa Serikalini. Naomba niishie hapa tafadhali.
Barikiwa sana Mkuu, haujawahi kuniangusha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya uchaguzi haya. Mimi mwenyewe nimesikia eti tupewe mafao yetu wazee.
 
Back
Top Bottom