Rais Magufuli aeleza kwanini hasafiri kwenda nje ya nchi

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,667
Reaction score
21,296
Amesema yeye aliomba kazi kuwatumikia wanyonge na siyo watu wa ulaya. Eti ulaya anaifahamu sana. Hivyo wanaotaka asafiri nje ya nchi watasubiri sana!
 
Huko Tarime wananchi walijipanga kutoa kero zao lakini mkuu wa wiilaya akawatuma afisa Usalama kuwanyang’anya wananchi mabango yao yaliyokuwa yamesheheni kero zao.
 
Neno KUTUMIKIA WANANCHI naona sasa linatumika ndivyo sivyo...
. Hivi msafara mmoja unagharimu shilingi ngapi za walipa kodi masikini?
. Hivi hana wawakilishi wa kumsaidia kazi za kutumikia wananchi?

Maswali yangu ni mengi sana... Ngoja tu nisiulize mengine
 
!
!
Nilisikia Hotuba Fulani Akiitoa Mahali Fulani Kwamba Aliangaliaa Akaona Amchague Waziri Ambaye Ana Ukichaa Kichaa Fulani Kama Yeye. Sasa Sifikirii Kama Kule Wanataka Watu Wa Aina Hiyo
Maafisa wake wameficha mabango yenye kero za wananchi baada ya kugundua kuwa kero za wananchi wa Tarime ni nyingi kupitiliza
 
Amesema yeye aliomba kazi kuwatumikia wanyonge na siyo watu wa ulaya. Eti ulaya anaifahamu sana. Hivyo wanaotaka asafiri nje ya nchi watasubiri sana!
Aseme anaogopa kuongea kizungu ambacho kinamdunda vibaya sana
 
Rais naomba ukipata ziara ya mambele huko niwe mkalimani wako. Nazungumza lugha zote za ulaya kasoro Kiingereza.
Ulaya kuna mabango mengi mtafanyeje? Kwani kama mabango ya wilaya pekee yamefichwa na maafisa Usalama pasipo Rais kujua je? Huko ulaya mtafanyeje?
 
Huyu mzee hivi vituko anavyoongea anaona yupo sawa kabisa vitu vya aibu tu
 
Ulaya kuna mabango mengi mtafanyeje? Kwani kama mabango ya wilaya pekee yamefichwa na maafisa Usalama pasipo Rais kujua je? Huko ulaya mtafanyeje?
Kwamba waTZ wanaoishi Ulaya wataandamana na mabango kama mkulu akitembelea nchi za Ulaya?
 
!
!
Nilisikia Hotuba Fulani Akiitoa Mahali Fulani Kwamba Aliangaliaa Akaona Amchague Waziri Ambaye Ana Ukichaa Kichaa Fulani Kama Yeye. Sasa Sifikirii Kama Kule Wanataka Watu Wa Aina Hiyo

Pepo mbaya kashatukumba.......ukijichanganya tunakudunda......ni Kingsapeto Nature Bonventure na P-Funk tunapeta..."hatuna mfano wa wandawazimu tulionao vichaa...tumechoka".............tunatabika kusoma siye hatutaki tumeghairi kwa maana haya ma-teacher yanausongo siyo siri yasijeyakatufumua buree watoto wa watu buree tukalipa kisasi tukaonekana majambazi........" By Juma Nature-Kigetogeto
 
Huko Tarime wananchi walijipanga kutoa kero zao lakini mkuu wa wiilaya akawatuma afisa Usalama kuwanyang’anya wananchi mabango yao yaliyokuwa yamesheheni kero zao.
Ungemstua Mkuu. Huyu jamaa hanaga utani kama yule DHAIFU tuliyekuwa hatumtaki.
Huyo Mkuu wa wilaya angekuwa hana kazi muda huu.
 
Back
Top Bottom