Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina uhakika ulichoquote ulikisoma kabla au ulichoquote sio ulichodhamiria,kwani sioni mahusiano ya karibu kati ya hivyo viwiliNa ndiyo mwajiri namba moja aunaweza kuchukua maamuzi magumu.Nani alikudanya, subiri 2025 ikipendeza hadi 2030
Mbona zipo baadhi ya sekta binafsi zina mishahara mikubwa zaidi ya iyo ya serikaliraha sana! ukiwa umeajiriwa na serikali au shirika la umma wewe ni kama mtoto wa familia bora usipolizika unajiliza kisha baba anakuja kukubembeleza!
sasa njoo huku sekta binafsi ikiwa mshahara 300,000 ni hiyo tu na haitegemei kupanda na hakuna huduma zingine kama matibabu
changamoto ya maisha haya inakuja pale kazi inapokwisha uishi maisha binafsi kama haukujipanga na kwa bahati mbaya ulikuwa na kipato kidogo na nyongeza ulichelewa kuoa na kujenga familia hivyo mtoto wa kwanza yuko form two!
hivyo nawashauri tumieni fursa ya kuajiriwa kukopa na kuwekeza sio kununua vigari kila kukicha hatuoni wivu lakini ndo ukweli tulioko huku tunaona fursa mnazo sana kuzidi mnavyofikiria.
hivi kuna tabu gani ukakopa ukanunua bajaji ukatumia kama 7,000,000/- mpaka 8,000,000 kwa siku ukapata 20,000 ambazo kwa mwaka ukapata 7,200,000/- inayotosha kusimamisha nyumba ndogo ya kupangisha ya vyumba viwili mpaka linta? tutaendelea nina mteja kwanza
Mkuu, FAO LA KUJITOA umelisikia Kweli ?
Rais ameamuaje!Hakuna haja ya kudebate sana swala hapa ni jambo jema lililofanyika kwa wafanyakazi.
hakuna fao la kujitoa ila kuna kujitoa uanachama na kuchukua michango yako ndio hiyo itaendelea untill 2023 kwa hiyo ni kucheza na hii ngoma tu kabla 2023 😛😛😀😀Kwani umeambiwa FAO la kujitoa limerudishwa ?!!
.....kama umeelewa hivyo jitakafari upya
Sent using Jamii Forums mobile app
Regardless ya nani kutengeneza tatizo na nani kalitatua, bado tuna kitu cha kupongeza kwa maamuzi haya.
Pia naomba FAO LA KUJITOA liwe nalo limerudishwa.
Rais ameamuaje!
Maana mm singii sana jf sahv
Maana bado nakula Biereee
Vp rais wetu kaamuaje?
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipitia summary ya aliyoyazungumza lipo no 6.Ni kama kila kitu limerudi kama zamani.
Unaijua historia ya kikototoo?Hii yote ni katika ule mkakati wa kutafuta sifa. Tatizo kalitengeneza mwenyewe sasa anataka alitatue ili asifiwe. Anataka kila mara kuwa live ila bunge kuwa live hataki kusikia kabisa. kiumbe selfish kupitiliza
Ukipitia summary ya aliyoyazungumza lipo no 6.Ni kama kila kitu limerudi kama zamani.