Rais Magufuli aeleza kwanini hasafiri kwenda nje ya nchi

Rais Magufuli aeleza kwanini hasafiri kwenda nje ya nchi

Acha ushamba wewe, hata wachina, warusi, wafaransa, wajerumani, wanaongea lugha zao siyo kingereza
Sijui kama unaelewa hata unachopinga kwa kweli. Una maana unataka aende ulaya akaongee kiswahili na wenyeji wake! Hata hao wachina unaowasema, wakienda ulaya ni lazima waongee lugha ya wenyeji wao, au kama lugha hiyo haipandi basi hupata msaada wa wakalimani.
 
Acha ushamba wewe, hata wachina, warusi, wafaransa, wajerumani, wanaongea lugha zao siyo kingereza

Hao warusi, wafaransa nk wanatumia kiingereza kwenye elimu zao?. Ninachojua mkuu hataki kwenda nje ni sidhani kkama ataenda maana hana uwezo wa kujieleza bila vitisho na huko ulaya hakuna muandishi anayemuogopa. Mwenendo wake kidemokrasia pia ni kikwazo cha yeye kwenda nje mahali aambapo hakuna anayemuogopa. Kikubwa kabisa mkulu hajazoea vikao vya mijadala bali vikao vya kutoa amri kwani yeye ndio yuko juu. Huko nje hlo haliwezekani.
 
Sio ushamba mzee zile ndo national language zao na ndizo zinazotumika kwenye mitaala yao ya elimu form kindergarten to university level,tofauti na sisi ambao national languages ni Swahili na English
Halafu hizo lugha za kifaransa, nk mbona ndiyo nchi zetu za Afrika tunazitumia kama official language?
Akienda Burundiataletewa mkalimani wa kifaransa kwenda kiingereza wakijua anaongea kiingereza. Duniani kote wanajua Tanzania official language ni kiingereza
 
Neno KUTUMIKIA WANANCHI naona sasa linatumika ndivyo sivyo...
. Hivi msafara mmoja unagharimu shilingi ngapi za walipa kodi masikini?
. Hivi hana wawakilishi wa kumsaidia kazi za kutumikia wananchi?

Maswali yangu ni mengi sana... Ngoja tu nisiulize mengine
vilevile tafsiri ya yeye no rais wa wanyonge ni pana, huenda anawaandama matajiri ili mwisho wa siku tuwe wanyonge wote abaki mbabe peke yake na ukwasi juu
 
Inawezekana Rais kuongoza nchi vizuri tu bila kwenda nchi za mbali. Mfano mzuri ni Jomo Kenyatta, Rais wa kwanza wa Kenya.

Labda wengi hamfahamu, lakini Rais Jomo Kenyatta alikuwa hapendi kupanda ndege. Baada ya kumaliza masomo yake Uingereza na kurudi Kenya, aliacha kupanda ndege. Mikutano ya wakuu wa Afrika Mashariki alikuwa anakwenda kwa gari siku zote.

Kuna miaka ya nyuma safari ya Waziri Mkuu kwenda Marekani iligharimu nusu bilioni. Watu walilalamika sana.

Mjue kwamba fedha nyingi sana zinaachwa kutumika kwa safari na kuelekezwa kwenye miradi ya maendeleo kipindi hiki.

Mkiona vyaelea mjue vimeundwa. Jiwe hatumii fedha vibaya kwenye safari za nje. Hazina tija. Keep it up. Kitaeleweka tu.
 
So kichaa wetu ana akili sawa na yule mzee wa miaka ya 60? Kweli safari hii tumepatikana
 
huyu jamaa hajawahi kua mkweli hata siku moja... aseme ukweli kua exposure zero thats why haendi nje
 
Wakati mwingine ni busara kutosikiliza hotuba za baadhi ya viongozi
 
Maafisa wake wameficha mabango yenye kero za wananchi baada ya kugundua kuwa kero za wananchi wa Tarime ni nyingi kupitiliza
Sasa kwa nini mbunge hatatui hizo kero ilhali anasifiwa kwa ubabe wake ?
 
Back
Top Bottom