Wananchi waliandaa mabango ya kutosha kilichofanyika ni kuwapora na kuficha ni Aibu kubwa ni wakati wa wasaidizi wa Rais kutambua kuwa kero nyingi zimesalia huko mara Tarime baada ya Bango kufichwa.Ungemstua Mkuu. Huyu jamaa hanaga utani kama yule DHAIFU tuliyekuwa hatumtaki.
Huyo Mkuu wa wilaya angekuwa hana kazi muda huu.
Ndiyo maana yake, kule Ulaya ni wapenzi wa mabango hakuna mfano,Kwamba waTZ wanaoishi Ulaya wataandamana na mabango kama mkulu akitembelea nchi za Ulaya?
Hata kusoma mabango ni shiiiiida, leo kayakimbia mabango Tarime baada ya kuwatuma wasaidizi wake kuyachukua na kuyachanaAende akaongee luga gani wakati hata kiswahili kinampiga chenga
Ile video clip ya Uganda mseveni alipomtafsiria ilinifanya nijione mnyonge sana na kingereza kilichofwata baada ya hapo dah sema watu hawaruhusiwi kucheka maboko ya ikuluAseme anaogopa kuongea kizungu ambacho kinamdunda vibaya sana
Aende akaongee luga gani wakati hata kiswahili kinampiga chenga
Sio ushamba mzee zile ndo national language zao na ndizo zinazotumika kwenye mitaala yao ya elimu form kindergarten to university level,tofauti na sisi ambao national languages ni Swahili na EnglishAcha ushamba wewe, hata wachina, warusi, wafaransa, wajerumani, wanaongea lugha zao siyo kingereza
Mkuu hata angeenda Ulaya au angekaa ofisini tu akatuma wawakilishi bila shaka mngesema tu.Neno KUTUMIKIA WANANCHI naona sasa linatumika ndivyo sivyo...
. Hivi msafara mmoja unagharimu shilingi ngapi za walipa kodi masikini?
. Hivi hana wawakilishi wa kumsaidia kazi za kutumikia wananchi?
Maswali yangu ni mengi sana... Ngoja tu nisiulize mengine
Huyo wa "gadafi rais wa Kuwait"! Wacha aendelee 'kutawala' wanyonge 'wadanganyika' wa Tanganyika! Ngeli shida diplomasia problem, wacha tuugulie maumivu, huku tukihamasisha watu kuja kwenye mnada wa makasha ya DAB!Kichekesho kitupu kwa mtu mwenye akili.
Mwenyewe hata kuandika Kiswahili kinakushinda ,kwa taarifa yako sio lazima aongee Kiingereza kuna maraisi chungu nzima hawajui Kiingereza na wanasafiri,halafu wewe mbumbumbu hata kuandika neno lugha hujui unaandika luga au Kiswahili unaandika kiswahili hujui hata wapi pa kuandika herufi ndogo au kubwa,mwenzako kasoma UDSM wewe hujui hata UDSM iko wapi.Aende akaongee luga gani wakati hata kiswahili kinampiga chenga
Kusoma udsm ndo unajua kiingereza ila ukweli unaujua kwmb kindhungu tatz kw mzee bhnMwenyewe hata kuandika Kiswahili kinakushinda ,kwa taarifa yako sio lazima aongee Kiingereza kuna maraisi chungu nzima hawajui Kiingereza na wanasafiri,halafu wewe mbumbumbu hata kuandika neno lugha hujui unaandika luga au Kiswahili unaandika kiswahili hujui hata wapi pa kuandika herufi ndogo au kubwa,mwenzako kasoma UDSM wewe hujui hata UDSM iko wapi.
Udsm ndio inazalisha vichaa?!😀😀Mwenyewe hata kuandika Kiswahili kinakushinda ,kwa taarifa yako sio lazima aongee Kiingereza kuna maraisi chungu nzima hawajui Kiingereza na wanasafiri,halafu wewe mbumbumbu hata kuandika neno lugha hujui unaandika luga au Kiswahili unaandika kiswahili hujui hata wapi pa kuandika herufi ndogo au kubwa,mwenzako kasoma UDSM wewe hujui hata UDSM iko wapi.
Linge haindipaAmesema yeye aliomba kazi kuwatumikia wanyonge na siyo watu wa ulaya. Eti ulaya anaifahamu sana. Hivyo wanaotaka asafiri nje ya nchi watasubiri sana!