Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Yaani magu anapenda sanaa Kiki na attention
Tatizo alilitengeneza Mwenyewe ili apate Kiki ya kisiasa
HUWEZI Ku isaini sheria uliyoidhinisha mwenyewe halafu ukaja na siasa zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mheshimiwa Rais wetu;

Mimi ni moja kati ya Watanzania wengi tunaounga mkono jitihada zako za kuleta mabadiliko Tanzania. Nakupongeza kwa ujasiri, kutomwonea mtu aibu, kuthubutu, na kukiri hadharani kwamba Tanzania haina sababu ya kuendelea kuwa masikini... bravooo!!

Kwa upande mwingine, naona kuwa namna yako ya kufanya maamuzi na utendaji unawadhoofisha wateule wako kama Mawaziri, Makatibu Wakuu, Na Wakurugenzi. Kwa mfano, maamuzi kuhusu MAFAO Na KIKOKOTOZI cha mifuko ya Pensheni; ni maamuzi mazuri lakini ungeacha wateuzi wako; ususani Waziri husika alishughulikie hilo. Kwa wewe kutoa kauli ya mwisho inawafanya wateuzi wako kuonekana hawafanyi wajibu wao ipasavyo Na pia unawaondolea ujasiri wa kufanya maamuzi makubwa.

Mheshimiwa naomba uangalie namna bora ya kutimiza ndoto zote nzuri ulizonazo kwa ajili ya Taifa letu.

Mungu mbariki Rais JPM, Mungu ibariki Tanzania.

Asante.
Watanzania bana ni ngumu sana kueleweka hao unaowataja walikuwa wapi kelele zilivyokuwa zinapigwa kuhusu mafao ??? Au mama yupo NSSF?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kawaida yangu kupongeza pasipostahili kupongeza au kukosoa pasipostahili kukosoa, ila leo kwa dhati ya moyo wangu, nakupongeza Rais wangu John Pombe Magufuli au JPM kwa hili la Kikokotoo, kwa kurejesha 50% kwa mifuko iliyokuwa ikitoa 50 na ile ya iliyokuwa ikitoa 25% ibaki hivyo hivyo na 25% katika kipindi cha mpito hadi mwaka 2023.
Nimekusikiliza hatua kwa hatua, na kusoma lugha ya mwili wako, hakika umejiweka kwenye nafasi ya mfanyakazi, na kuyabeba machungu na maumivu ya kiakili na kisaikolojia waliyopitia tangu kutangazwa kwa kanuni mpya ya mifuko ya Hifadhi ya Jamii.

Nasema asante Rais wangi. Nimefurahi zaidi ulipowaeleza wabunge wetu ukweli mchungu kuwa kama sheria hii ya 25% ingepelekwa Bungeni kuwahusu wao, hakika wasingeipitisha. Rais umesimama katikati ya wafanyakazi wa taifa hili. Umezungumza kama Baba. Ni jambo ambalo lilikuwa haliingii akilini, na wewe umesema halileti logic, kwamba nimetumikia nchi kwa uaminifu mkubwa, ninapostaafu unanipa 25% halafu unaniambia hizo zingine nitakupa kidogo kidogo hadi ufe.
Sielewi wasomi wetu wanafikiri kwa ubongo gani. Ninapostaafu, na pengine kwa uaminifu wangu sijaweza kujenga hata kakibanda, natakiwa nikalipe kodi, nisomeshe watoto, niachane na gari ya umma nipande daladala, sasa nilitaraji hiko nilichojikusanyia kingenisaidia kuweka hata kakibanda au kabiashara, unaniwekea masharti magumu, ambayo wakati najiunga na mifuko hukuniambia. Ndio maana nasema asante sana Rais wangu JPM.

Sasa tutakula mwaka mpya kwa raha mustarehe hadi lile jino la Krismas litaonekana. Asante Rais wangu, ile stress ya miezi kadhaa waliotupa hawa watu wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii sasa inaondoka. Lakini baba, usimame hivyo hivyo ili kipindi cha mpito kikimalizika 2023 wasije tena na hadithi za ujanja ujanja au za Alinacha au Abunuasi ambazo hazina maslahi kwa mfanyakazi anapostaafu. Wewe ni Rais wetu, kwa hili nasema asante sana ila mishahara sekta binafsi kwa baadhi ya sekta ni hairidhishi na ndio msingi wa mahesabu. Wakija hiyo 2023, waje pia na fomula ya mishahara na kikokotoa.

Mungu akubariki
Mbona mnatuchanganya? Hivi bunge lilipikuwa linapitisha lilikuwa chini ya CDM, na yeye aliposaini kuwa sheria alikuwa CUF au? Acheni kumpa sifa zisizostahili, huo wote ni unafki tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATES:

Viongozi wa Vyama vya wafanyakazi wametoa historia ya walikotoka hadi walikofika. Aidha, wamedokeza kuwa wapo waliozimia kwenye ofisi za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.

Rais Magufuli anawasikiliza na anataka kila mtu aongee na kutoa dukuduku ili aweze kuongea.

Viongozi wa vyama vya wafanyakazi (upande wa walimu) wanadai kikokotoo kimekuwa ni suala kubwa na Rais Magufuli kama mwalimu anatambua changamoto za walimu. Wanamwomba Rais aliangalie suala la kikokotoo kwa jinsi atakavyoweza kwakuwa wanajua anaweza na kwa wanavyomsaidia Mungu atamsaidia alitatue hili.

TUGHE: Tunakupongeza Mhe. Rais, lakini tunapenda ufahamu kuwa wastaafu wengi hawakuwa wameandaliwa na mabadiliko haya yametokea ghafla na kusababisha negative impact. Morali ya kazi imeshuka!

Waziri Mhagama
Hoja na kuunganisha mifuko ilikuwa ni hoja ya wafanyakazi.

Hapa tunazungumza tu kikokotoo, ili tupate kikokotoo lazima turudi kwenye contribution rate, tukitaka tuendelee na kikokotoo cha 50% contribution itabidi itoke kwenye 20% hadi 25%.

TUCTA: Tunafahamu kwa moyo wako na unavyowasaida wanyonge. Tunaamini utasaidia kutatua

Mwanzo Wastaafu walikuwa wanapata 50% kwa mkupuo na 50% kidogo kidogo kila mwaka

Tulipendekeza mkupuo uwe 40% na si 25%

CHAMA CHA WALIMU: Suala la kikokotoo ni shida, hakuna asiyejua shida za waalimu. Uzuri ni kwamba hata wewe Rais ni Mwalimu

Kwasasa hata mishahara ya mwisho wa mwezi haitoshi. Kwa namna unavyofanya mambo makubwa najua hata hili unaliweza

TUGHE: Wastaafu wengi hatukuwaandaa kisaikolojia. Mabadiliko haya ya kikokotoo cha mafao yametokea kwa ghafla sana.

Wafanyakazi wa umma waliowengi wanalalamika nakuomba mheshimiwa Rais uongee chochote ili Wafanyakazi warudi kwenye morali ya kazi

TUICO: Watu wa sekta binafsi kima chao cha chini ni 100,000. Ili kwenda vizuri kamati itakayoundwa ikachunguze hii mishahara

Pia kuna fao la kupoteza ajira hawalipwi na makampuni mengi yanaondoka bila ya kuwalipa

WAFANYAKAZI WA RELI: Tumepitia misukosuko sana ikiwemo mishahara kuwa kidogo na ulipwaji wake ni wa kusuasua sana

Tulitegemea mafao ya kustaafu yatusaidie kujenga nyumba ili hata tukifa tufe vizuri.

Ile 50% ya awali kama haiwezekani basi tunakubali iwe 40%

TAMICO: Kwenye suala la kikokotoo kuna shida hasa kwenye fao la kujitoa ambalo mbadala wake ni fao la kukosa ajira

Sekta binafsi tunapata shida kwasababu kazi zetu si za muendelezo. Tunaomba iwepo tofauti kwa watu wa sekta ya migodi na ujenzi kwenye fao la kukosa ajira

SERIKALI ZA MITAA: Tunapenda mifuko iwe imara lakini kwa mishahara yetu hii midogo kwa kweli inaumiza

Rais kelele ni nyingi sana, na kwa kikokotoo hiki mfanyakazi akistaafu atashindwa hata kujenga

CHAMA CHA WAAJIRI: Sheria hii ya mifuko ya jamii, ililenga kuiweka mifuko hii kuwa katika hali ya usawa

Baada ya mifuko kuunganishwa uchangiaji umekuwa ukitofautiana kutoka mfanyakazi mmoja hadi mwingine.

Kila mfuko una tafsiri yake ya mchango wa mwanachama

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI

Nimeamua niwaite wote ili niwe referee na inawezekana nikawa refaree mbaya

Nisingeweza kuwaita Wafanyakazi wote na tatizo hili naona litafikia mwisho.

Rais Magufuli: Kwenye baraza la Mawaziri tulikubaliana kuinganisha mifuko ya jamii

Hatua hii ilitokana na maombi ya muda mrefu ya vyama vya Wafanyakazi kutaka mifuko iiunganishwe

Watu walijua inaelekea kufa na kweli ilikuwa inaelekea huko

Nimewasikiliza, hapa tunaweza kuongea ikafika jioni. Tunaweza kunaliza yakaletwa mengine na ndio maana nataka tu concentrate sehemu moja. Ndio maana nimeleta regulator ili watoe mawazo yaliyo academic.

Nilipokuwa mwalimu nilianza na mshahara wa 1045, ninapofanya kazi nikataka kustaafu nianze kupata usumbufu naomba sio vizuri ndio maana nimewaita hapa tuzungumze.

Mtakumbuka tarehe 20 Oktoba 2017 baraza la mawaziri tulipitisha kuunganisha mifuko ya kijamii iwe mmoja kwabajili ya watumishi wa umma na NSSF ifanyiwe marekebisho ili iwe kwa ajili ya wafanyakazi wa sekta binafsi.

Sababu ya kuunganisha mifuko hii ni kwamba watu walijua inakwenda kufa na kweli ilikuwa inakwenda kufa.

Kabla ya mifuko kuunganishwa kila mfuko ulikuwa na wanachama wake. Jumla ya wanachama wote ilikuwa milioni 1.2.

Awamu ya tano mifuko ilikuwa hali mbaya na walikuwa wanapigana vita na kugombania wanachama.

Hii mifuko pengine ilikuwa inaendesha kiajabu ajabu. Miradi mingi ikawa inaanzishwa hasa ya majengo. Nenda Dege Eco Village, Kigamboni uangalie majengo yale sasa mwekezaji alikuwa anategemea return gani?

Tulipoingia madarakan tulikuwa deni kubwa la trilioni 1.2, ikabidi tutafuta pesa Serikalini tukaanza kulipa madeni haya na tumelipa yote mpaka March 2017.

Rais Magufuli: Sheria inawataka wapewe kidogokidogo si bora unipe zote nikafe vizuri

Mtu anafanyakazi yake kwa muda wote, halafu anamaliza unamwambia apewe asilimia 25, haiingii akilini. utanipa kidogokidogo? hata Waziri akimaliza Ubunge wake ukimwambia utampa 25% kisha nyingine kidogo kidogo hawezi kukubali

Kuna challanges ambazo hatuwezi kuzikwepa kwenye mifuko hii na ninyi wenyewe mmesema kuwa matatizo yapo

Ni lazima kuzitatua changamoto hizi, mmesema watu wanapenda #Kikokotoo kitoe angalau 50% ya mafao kama ilivyokuwa hapo awali

Wakati wa kuunganisha mifuko wastaafu walikuwa wanadai bilioni 700 na zaidi ya bilioni 500 zimelipwa.

Hii fomula iliyotumiwa na PSPF na NSSF haipo duniani.

Walioiweka ni makatibu wakuu wa wakati ule, sio wakati wangu

Rais Magufuli: Niombe kwenye mifuko waboreshe daftari la wastaafu ili kuondoa wastaafu hewa

Kama tulikuwa na wanafunzi hewa, watumishi hewa, pembejeo hewa hatuwezi kukosa wastaafu hewa

Rais Magufuli: Hifadhi za Jamii zipunguze matumizi ya hovyo, zikiwa fedha za Wastaafu zinatakiwa kulipwa kwa mkupuo hata wa 60% haitawezekana kwasababu hakutakuwa na hizo fedha

Yawezekana tatizo halianzi kwenye kikokotoo bali hata uendeshwaji wa mashirika haya

Nafahamu shirika moja linalotumia bilioni 1.3 kuchapisha kaenda na matangazo. Wanachama hamuwezi kujua kama fedha zenu zinatumika hovyo

Limeajiri walinzi na kuwalipa bilioni 2 kwa mwaka, kama wangeajiri SUMA JKT wangelipa bilioni 1

Nitoe wito kwa watendaji wakuu, tupunguze gharama za uendeshaji wa mifuko. Sasa imebaki mifuko 2 hakuna sababu za kushindana

Wafanyakazi wa Serikali ambao ni wanachama wa NSSF wahamishiwe PSSSF na wale wa sekta binafsi vivyo hivyo

Mashirika yaanze kuangalia namna ya kuongeza wanachama sioni sababu ya NSSF kuwa na wanachama laki nne nchi nzima wakati sekta binafsi inakuwa kila siku

Wale wafanyakazi wa migodi na ujenzi kuna sababu gani ya wao kusubiri hadi miaka 60 wakati kazi zao ni za kipindi kifupi.

Tuongeze option za wanachama. Kustaafu sio dhambi, kustaafu ni heshima lazima mstaafu awe respected

Mwalimu aliyefundisha kwa uaminifu miaka 40 hadi chaki zimemharibia macho na aliowafundisha wamekuwa na mishahara mikubwa na wengine ndio wakurugenzi wa NSSF

Ukitaka kuchukua mafao yake unamwambia nitakupa kidogo ili ukaishi, aliyekwambia nani ataishi?

Nimeamua tuwe na kipindi cha mpito, nimeamua kikokotoo kilichokuwa kinatumika kabla ya mifuko kuunganishwa kiendelee katika kipindi cha miaka yote ya mpito

Kipindi cha mpito ni hadi mwaka 2023 ambapo wanachama wa mfuko 58,000 ndio watastaafu kipindi hicho.

Wanachama watakaokuwa wanastaafu wataendelea na kikokotoo cha 50%

Rais Magufuli: Mimi nitaichungulia hiyo mifuko na nina uhakika Waziri na Katibu Mkuu wa wizara zinazohusika wafuatilie mifuko isitumike hovyo

Katika kipindi hicho watawalipa watu mafao vizuri na kwasababu hali itakuwa imeimarika tutafanya mazungumzo ya mfumo bora

Niakubaliana kuwa si kweli lengo langu mifuko, ndani ya Serikali na vyama vya wafanyakazi mkae mjadili njia bora ya kukokotoa mafao

Mifuko itakuwa imeimarika na itaweza kulipa, hata mkikubaliana kupeana 70% mimi sina neno

Si kweli kwamba lengo langu mifuko ife, ndani ya Serikali na vyama vya wafanyakazi mkae pamoja mjadili njia bora ya kukokotoa mafao

Viongozi wa wafanyakazi muache kutumiwa na wanasiasa, watakaotumiwa na wanasiasa wataondoka

Mafao yakiwa bora hata wizi na ufisadi utapungua, kwasababu kila mmoja atakuwa anajua kuwa akistaafu atapata fungu lake

Yaani Mkuu duniani hapa hakun majitu majinga kama matumishi ya umma! Hili taahira linashangilia nini sasa? Ina maana aliyesaini hakuiona kama sheria haikuwa na aina ya ukandamizaji? Shame on him!!
Rais husaini muswada kuwa sheria; hii ya kikokotoo haipo kwenye sheria ila ipo kwenye kanuni. maana yake ni kwamba Rais hakuisaini.
Hata Spika alisema hivyo majuzi tu. Kwa hiyo si sahihi kumshambulia mtu aliyefurahia kufutwa au kuahirishwa matumizi ya kikokotoo hicho.
 
Jamaa alielewa swala hili tangu pale alipoambiwa kwenye uzinduzi wa ujenzi wa barabara sema hakutaka kukubali ndo maana imebidi awaite watu watatu wa TUCTA, etc ili ionekane wameshauri na amekubali kushaurika
 
Rais husaini muswada kuwa sheria; hii ya kikokotoo haipo kwenye sheria ila ipo kwenye kanuni. maana yake ni kwamba Rais hakuisaini.
Hata Spika alisema hivyo majuzi tu. Kwa hiyo si sahihi kumshambulia mtu aliyefurahia kufutwa au kuahirishwa matumizi ya kikokotoo hicho.
Hao wasikuumize kichwa hata kidogo, siku zote wanajiandaa kuponda. Umefanya la maana kumuelimisha kitu ambacho hakijui
 
Ni kweli kabisa lakini UFIPA nao wanapaswa kujielewa siyo kupinga pinga kila kitu chenye faida nakati vitu vingine vyenye ulazima wanavifumbia macho.

Kwanini BAVICHAA wasiwe wazalendo wa ukweli kuupinga USHOGA zaidi ya kuusapoti tu?

Lumumba wakiwatuhumu BAVICHAA kuwa wanatumika vibaya na mabeberu wataeleweka vyema huko UFIPANI?
Ndo shida yenu lumumba.
hakuna lumumba hata mmoja aliyewatetea wastaafu.ni upinzani pekee waliopaza sauti za utetezi.

Unatengeneza TATIZO halafu unajitokeza Kama mkombozi na mtetezi. This is only in Madongokuinama
 
Kabla ya kumpongeza natuma lawama zangu kwa waziri wake aliyepeleka huo mswada bungeni na bunge lake lililopitisha huo mswada.
 
25 % au ngapi
na hapo chini sekta binafsi imeandikwaje soma hiyo kwa nguvu injinia tusije kuingia mkenge uchaguzi 2020
 
Back
Top Bottom